Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Tafsiri isiyo rasmi:'Wanawake ni wanyama kama walivyo wanyama wengine.Siongezi neno.sipunguzi. sisi waislamu wa Buza kwa Mpalange tutatoa neno. FaizaFoxy na Ritz tusiache hili jambo bila kulitolea ufafanuzi.
View attachment 3143010
Wamepewa sura ya mtu binadamu ili wanaume wanapowataka wasitishike na kuwaogopa'.
Halafu sijui ni Ayatollah wa wapi, yupo tu mkumwaga sumu za chuki na ubaguzi usiomithilika.