Lete nyuzi hapa, au unadhani nyakati hizo sikuwa hapa JF?? Usichachawe na ID hizi mpya mkuu.
Pamoja na matukio lkn SAIDI MWEMA na SIRRO wameachana mbali sana.
Lete nyuzi hapa, au unadhani nyakati hizo sikuwa hapa JF?? Usichachawe na ID hizi mpya mkuu.
Pamoja na matukio lkn SAIDI MWEMA na SIRRO wameachana mbali sana.
Lete nyuzi hapa, au unadhani nyakati hizo sikuwa hapa JF?? Usichachawe na ID hizi mpya mkuu.
Pamoja na matukio lkn SAIDI MWEMA na SIRRO wameachana mbali sana.
Kweli kabisa, suala la Hamza halikuwa bure.Kwa haya yanayojiri hata Hamza naye akigashibika baada ya Askari kumuona boya hajui pesa
Ungefanya nn wakati waovu ndyo wamekuzunguka ofcn kwakoI wish ningekuwa IGP.....
Kheee[emoji1787][emoji23][emoji28]Siyo IGP tu Awamu hii yote ijiuzulu, itoke ni katili sana, watu wanashida wao wanakata keki kusherehekea birthday, evil people!
Haraka Sana Kabla Jogoo HajawikaSirro ajiuzulu.
Acha kundekeza siasa una haribu maada kwa makusudi ili kulinda majambazi menzakoWafuasi wa Mbowe ndio wanakesha kuwanga usiku na mchana eti IGP Sirro ajiuzulu. Nawaambia wafuasi wa Mbowe/ CHADEMA mtasumbuka sana, na mjue kuwa mboe sio malaika.
Acha huu uongo, mwenzako hapo juu nimekuwekea Hali ilivyokua kipindi Cha saidi mwema.IGP Said Mwema alikuwa bonge la IGP Kwa sababu ya Amiri jeshi Mkuu WA wakati huo hakuwa katiri, Alijua fika kwamba yeye ni Mkuu wa nchi na Kwa katiba yetu Hawezi kuzuiwa kufanya chochote.
Sasa huyu SIRRO kateuliwa enzi za Amiri jeshi Katiri kabisa. Akajifunza ukatiri na akawafundisha Askari wake ukatiri matokeo yake ni kesi ya Sabaya, ya Mbowe na wenzake, mauaji ya mtwara NK.
IGP mwema was very goodPamoja na mapungufu yake kama binadamu angalau IGP Said Mwema aliitendea haki nafasi yake kama IGP na alifanya reformation muhimu sana ndani ya TPF kabla ya kumwachia muungwana mwingine IGP Ernest Mangu ambaye alikuja kutumbuliwa (jiuzulu) kwa sababu ambazo mtumbuaji anazijua mwenyewe.
Since then, TPF ikageuka rasmi taasisi ya kikatili zaidi nchini, isiyojua/zingatia sheria, taasisi inayoongoza kwa UONGO, RUSHWA, UJAMBAZI, UBAMBIKAJI, DHULUMATI, n.k. TPF inahitaji overhauling kubwa mno ikiwa n pamoja na kuundiwa oversight body to oversee its performance of duties. Vinginevyo, ni genge hatari sana!
Kipenzi chako JPM alimfuta? Mbona ya enzi zake yalikuwa makubwa zaidi?Kwanza ni kukithiri kwa kashfa nyingi zinalorihusu jeshi la polisi juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu kwa kupiga na kutesa watuhumiwa kinyume kabisa na ibara ya 13 (6)(b)(e...
Ulilala usingizi Bwana Idigunde ndio unaamkaKujihusisha kwa maafisa wa polisi na siasa waziwazi kiasi cha baadhi ya maafisa kukiri wazi wazi kuwa wanailinda Ccm ibaki madarakani kwa mtutu wa bunduki. Mfano ni afande Kiondo ambaye amefunguka hadharani kabisa.