Iko siku hii clip ya Magufuli itapata viewers wengi sana. Naitunza hapa

Ukweli ni kuwa Dkt Magufuli hakuamrisha lisu auawe. Ila ni kama vile mtaani ukimtishia mtu then wachawi wanapita naye. Yeye aliongelea uzalendo. Na waliofanya hilo tukio ni Mbowe na mabeberu.
Waliofanya hivyo ni viongozi wapenda vyeo ili wapande zaidi, umesahau style za kujipendekeza awamu ya 5 zilivyokuwa zikitembea na biti za Magu.
 
Ulitaka polisi wamsaidie nini mtu anaeshambulia askari waliopo vitani kupigania nchi yao??
 
Magufuli kama angekuwa hataki kujulikana kama ni yeye basi toka mwanzo hata asingeagiza hilo shambulizi mchana kweupe na hali ambayo iliyokuwa ikiendelea wakati ule, ila kama Magufuli ndio alitoa maagizo basi alikuwa hana cha kuhofia ndio maana hakujali kuwa ule haukuwa muda sahihi kufanya shambulizi kwa Lissu.
 
Asiishi kwa amani kwa sababu ya kumshambulia Lissu ila zile maiti za kwenye viroba mlizokuwa mnamuhusisha nazo zilikuwa hazimfanyi asiishi kwa amani?
 
Hapo umeonesha kwamba walihofia kufanya jaribio lengine si ndivyo?
 
Lissu ni msaliti wala hilo sio uongo.
Ndio maana alikuwa akifurahia hata mali za nchi hii zikizuiliwa nje ya nchi.

Lisuu yeye kauli yake kuu ni "IN MZUNGU WE TRUST"
 
Sasa wewe unaona walitumia akili kufanya shambulizi mchana ule kweupe huku kila mmoja akijua kuwa Magufuli na Lissu picha haziendi? Si hivyo tu bali kuna vitu vilifanyika ambavyo vinatia shaka kuwa ni serikali imehusika.
 
Wewe unazungumzia huko nje ya nchi mimi nazungumzia alipokuwa bado hajasafirishwa.
 
Kwa tukio kama lile halafu Police au serikali ikakaa kimya bila kufanya uchunguzi wowote unaona ni kitu cha kawaida kabisa!!! Watu wanahoji IGP anadai hawawezi kufanya uchunguzi eti kwa sababu Lissu yuko nje ya nchi!! Kweli???!!! Je, ingetokea angefariki kwenye lile shambulizi kwa hiyo kusingefanyika uchunguzi wowote kwa sababu victim amekufa!!!! Ni mjinga na mpuuzi peke yake ndiye hataamini kuwa tukio lile lilikuwa na baraka zote za serikali. Hapo sijaongelea eneo TAL aliposhambuliwa.
 

Maagizo aliyotoa hakutegemea yaliyotokea, kabla hajajua nini kifanyike Lisu akawa kahamishwa nchini, sio zaidi ya hapo. Hizo nyingine unazoleta ni porojo ukidhani utafanikiwa kupandikiza Labda labda.
 
Wangekuwa hawataki wajulikane kabisa basi wasingefanya shambulizi kama lile wangeweza hata kumteka na tukaokota maiti au asijulikane kama yupo hai au kafa. Bado najiuliza kwanini walifikiria kufanya shambulizi lile mchana kweupe huku inajulikana Magufuli na Lissu picha haziendi?
 
Sasa jiulize wafanyaji wa tukio hawakujua yote hayo kwamba watashukiwa wao? Ni wazi haukuwa muda sahihi kufanya lile shambulizi na kwa aina ya shambulizi risasi mchana kweupe, ina maana wahusika hawakuyajua hayo?
 
Umezungumzia upande wa kufuta ushahidi ila vp kukwepa kuhisiwa kuwa wao ndio wahusika? Unadhani kulikuwa na ulazima gani kufanya lile shambulizi mchana kweupe tena kwa mirisasi na huku inajulikana Lissu na Magufuli picha haziendi? Vp kuhusu camera na hilo suala la polisi achilia mbali eneo lilipofanyika tukio?

Unadhani ni vp imekuwa rahisi kusema muhusika ni Magufuli? Sasa ndio najiuliza ina maana hawakuyajua haya yote?
 
This dude deserved to die before 2015 tusinge ishi hivi hata haya yote yanayo tokea ni kutokana na mambo kuharibikia kwake...
 
Maagizo aliyotoa hakutegemea yaliyotokea, kabla hajajua nini kifanyike Lisu akawa kahamishwa nchini, sio zaidi ya hapo. Hizo nyingine unazoleta ni porojo ukidhani utafanikiwa kupandikiza Labda labda.
Mimi sileti labda labda bali nahoji ila mnaoleta labda labda ni nyie mnaojifanya mnajua hadi walichokuwa wanakiwaza hao wahusika, mimi tu naona ule haukuwa muda sahihi kufanya shambulizi na tena inashangaza shambulizi lenyewe risasi mchana kweupe katika eneo kama lile, kulikuwa na ulazima gani hao wahusika kulazimika kufanya vile kwa mtu ambaye walikuwa wakimfuatilia kwa muda?

Inashangaza.
 
We mtu wa ajabu usiyefahamu kuwa ni nchi hii hii Raisi ya Zanzibar aliuawa kwa risasi nani unadhani hawezi fikika, ubalozi wa Ufaransa na USA zilishambuliwa kigaidi bongo hapa hapa, kuna watu dizaini ya kina Hamza na visasi vikali naomba uelewe kuanzia leo tambua kuwa yeyote duniani anaweza fikiwa wenyewe wakiamua, inakuwa beyond Government reach, watu ni corrupt mbele ya kitu wanauza hata nchi upenyo unasetiwa.

Lisu anaogopa mpaka watu wake anashindwa sema tu hadharani, mbona wenzake wapo salama huku mpaka Sugu kumualika Numero-uno ku-launch kitabu, imagine Mwenyekiti ndani, waandamizi pande zote CCM na Chadema…tusiwe na haraka arudi yaweza kuwa yeye mwenyewe ndiye mwenye majibu police wanajaribu crack.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…