Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

Labda ni roho za kutu tu walizonazo watu.

Wengine hufurahia madhila ya wengine maana furaha hiyo huwapa faraja dhidi ya madhila yao.

Wakiona mtu kapatwa na mabaya, wanazisahau kwa muda shida zao.
Mimi nimeangalia mijadala hii toka Jana na kwa makini sana.
Sijaona tofauti ya hawa wa Leo wanaofurahia madhila yaliyokuwa yanasemwa kuhusu Rais na wale waliokuwa wanasherehekea Lissu kupigwa risasi na kuandaa tafrija kuwa kafa, au wale wanaojuwa aliondoka Dodoma akiwa na hali gani lakini wakakataa kugharamia matibabu yake?
Au hata huyo Rais anayesema kama kijembe kuwa jimbo la Singida East sasa atalihudumia kwani kwa muda mrefu liliachwa bila uwakilishi?
Pande zote mbili za upinzani na tawala zimeonyesha kukosa hekima na utu kwa maisha ya wengine na no upumbavu mkubwa.
Hii inaonyesha Tanzania ya Leo is not the same again, na inasikitisha.
Lakini tabia ya taifa ikiharibika wa kwanza kulaumiwa ni utawala! Pengine wao ndio wameleta tabia ya kubaguana na kuchukiana. Ila ninaamini kwa hali hii ya yaliyotokea kuna LA kujifunza kuhusu mahusiano ndani ya jamii
 
Huu muandiko wa Kigogo Kabisa

Unafki Tanzania mkubwa sana walahi!
 
Wewe ni mlamba viatu, huna unalojua, hiyo ni recorded event, Tulia ukweli unakwea ngazi, hutokuja tena humu na pumba zako
 
Mkuu hii ni kweli au radio Mbao?

Yaani namjua toka akiwa chuo anachukuwa masters pale kabla hata ya ubunge nilikuwa mdogo lakini kuna uhusiano nitaishia hapo nisije kuhusika kwenye usalama.
 
wadau wa nyuzi ya waliowahi kula tunda kimasihara twendeni tukaucheki uzi labda kuna update... namuona hata mshana wa humu kapuyanga leo mnajifanya mpo kwenye mfumo hamuijui nchi hamjui protocal basi tu ahahah victoire daadaa angu nakuona hurumaa sana maaana..............
 


Utofauti na incident ya Lissu ilikuwa ni nani kamtenda na sio kushangiliwa risasi.. hakuna aliyekuwa GT angeacha watu wasingizie wengine na kutotaka wao kujichunguza sebuleni kwao nani kayatenda.. vyeo vya kule lazima lile lingemtokea kama kwa waliopita. Kumbuka watu hawakuongelea yeye afe wamzike.. fikiria sio kudandia kwa kushushuka leo

Na aliyemcharaza zile risasi ni wenza wake..
 
Tumeshajua Dawa Ni Moshi ...akiona Moshi lazima atoke nduki
Kuna hawa watu, niliona post zako hadi nikashangaa kama kweli upinzani kuna watu wenye akili timamu
- Lema
- Heche
- Zitto
- Mashinji
- Lissu
Ila namuomba mh. Raisi awakanyage kwelikweli, safari hii asione huruma hata kidogo kwa hawa
 
The stupid thinks today will continue being today eternally,you're already blacklisted your gates are open in Hades wherein you belong.
Your master is dead, and he won't be back to life, whether you weep or rejoice he's merely gone.
 
Kuna hawa watu, niliona post zako hadi nikashangaa kama kweli upinzani kuna watu wenye akili timamu
- Lema
- Heche
- Zitto
- Mashinji
- Lissu
Ila namuomba mh. Raisi awakanyage kwelikweli, safari hii asione huruma hata kidogo kwa hawa
Awakanyage wapi? Mungu keshamkanyaga yeye tayari.
 
Hivi jamani huku kwetu huwa hatuna DOUBLES? Je, ni mimi peke yangu ninayehisi kuwa huyu jamaa aliyeapisha kuna features anazo zipo tofauti na mzee baba?🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…