HUAWEI yaipoteza NVIDIA kwenye soko la China, pigo lingine kwa Trump.

unaongea kitu hikijui, ingekua rahisi ivo TSMC angekua ashatengeneza izo chips akawa juu ya NVIDIA, huruma sio malezi kaka
 
isssue sio competition apa tunaongelea ukwel wa soko nani mkali, china vs wengine amesogea ila vs marekani apo tukiwa wakwel hali sio nzuri, na sio marekani tu, china vs south korea ama russia hali sio nzuri kwake
 
unaongea kitu hikijui, ingekua rahisi ivo TSMC angekua ashatengeneza izo chips akawa juu ya NVIDIA, huruma sio malezi kaka
Kwa kuwa NVIDIA hawawezi kufanya fabrication ya chips basi TSMC imeizidi NVIDIA kwenye hilo eneo ukubali ukatae ukweli ndio hio​
 
isssue sio competition apa tunaongelea ukwel wa soko nani mkali, china vs wengine amesogea ila vs marekani apo tukiwa wakwel hali sio nzuri, na sio marekani tu, china vs south korea ama russia hali sio nzuri kwake
Ingekuwa Marekani wako vizuri kwenye tech kwa 100% basi wasingekuwa wanaimport high tech dual use goods kutoka China

Mbona kuna maeneo mengi kwenye critical technologies China imeizidi Marekani
​
 
Ushindani una faida,.taifa moja likiwa na technology muhimu peke yake atatumia hiyo technology Kama silaha kusumbua wenzie,.

Swali: kwanini Technology nyingi kwa kiasi kikubwa zinagundulika West na marekani then wengine ndio wanafata??tatizo Nini?
Invention sio issue kwa sasa dunia iko kwenye ushindani wa innovation​
 
wahindi, wachina, warusi, waingereza, waisrael nk wote hao ni mwendo wa kupeleka vipaji 🇺🇸.

Disadvantage ninayoiona kwa China kuwa superpower, wapo selfish.
Kwa nini unasema Wachina ni selfish?​
 
wahindi, wachina, warusi, waingereza, waisrael nk wote hao ni mwendo wa kupeleka vipaji 🇺🇸.
Vipaji vya China vilivyokuwa huko vimefanya sehemu kubwa sana kwenye sci-tech yq Marekani good news wengi wameanza kurudi kwao​
 
Kwa nini unasema Wachina ni selfish?​
Angalia makampuni ya kichina vs kimarekani yanavyofanya kazi na watu wake. Ukiwa superpower onyesha kwa vitendo, Chinese are stingy unlike the Americans....ndio maana ukasikia msemo wa "USA, the land of opportunities "
 
Hii vita watapoteza marekani na hawatoamini. US is the next UK
Wakati trump wakikimbana na netanyahu na zelesk wenzake wako chimbo wanafanya kazi ...huku wakiimba usa we are number one kumbe kuna mabadiliko makubwa na china imeshaazindua mfumo wake wa malipo
 
Hakuna kitu ambacho Marekani anafanya kwenye silaha na vyombo vya angani ambacho China hawezi na vingine kamzidi
Ni vyema kuja na mifano thabiti kuliko kuja na sweeping statements. Kama kamzidi US katika kitu fulani, sema na toa source. Kama US kazidi, toa source vile vile
 
Mbona unateseka ndugu tunasifia aliyetoka nyuma bila hila akafanikiwa
 
Kwa kuwa NVIDIA hawawezi kufanya fabrication ya chips basi TSMC imeizidi NVIDIA kwenye hilo eneo ukubali ukatae ukweli ndio hio​
mzee mm naona unafanya siasa tu na sio kuelewa uhalisia mambo yanaenda vp
 
Ingekuwa Marekani wako vizuri kwenye tech kwa 100% basi wasingekuwa wanaimport high tech dual use goods kutoka China

Mbona kuna maeneo mengi kwenye critical technologies China imeizidi Marekani
​
nmekupa mfano wa iphone ni ya marekani ila lazima ifanye imports, likewise nchi zingine zote ndo tunaishi ivo kwa kutegemeana, shida ya china ni siasa, badala ucorparate industry yako isogee unataka KU RE-INVENT THE WHEEL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…