IKULU: Rais awataka Msajili na Vyama vya Siasa kutafuta njia bora ya kufanya mikutano ya hadhara nchini

Nini kilichopelekea vyama kukatazwa kufanya mikutano, je waliwahi kuvunja sheria wapi na lini, mbona hawasemi.?

Magufuli hakutaka mikutano ya vyama kwa sababu alijua watamlipua kwenye majukwaa kwa sababu ya maovu yake, huo ndio ukweli fikra ambayo anaiendeleza huyu rais wa sasa.

Wanaogopa madhaifu mengi ya serikali yatakuja kuanikwa hadharani na wapinzani, hakuna sababu yoyote inayowafanya wakataze mikutano ya vyama wakati katiba inaruhusu. Waache unafiki.
 
Mikutano kuwa huru ni takwa la kikatiba na wala Rais haitaji kutolea tamko maana katiba iko juu ya Rais.

Hawa jamaa wakati fulani nahisi labda hawana kabisa akili.
 
Chief Hangaya on this one...

Mama nae...
 
Kuongea kwa mihemko humu jamii JF hakuongezi wala kupunguza kitu kutoka kwenye iyo barua ukubal ukatae mtafata barua ilivyo agiza

Kla sku viongozi wenu wanawaomba mtoke barabaran mtafute haki zenu kwa nguvu nyie mnazani ni masihala siasa ni mapambano sio mikwala ya kijinga umu JF

Serikal ikisema akuna mikutano ni akuna mikutano ilo mmeliona kwenye uongozi wa JIWE

Siasa za kashifa na lugha ya kuuzi alizizoea mzee wetu Kikwete mtamtukana atawaita ikulu mtakunywa juice na sambusa zen mnapiga pic ila hawa wengne siasa izo hawaziwezi Chadema jifunzeni ilo na mtafute njia ingne nzuri ya kufanya siasa na viongozi hawa wa sasa.

Mbowe akifungwa itakua ni faida sana kwa chadema. Mbowe ni kachelo wa serikali na mbowe ndo anaeiuwa chadema ilo harina ubisha . Chadema ilizalishq vijana weng wazuri sana kisiasa ila mwisho wa sku wote hawaonekan walikopotelea na wengne wamejiunga na CCM tutasema walinunuliwa ila tujiulize vijana wote wa chadema huwa wananunuliwa au kukengeuka Ukianza na Zitto to Mdee.

Chadema imebaki ya kina Lissu,mbowe , msigwa,sugu,heche,lema na mnyika wengne wote ukihoji utaambiwa wamenunuliwa au wamekengeuka majb ya kijinga kbsa

Funga gaidi mbowe kwa maslai mapana ya Chadema
 
ID yako ilitakiwa iwe jabali la CCM na siyo la Siasa,una akili za kipumbavu sana, Chadema imeleta fujo gani?
Fujo mnazo nyie ma CCM,kisa Dola inawatii.
Msikosolewe nyie nani pumbavu nyie?
 
... the best way ni kuzingatia Katiba inavyosema; Msajili anaweza na always yuko biased! Msajili na Katiba nani superior? Mbona Katiba ya nchi inapuuzwa namna hii?
Kweli mkuu. Rais aache kuzungusha mambo. Katiba iko wazi.
 
... the best way ni kuzingatia Katiba inavyosema; Msajili anaweza na always yuko biased! Msajili na Katiba nani superior? Mbona Katiba ya nchi inapuuzwa namna hii?
Daah
 
We una chuki Sana Na Samia, Cha kukusaidia ni upigwe sindano ya sumu ufe taratibu
 
Rubbish
 
Mikutano ya kisiasa sio hisani ya Rais/ watawala ni takwa la Katiba.
 
Kwa nini mtu asishtakiwe kwa alichofanya badala ya haya tunayo yaona!.mfano kumbe kuna mashehe huko jela miaka 8 mwee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…