Hotuba ya Rais Samia Suluhu kwenye Baraza la Umoja wa Mataifa (UN) - Septemba 23, 2021

Mwenye picha inayoonyesha wasikilizaji waliokwepo ukumbini wakati wa hotuba yake arushe tuone!
 
Sijapata mantiki ya hotuba yenyewe, nafikiri alikuwa anajaribu kujipendekeza kwa mabeberu maana ni kulia shida mwanzo mwisho, mara covid imefanya hivi, covid imefanya vile, uchumi wa nchi maskini umekuwa hivi, sijui umekuwa vile. Hizi hotuba za viongozi wa kiafrika zinakuwa zinawasilisha ujumbe wa kulia njaa njaa kwa mabeberu, hakuna la zaidi......
 
Umeishia darasa la ngapi? Kumbe hata kiingereza hujui?😂😂
 
Umeishia darasa la ngapi? Kumbe hata kiingereza hujui?😂😂
Nauliza huyo mama kuongea ongea anasema turuhusiwe kutengeneza chanjo ya covid, TUNAWEZA SISI KUTENGENEZA CHANJO YA COVID, AU ALIKUWA ANAONGEAONGEA.
 
Utaonaje mantiki wakati hujui kiingereza na umejaa chuki?
 
Teknolojia imekupita mbali ndugu, anasoma hapo sema huwezi kuona. Wenzangu watakusaidia hicho kifaa kinaitwaje, mimi nimekisahau.
Mtu anaangalia muda wote eneo moja hata shingo hazungushi, mahaba mengine taabu sana.
Mama hawezi toa hotuba bila kusoma, never
 
Nauliza huyo mama kuongea ongea anasema turuhusiwe kutengeneza chanjo ya covid, TUNAWEZA SISI KUTENGENEZA CHANJO YA COVID, AU ALIKUWA ANAONGEAONGEA.
Endelea kuteseka tu na chuki zako! Zaidi tafuta hata kozi fupifupi za kiingereza
 
Nilijua hautafika mbali kwa sababu hauna majibu ya swali langu
Mimi mwenyewe kwa namna unavyobadili gear angani nilijua utatua baharini kama 2015.

#Mama 2025
 
ukute na wewe una kitoto kinawatambia wenzake "ntakusema kwa baba" halafu baba mwenyewe taburarasa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…