Iko siku hii clip ya Magufuli itapata viewers wengi sana. Naitunza hapa

Iko siku hii clip ya Magufuli itapata viewers wengi sana. Naitunza hapa

Ni miaka 5 sasa Magufuli alipotoa kauli hii saa chache baadaye Tundu Lissu alishambuliwa Dodoma.

Nawawekea watu wa Forensic kuna siku tusiyoijua clip hii itakuwa ushahidi muhimu

View attachment 2353218
Mi nnachojua ni kuwa Daudi alimuua Goliath dhalimu na mtetezi wa watesi mafilisti against wayahudi, mpaka kesho stori yake Daudi ya mauaji ni ushujaa wa kujivunia wanaizraeli na chawa wao wote ulimwenguni…Goliath angemuua Daudi story ingesomeka kinyume… Daudi alimtuma askari wake frontline akafa yeye akachukua wife, wakamzaa wakwanza akafa then Suleiman, mfalme mwingine tena na vitabu vyao tunavikariri kuanzia Madrasa mpaka Sunday school, imagine bado huyo huyo Daudi ni superhero kwa chawa hawa, hakika usimuache nyoka akakiinua kichwa chake mbele yako, utaumwa wewe na hili ni fundisho.

Kazaliwa masiha akaitwa mwana wa Daudi, yule yule chinjachinja, I guess somethings will never get to understood with our simple minds.
 
Wachawi akina Mbowe na genge lake la mabeberu walitumia huu mwanya kutaka kuichonganisha serikali na wananchi. Hakika lisu ataendelea kuwa msaliti
Nampenda mtu anayewaza nje ya box, inaweza isiwe Mbowe directly, ikawa balozi za nje, ikawa wanaCCM maadui wa serikali iliyokuwepo madarakani, au vinginevyo na inawezekana ikawa ni Magufuli mwenyewe…. Ukweli hautakuja julikana dunia hii iliyojaa wanafiki, waoga, waongo na uzandiki mtupu kuanzia chini mpaka juu kabisa, labda mbele ya safari kama kuna uhai.
 
Kwani Urais unagombewa na wangapi na wanaoupata ni wangapi kwa muda gani?
Swali la ajabu sana hili. We unafikiri nilichokisema utakielewa tena hata nikijaribu kukujibu ili ushawishike .

Kama upo negative juu Magu imeisha rudi kwa Mwl wako wa uraia
 
Ukweli ni kuwa Dkt Magufuli hakuamrisha lisu auawe. Ila ni kama vile mtaani ukimtishia mtu then wachawi wanapita naye. Yeye aliongelea uzalendo. Na waliofanya hilo tukio ni Mbowe na mabeberu.
Nyooo, sasa ugumu ulikuwa wapi kwa Magu kuitisha uchunguzi wa shambulio lile!?
 
Hapana huo ulikuwa ni ujumbe kwa wasaliti wengine pia. Wakati anaongea haya tayari mawasiliano ya tundulissu yalidukuliwa na TISS akiomba nyaraka kutoka Barrick ili awasaidie namna ya kupambana na serikali.

Kwa lugha nyingine tundulissu aliamini anapambana n Magufuli badala ya kupambania taifa. Hiyo mentality ya kuamini anapambana na mtu ndio iliyomletea ulemavu wa kudumu. Vinginevyo hadi sasa angeendelea kusimama kwenye vizimba vya mahakama akiwapambania watanzania.

thats the reason hataki kurudi anajua adui zake walihamishwa kutoka kua magufuli mpaka kuwa serikali.
 
Hao Tiss wako kunasa tu mawasiliano ya Tundu Lisu, hawakuona mikataba ya kihuni ya madini? Hawaoni uhuni unaondelea bandarini? Kuna yule mtu alijiunganishia bomba la mafuta na hakuna hatua ya wazi iliyochukuliwa, je hao usalama wa taifa ni kwa ajili ya kuwakomoa wapinzani wa viongozi walioko madarakani?

kama ana akili kuliko kupiga hela zenye kumletea matatizo ni bora angeungana na hao wanaosaini mikataba mibovu ili TISS wasimwone.

kila sehemu mtu anaweka siasa,kumbe sehemu nyingine ni maslahi ya taifa zaidi.
 
10 September 2022

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA MAHAKAMA YA UMOJA WA MATAIFA PAMOJA NA MAJAJI WA MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINADAMU NA WATU IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

MICHUZI BLOG AT SATURDAY, SEPTEMBER 10, 2022 HABARI,

3-32-1024x525.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Mahakama ya Umoja wa Mataifa (UN International Residual Mechanism for Criminal Tribunals-(IMRCT) Craciela Gatti Santana aliyeambatana na Ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam

6-14-737x1024.jpg
7-11-1024x636.jpg
8-10-1024x462.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha pamoja na Rais wa Mahakama ya Umoja wa Mataifa (UN International Residual Mechanism for Criminal Tribunals-(IMRCT) Craciela Gatti Santana mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam

5-20-887x1024.jpg
9-5-928x1024.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Rais wa Mahakama ya Umoja wa Mataifa (UN International Residual Mechanism for Criminal Tribunals-(IMRCT) Craciela Gatti Santana mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam

10-3-1024x459.jpg
11-3-1024x466.jpg
12-2-1024x458.jpg
13-2-1024x339.jpg
14-3-1024x462.jpg
16-2-1024x716.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu Jaji Iman D. Aboud aliyeambatana na Ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam

17-1-1024x496.jpg
18-2-942x1024.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu Jaji Iman D. Aboud pamoja na Ujumbe wake mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam.
 
wamgenijumuisha Mimi wakati wanaenda kumlambisha Shaba nisingekosea.

tuko vitani lisariti linajitia ujuaji wa kuijiona Lina akili sana piga Shaba ya pumbu au kichwa huko.

na ndo maana linaogopa kurudi linajua dhambi lililozifanya.

idiot

Niliwahi andika hapa adui za Lisu watakamba mchanga Lisu akishuhudia.
Angalia usijeacha watoto Yatima na Wajane.

Tofauti za kimtazamo katika Siasa zisikuingize ushetani wa kijinga
 
10 September 2022

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA MAHAKAMA YA UMOJA WA MATAIFA PAMOJA NA MAJAJI WA MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINADAMU NA WATU IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

MICHUZI BLOG AT SATURDAY, SEPTEMBER 10, 2022 HABARI,

3-32-1024x525.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Mahakama ya Umoja wa Mataifa (UN International Residual Mechanism for Criminal Tribunals-(IMRCT) Craciela Gatti Santana aliyeambatana na Ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam

6-14-737x1024.jpg
7-11-1024x636.jpg
8-10-1024x462.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha pamoja na Rais wa Mahakama ya Umoja wa Mataifa (UN International Residual Mechanism for Criminal Tribunals-(IMRCT) Craciela Gatti Santana mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam

5-20-887x1024.jpg
9-5-928x1024.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Rais wa Mahakama ya Umoja wa Mataifa (UN International Residual Mechanism for Criminal Tribunals-(IMRCT) Craciela Gatti Santana mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam

10-3-1024x459.jpg
11-3-1024x466.jpg
12-2-1024x458.jpg
13-2-1024x339.jpg
14-3-1024x462.jpg
16-2-1024x716.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu Jaji Iman D. Aboud aliyeambatana na Ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam

17-1-1024x496.jpg
18-2-942x1024.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu Jaji Iman D. Aboud pamoja na Ujumbe wake mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam.

UN International Residual Mechanisim for Criminal Tribunal-(IMRCT)

Organization
The Mechanism operates across two branches: one branch in Arusha, United Republic of Tanzania, and the other in The Hague, the Netherlands.

Functions of the Mechanism
In accordance with its mandate, the Mechanism has assumed responsibility for a number of functions of the ICTR and the ICTY. These essential functions are discussed below...

Cases
The Security Council, by its Resolution 1966 (2010), established the Mechanism to carry out a number of essential functions of the International Criminal Tribunal for Rwanda and the International Tribunal for the former Yugoslavia. In accordance with its mandate, the Mechanism has assumed responsibility for, inter alia, the enforcement of sentences, administrative review, assignment of cases, review proceedings, appeal proceedings, contempt, requests for revocation of the referral of cases to national jurisdictions, the variation of witness protection measures, access to materials, disclosure, changes in classification of documents and requests for compensation and assignment of counsel. The Selected Ongoing Cases are only a few of the pending judicial proceedings, related to the above-mentioned essential functions, currently before the Mechanism. For information about all proceedings before the Mechanism, see All Mechanism Proceedings.

Selected Ongoing Cases
Source : Cases | UNITED NATIONS | International Residual Mechanism for Criminal Tribunals
 
Judge Graciela Gatti Santana, President

Uruguay
Judge Graciela Gatti Santana
President of the International Residual Mechanism for Criminal Tribunals since 1 July 2022.

Judge Graciela Gatti Santana was born in Montevideo, Uruguay, on 1 June 1964.

On 27 June 2022, the United Nations Secretary-General has appointed Judge Gatti Santana as the new President of the International Residual Mechanism for Criminal Tribunals (Mechanism) for a term of two years, effective 1 July 2022.

Judge Gatti Santana has served as a Judge at both national and international levels for over 29 years.

After having practiced as a Public Notary and as a Lawyer from 1987 to 1992, she joined the Uruguayan judiciary in July 1992 when she served as a Justice of Peace at the Department of Montevideo. Since December 1994, she has been a Judge and, in that capacity, assigned to work before different courts and in various locations of Uruguay.

Between 1994 and 2003, Judge Gatti Santana served as a Judge in Paso de los Toros, Carmelo, Maldonado and Montevideo, during which time she dealt with civil, criminal, family and labour matters. In 2006, she was assigned to work as a Criminal Judge of the 7th Circuit Court and, in 2008, as a Judge for Organised Crime at the 1st Circuit Court. In 2012, Judge Gatti Santana was promoted as an Appeals Judge to the Civil Court of the 4th Circuit Court and, since February 2016, she is serving as a Judge of the Court of Appeals in Criminal Matters.

Judge Gatti Santana has been appointed as a Judge of the Mechanism in December 2011 and took oath as such in May 2012. In that capacity, she has been called to exercise functions for the Mechanism in a variety of judicial matters. In particular, Judge Gatti Santana served as one of the Judges of the Appeals Chamber in the Karadžić case. She is now sitting as one of the Judges of the Trial Chamber panel in the Kabuga case.

In 2016, Judge Gatti Santana was appointed by former President of the Mechanism, Judge Theodor Meron, to serve as a judicial member of the Mechanism’s Rules Committee. As such and since then, she has been actively involved in the amendments to the Rules of Procedure and Evidence for the Mechanism.

Simultaneously, in Uruguay, between 2016 and 2017, Judge Gatti Santana participated in the work to implement the new Uruguayan Code of Criminal Procedure. She acted as the Coordinator of the Coordinating Group of the Judiciary for the Implementation of the New Code of Criminal Procedure and as a representative of the judiciary within the specialised inter-institutional Commission established for its implementation.

In 2019, Judge Gatti Santana represented the Uruguayan judiciary and provided assistance before the Inter-American Commission on Human Rights during its 174th session on the thematic hearing “Challenges for the search of the truth and justice in Uruguay”.

Besides, since March 2021, Judge Gatti Santana has been the President of the Association of Magistrates of Uruguay.

Judge Gatti Santana has also been teaching as a Professor at the University of Montevideo and at the Universidad de la Empresa, Uruguay. In addition, she is a Professor at the Uruguayan judiciary school (“Centro de Estudios Judiciales del Uruguay”) where she teaches “Evidence in criminal matters”.

Judge Gatti Santana graduated as a Public Notary in 1987 and as a Lawyer in 1988 from the University of the Republic of Uruguay (“UDELAR”). In 2008, she studied at the University of Alicante, Spain, where she obtained a postgraduate course in Legal Argumentation. Judge Gatti Santana subsequently completed a Masters in Law at the University of Montevideo, Uruguay. Since 2020, she is pursuing a Doctorate in “Criminal Law and Criminal Sciences” at the University of Salvador, Argentina.

On top of her native Spanish, Judge Gatti Santana is fluent in both English and French.

Source : Judge Graciela Gatti Santana, President | UNITED NATIONS | International Residual Mechanism for Criminal Tribunals
 
Halafu kuna wale watetezi wa DIKTETA wanakuambia eti Magufuli anachafuliwa? Unamchafuaje mwehu kama huyu anayetangaza kwenye mkutano wa hadhara kuwa "msaliti" huuawa na few hours jaribio la kumuua Lissu linafanyika.

Isitoshe kusema ukimpangia kumdhuru mtu mwema kama Lissu, Shetani anakuingia anakuacha uropoke kama alivyoropoka Magufuli ili tupate ushahidi. Mungu hakupenda adhma mbaya ambayo Magufuli alikuwa nayo dhidi ya Lissu kwa vile Lissu ndiye mtetezi wa kweli wa raslimali za madini tangu miaka ya 2000 wakati wa Mkapa akiwatetea wachimbaji wa Tarime na wakati akiwa Mbunge kipindi chote cha Kikwette akiwa msemaji wa Kambi ya upinzani kwenye sekta ya madini. Wakati huo Magufuli alikuwa kimya kwenye Kambi ya CCM ambapo Lissu na upinzania walikuwa wanapambana na Serikali bungeni hadi kutoka nje ya Bunge kukataa kuwa rubber stamp ya Sheria mbaya za madini.

Mungu asingeruhusu dhuluma kama hii itokee kwa Lissu hivyo, Magufuli akashindwa kumuua na hatimaye akafa yeye Machi 17, 2021.

Hata kama huamini Mungu, kwenye hili tukio la Lissu na Magufuli Mungu alisima katikati kama alivyosimama dhidi ya Nebukadineza alipotaka kuwadhuru akina Nabii Daniel na hawa akina Meshack, Abdenengo na Shadrack (Danieli 1-3). Muacheni Mungu aitwe Mungu
Wazee wa nyamongo wanampenda sasa Lissu. Lissu aliwapambania wakazi wa nyamongo kuhusu haki katika umiliki wa rasilimali chupuchupu auawe.

Wasiojua historia ya Lissu hawawezi kumwelewa fika nia yake, ila kiufupu lissu sidhan kama ni mwanasiasa bali mtetezi wa wanyonge, na ni kazi aliyoifanya kabla ya siasa.

Kikwete alikuwa anaukubali Sana uwezo wa lissu, na hata Samia ukimwangalia kabisa unaona anajua fika Lissu ni mtu wa aina gani , na alimthamini na anathamini mchango wake.

*Magufuli was very evil, na alipendwa kutukuzwa zaidi ya Mungu.

*Hakuna kiongozi mwenye akili timamu anayeweza kwenda kutukana/kukejeli kanisani/msikitini kama Magufuli.

*Alikuwa ana dharau, unafki, na ujuaji wa KIJIMA. Ni Rais pekee aliyekuta CORONA kwenye mapapai na fun base yake ikawa inaona ana akili sana kumbe ni upumbavu mtupu.
 
Baada hata ya miaka 1000, hii clip itaonyesha kwamba msaliti wa taifa anapaswa kuuawa! Na Magufuli at aonekana ni kiongozi bora sana aliyetimiza hilo la kudeal na wasaliti wa taifa.
Magufuli is disgrace for this nation. Hamna mtu mwenye utimamu wa akili anayeweza kuona alikuwa mtu wa maana.

Alikuwa mtu wa kupandikiza chuki na utengani baina ya jamii. Mwenye upendeleo wa wazi kwenye cake ya taifa na aliyependa kuabudiwa kama mungu. Rest in hell Magufuli.
 
Kwahiyo hakukuwa na nafasi ya kummaliza alipokuwa hospitalini hapa Tz kabla hajaenda Kenya?

Hospitali ipi, haikufika masaa 10 toka aliposhambuliwa akiwa hapa nchini. Na aliyeagiza asingeweza kuendelea kutoa maagizo ya unyama kuendelea maana hata yeye hakujiandaa kuwa atabaki hai. Kumbuka viongozi wa CDM walikuwa naye karibu muda wote toka walipopata taarifa ya shambulio lake. Hivyo dhalimu ilibidi ajiweke mbali ili isifahamike kuwa ni maagizo yake. Lakini ingefika 24hrs akiwa hapa nchini, lazima kamati ya roho mbaya ingeagiza hatua za kumaliza mchezo.
 
Back
Top Bottom