Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Tafsiri isiyo rasmi:'Wanawake ni wanyama kama walivyo wanyama wengine.Siongezi neno.sipunguzi. sisi waislamu wa Buza kwa Mpalange tutatoa neno. FaizaFoxy na Ritz tusiache hili jambo bila kulitolea ufafanuzi.
View attachment 3143010
Kaka tolea ufafanuz hapa. Hao waislam wa iran ni wa aina gani na wanatumia maudhui gani kusema hayo.. maana hii huwa inanichanganya sana utasikia kuwa hao sio waislam wenyewe wanatafsiri tofauti.. hivi ni kundi lipi ambalo tuliamin ili hata mtu ukitaka kuslim ujue nani mkweliMuktadha, muktadha, muktadha
Hiyo kauli ilisemwa na nani, wapi na kwanini?
Usikute ni muislamu wa Iran huyo, waislamu wa huko wanawatafsiri wanawake kitofauti, sasa utawapakazia waislamu wote
UongoSiongezi neno.sipunguzi. sisi waislamu wa Buza kwa Mpalange tutatoa neno. FaizaFoxy na Ritz tusiache hili jambo bila kulitolea ufafanuzi.
View attachment 3143010
ebu ngoja nitarudi,Siongezi neno.sipunguzi. sisi waislamu wa Buza kwa Mpalange tutatoa neno. FaizaFoxy na Ritz tusiache hili jambo bila kulitolea ufafanuzi.
View attachment 3143010
Wenyewe wanaita sunaa🤣🤣Mudy alioa kitoto cha miaka 6 yeye ni wa wapi?
Na hivyo ndivyo Uislam unavyomtambua mwanamke, mengine ni kufunika kombe tu. Ewe mwanamke wa Kiislam popote ulipo jua dini yako inakutambua kama mnyama uliyeumbwa kwaajili ya kutumiwa na mwanaume.Siongezi neno.sipunguzi. sisi waislamu wa Buza kwa Mpalange tutatoa neno. FaizaFoxy na Ritz tusiache hili jambo bila kulitolea ufafanuzi.
View attachment 3143010
Si mtume huyohuyo akiyemtumia mnyama wa miaka 9 tu kama kiburudisho!? Au mtume yupi unayemzungumzia!?Mkuu uislamu upo WAZI, hayo ni maneno ya nani?, ushahidi upo wapi?, Mtume alisema haya?, je mtume aliwatendea vipi wanawake,(wakaze na mabinti zake)
Note: watoto wa mtume waliokua ni wanawake
Kwahiyo waislam wa Iran mnaowpaigania kila siku wana kitabu na mtume wao tofauti na nyie!? Huo undugu wenu katika imaani unatokana na nini sasa!?Muktadha, muktadha, muktadha
Hiyo kauli ilisemwa na nani, wapi na kwanini?
Usikute ni muislamu wa Iran huyo, waislamu wa huko wanawatafsiri wanawake kitofauti, sasa utawapakazia waislamu wote
Na hao wanawake wa Kiislam wanaomsikiliza nao wana ajenda!? Huo ndo msimamo wa Uislam na mdomana wanaomsikiliza hawajapinga.Kwa hiyo ukiona ndevu na kanzu tayari ni muislam?huyo anaajenda yake kama ww hapo kuuchafua uislamu sahihi.
Michepuko ni haramu na chakushangaza hata hao wanaoona wake wanne bado wana michepuko!Ila kumiliki michepuki kumi kwa mwanaume yenyewe sio shida, kumiliki michepuko kumi kwa mwanamke nayo sio shida.
Kwahiyo mwanamke mi mnyama kama ng'ombe na mbuzi?Wewe ni mgeni hapa jamiiforum!
Hawa mbona tumeshawazoea na Wala hakunaga shida.
Mtu anasema eti waislam wanaoa wake wengi hii huonesha wanawake hawana thamani..
Wakati huo huo yeye ni msukuma ambapo jamii yake alipotoka Kuna mafungu ya familia yaani familia ya baba mmoja Ina mafungu mafungu ..
Ibrahim baba wa Imani alikuwa na wake wangapi!
Yakuub/Yakobo alikuwa na watoto walitokana na wake wangapi!
Mfalme Daudi alikuwa na wake wangapi!
Sulayman alikuwa na wake wangapi!
Je mababu zetu walikuwa wanaoa wake wangapi kabla ya uislam na ukristo!
Kwamba bibilia ndo imekuja wafundisha watu waoe mke mmoja?
Wanyama tu hawawezi kuwa na jike mmoja Sasa wewe una akili unalimitiwa na maandiko ya kikundi Cha watu waliokaa wakaandika eti uoe mwanamke mmoja ..
Na kuoa/kubaka kitoto cha miaka 6 nayo alifanya mtume gani zaidi ya Mudy?Wewe ni mgeni hapa jamiiforum!
Hawa mbona tumeshawazoea na Wala hakunaga shida.
Mtu anasema eti waislam wanaoa wake wengi hii huonesha wanawake hawana thamani..
Wakati huo huo yeye ni msukuma ambapo jamii yake alipotoka Kuna mafungu ya familia yaani familia ya baba mmoja Ina mafungu mafungu ..
Ibrahim baba wa Imani alikuwa na wake wangapi!
Yakuub/Yakobo alikuwa na watoto walitokana na wake wangapi!
Mfalme Daudi alikuwa na wake wangapi!
Sulayman alikuwa na wake wangapi!
Je mababu zetu walikuwa wanaoa wake wangapi kabla ya uislam na ukristo!
Kwamba bibilia ndo imekuja wafundisha watu waoe mke mmoja?
Wanyama tu hawawezi kuwa na jike mmoja Sasa wewe una akili unalimitiwa na maandiko ya kikundi Cha watu waliokaa wakaandika eti uoe mwanamke mmoja ..
Huyo ni kitukuu cha mtume sasa wewe unabisha km nani?Mkuu uislamu upo WAZI, hayo ni maneno ya nani?, ushahidi upo wapi?, Mtume alisema haya?, je mtume aliwatendea vipi wanawake,(wakaze na mabinti zake)
Note: watoto wa mtume waliokua ni wanawake
Michepuko ni haramu na chakushangaza hata hao wanaoona wake wanne bado wana michepuko!
Siongezi neno.sipunguzi. sisi waislamu wa Buza kwa Mpalange tutatoa neno. FaizaFoxy na Ritz tusiache hili jambo bila kulitolea ufafanuzi.
View attachment 3143010
Hii point huwa mnaikimbilia sana sana sana hapo hapo mtu anasahau kwamba umri wa kuoa kwa wayahudi ulikuwa kwa mwanamke 3 years of age , na si kwa jamii hizo pekee ni world wide thing kwa miaka hiyo binti kuolewa katika umri huo .Mtume ndo alionesha mfano zaidi. Akaenda oa kitoto cha miaka 6
Nipe sifa za mtu kuwa " MUISLAMU" am all ears .FaizaFox na makamanda wake ni mabingwa wa kupangua hoja, wataruka na kusema huyo kiongozi si muislam