Huu Ujumbe kutoka kwa kiongozi huyu Mkubwa wa Kiislamu kuhusu wanawake. Umenishtua sana

Huu Ujumbe kutoka kwa kiongozi huyu Mkubwa wa Kiislamu kuhusu wanawake. Umenishtua sana

Siongezi neno.sipunguzi. sisi waislamu wa Buza kwa Mpalange tutatoa neno. FaizaFoxy na Ritz tusiache hili jambo bila kulitolea ufafanuzi.

View attachment 3143010
Tafsiri isiyo rasmi:'Wanawake ni wanyama kama walivyo wanyama wengine.

Wamepewa sura ya mtu binadamu ili wanaume wanapowataka wasitishike na kuwaogopa'.

Halafu sijui ni Ayatollah wa wapi, yupo tu mkumwaga sumu za chuki na ubaguzi usiomithilika.
 
Muktadha, muktadha, muktadha

Hiyo kauli ilisemwa na nani, wapi na kwanini?

Usikute ni muislamu wa Iran huyo, waislamu wa huko wanawatafsiri wanawake kitofauti, sasa utawapakazia waislamu wote
Kaka tolea ufafanuz hapa. Hao waislam wa iran ni wa aina gani na wanatumia maudhui gani kusema hayo.. maana hii huwa inanichanganya sana utasikia kuwa hao sio waislam wenyewe wanatafsiri tofauti.. hivi ni kundi lipi ambalo tuliamin ili hata mtu ukitaka kuslim ujue nani mkweli
 
Siongezi neno.sipunguzi. sisi waislamu wa Buza kwa Mpalange tutatoa neno. FaizaFoxy na Ritz tusiache hili jambo bila kulitolea ufafanuzi.

View attachment 3143010
Na hivyo ndivyo Uislam unavyomtambua mwanamke, mengine ni kufunika kombe tu. Ewe mwanamke wa Kiislam popote ulipo jua dini yako inakutambua kama mnyama uliyeumbwa kwaajili ya kutumiwa na mwanaume.
 
Mkuu uislamu upo WAZI, hayo ni maneno ya nani?, ushahidi upo wapi?, Mtume alisema haya?, je mtume aliwatendea vipi wanawake,(wakaze na mabinti zake)
Note: watoto wa mtume waliokua ni wanawake
Si mtume huyohuyo akiyemtumia mnyama wa miaka 9 tu kama kiburudisho!? Au mtume yupi unayemzungumzia!?
 
Muktadha, muktadha, muktadha

Hiyo kauli ilisemwa na nani, wapi na kwanini?

Usikute ni muislamu wa Iran huyo, waislamu wa huko wanawatafsiri wanawake kitofauti, sasa utawapakazia waislamu wote
Kwahiyo waislam wa Iran mnaowpaigania kila siku wana kitabu na mtume wao tofauti na nyie!? Huo undugu wenu katika imaani unatokana na nini sasa!?
 
Kwa hiyo ukiona ndevu na kanzu tayari ni muislam?huyo anaajenda yake kama ww hapo kuuchafua uislamu sahihi.
Na hao wanawake wa Kiislam wanaomsikiliza nao wana ajenda!? Huo ndo msimamo wa Uislam na mdomana wanaomsikiliza hawajapinga.
 
Ila kumiliki michepuki kumi kwa mwanaume yenyewe sio shida, kumiliki michepuko kumi kwa mwanamke nayo sio shida.
Michepuko ni haramu na chakushangaza hata hao wanaoona wake wanne bado wana michepuko!
 
Wewe ni mgeni hapa jamiiforum!
Hawa mbona tumeshawazoea na Wala hakunaga shida.
Mtu anasema eti waislam wanaoa wake wengi hii huonesha wanawake hawana thamani..
Wakati huo huo yeye ni msukuma ambapo jamii yake alipotoka Kuna mafungu ya familia yaani familia ya baba mmoja Ina mafungu mafungu ..
Ibrahim baba wa Imani alikuwa na wake wangapi!
Yakuub/Yakobo alikuwa na watoto walitokana na wake wangapi!
Mfalme Daudi alikuwa na wake wangapi!
Sulayman alikuwa na wake wangapi!
Je mababu zetu walikuwa wanaoa wake wangapi kabla ya uislam na ukristo!
Kwamba bibilia ndo imekuja wafundisha watu waoe mke mmoja?
Wanyama tu hawawezi kuwa na jike mmoja Sasa wewe una akili unalimitiwa na maandiko ya kikundi Cha watu waliokaa wakaandika eti uoe mwanamke mmoja ..
Kwahiyo mwanamke mi mnyama kama ng'ombe na mbuzi?
 
Na kuoa/kubaka kitoto cha miaka 6 nayo alifanya mtume gani zaidi ya Mudy?
 
Mkuu uislamu upo WAZI, hayo ni maneno ya nani?, ushahidi upo wapi?, Mtume alisema haya?, je mtume aliwatendea vipi wanawake,(wakaze na mabinti zake)
Note: watoto wa mtume waliokua ni wanawake
Huyo ni kitukuu cha mtume sasa wewe unabisha km nani?
 
Michepuko ni haramu na chakushangaza hata hao wanaoona wake wanne bado wana michepuko!

Logic ya waislamu kuambiwa waoe wake mpaka wanne ina maana yake, hao unaosema wanaoa wake wanne na bado wanachepuka haiwazuii kupata dhambi ya uzinifu huko wanakozini.

Ukifanya uchaguzi sahihi unapooa hao wake wanne huwezi kuchepuka.
 
Siongezi neno.sipunguzi. sisi waislamu wa Buza kwa Mpalange tutatoa neno. FaizaFoxy na Ritz tusiache hili jambo bila kulitolea ufafanuzi.

View attachment 3143010

1. Title ilitakiwa isomeke "huu ujumbe kutoka kwa kiongozi huyu mkubwa wa KISHIA kuhusu wanawake umenishtua sana " na si "kiongozi wa kiislamu " shia wapo mbali na uislamu nothing they believe is islamic .

2. Uislamu huwa unasapotiwa na dalili na dalili inatoka kwenye "quran" na "sahih hadith za mtume muhammad (peace be upon him)" nje ya hapo utabaki kuwa msimamo wa "MARJ WA KISHIA " na si msimamo wa "shaikh mkubwa wa kiislamu" .

3. Kama haujaelewa chochote nilichoandika inakubidi usome makundi katika uislamu na kisha usome ni kitu gani kinamfanya mtu kuwa muislamu na kipi kinamtoa mtu kwenye uislamu . And also am open for discussion (with backed up data ofcourse).
 
7b70907c8631b55efba07f6af71e38cc.jpg

Kumbe ndio maana wanawavalisha namna hii.
 
Mtume ndo alionesha mfano zaidi. Akaenda oa kitoto cha miaka 6
Hii point huwa mnaikimbilia sana sana sana hapo hapo mtu anasahau kwamba umri wa kuoa kwa wayahudi ulikuwa kwa mwanamke 3 years of age , na si kwa jamii hizo pekee ni world wide thing kwa miaka hiyo binti kuolewa katika umri huo .

Ila unafiki ulivyowajaa mnabaki mnakaza shingo kwa yeye kumuoa bi aisha akiwa na miaka 6 na kumchukua akiwa na miaka 9?? Nadhani kuna shida mahali.
 
Back
Top Bottom