Kuna waTZ (hasa wanaccm) ambao huwa wanaweza kumpenda mtu utadhani wamelishwa limbwata.Wanaompenda Magufuli ni makundi makubwa ya wajinga ambao ndiyo wengi Tanzania. Unaongelea vyeti feki wakati yeye mwenyewe Magufuli alikuwa na PhD feki. Unaongelea ufisadi wakati yeye Magufuli amekufa bika kujibu tuhima za matumizi mabaya ya Tsh 2.4 Trillion zilizohojiwa na CAG Prof Assad.
Prospectus ya UDSM ya mwaka 2006 kifungu 2.7.7 kilisema mwanafunzi wa full time wa PhD minimum muda wa kumaliza ni miaka 3 na mwanafunzi wa kutoka kazini ni miaka 5. Magufuli Ali enroll mwaka 2006 na akapewa PhD mwaka 2009 yaani kafanya miala 3 kinyume na prospectus ya UDSM.ulichoandika hapa ni definition halisi ya mtu mbumbumbu
phd fake kwa mujibu wa nani? unaweza kuweka ushahidi wa hilo?
Cheti feki kinatolewa UDSM?Leta hoja nyingine, kama ni cheti feki hata Magufuli mwenyewe PhD yake ilikuwa feki. Na alipohojiwa na Ben Saanane akamuua
Kalijua kataishi daima😸Ni miaka 5 sasa Magufuli alipotoa kauli hii saa chache baadaye Tundu Lissu alishambuliwa Dodoma.
Nawawekea watu wa Forensic kuna siku tusiyoijua clip hii itakuwa ushahidi muhimu.
Nilikuwa napiga mahesabu Leo nimebakiwa na miaka 26 kufika 60...kweli duniani tunapita aiseePamoja na ubabe,ukatili na kukosa utu kwa kisingizio cha uzalendo na yeye kaondoka,kila tunaambiwa dunia ni mapito tu.
Vipi, bado ana deal with them?Wachawi akina Mbowe na genge lake la mabeberu walitumia huu mwanya kutaka kuichonganisha serikali na wananchi. Hakika Lissu ataendelea kuwa msaliti.
Ilishindikana Ndo maana ikawezekana kwake,Mungu aliyehai anafanya kazKwani angetaka kumuua si angemmaliza tu au unadhani kipi kilishindikana kummalizia Lissu baada ya kutoka hai kwenye lile shambulizi?
Ikawezekana vp kwani Lissu ndio kamuuwa Magufuli?Ilishindikana Ndo maana ikawezekana kwake,Mungu aliyehai anafanya kaz
Halafu kuna mtu anaona Lissu ndio mshindi kwa kutofariki kwenye lile shambulizi ila hajiulizi mateso aliyopitia Lissu na hali aliyonayo sasa Lissu.
Halafu kuna mtu anaona Lissu ndio mshindi kwa kutofariki kwenye lile shambulizi ila hajiulizi mateso aliyopitia Lissu na hali aliyonayo sasa Lissu.
Kwani UDSM ni nani wasitoe cheti feki wakati London School of Economics walimpa mtoto wa Gaddafi PhD feki? Wewe unaiheshimu UDSM kwa vile umesoma pale lakini waliofundisha pale wanapaita JALALANI? Kama alivyosema Prof KabudiCheti feki kinatolewa UDSM?
unazijua process za mtu kupata phd?Kama hujui kuwa PhD ya Magufuli ilikuwa feki basi ni wewe tu. Thesis ya Magufuli kuhusu maganda ya korosho ilikwishandikwa na Dr Y Philip. Supervisor wa Magufuli ndiye aliyekuwa Supervisor wa Philip. Hatimaye alimzawadia Prof Buchashaija uteuzi baada ya kupata Urais wa Tz
Kwa hili Bakita walipaswa kudeal naeKwanza huyu mwendazake alikuwa anatuvurugia R na L zetu vibaya mno.
Huwezi kuwa mshindi bila kushindana, Lissu yeye kashambuliwa tu na wala hakuwa akipambana na hao wasiojulikana na mwisho wa siku ni yeye ndio muhanga na hakuwahi kujibu mashambulizi...Lissu ni mshindi kwasababu malengo ya waliomshambulia hayakufanikiwa.
Huwezi kuwa mshindi bila kushindana, Lissu yeye kashambuliwa tu na wala hakuwa akipambana na hao wasiojulikana na mwisho wa siku ni yeye ndio muhanga na hakuwahi kujibu mashambulizi.
Anandunda wakati mwenzako katiwa ulemavu, hakuna Lissu alichoshindana zaidi ya kujikuta anashambuliwa na kupata bahati ya kutoka hai sasa huo ushindi sijui hata wa aina gani na wakati wewe unamuona mshindi yeye bado hayupo hata kisaikolojia toka atokewe na lile tukio...waliomdungua marisasi yote yale walitaka afie pale area D, lakini Lissu bado yuko unadunda. Katika mazingira hayo tunasema Lissu ni mshindi.