Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

Kwa nini mistake ya korosho ni ya kiufundi na si ya kijinga? Ikiwa watu tulio nje ya serikali tuliona tunakokwenda na kuonya. Na yale tuliyoonya ndiyo hayo yaliyotokea.

Kwenye katiba.

Ukiambiwa anakuja mtu kukupiga risasi leo, kwa sababu haki yako ya kikatiba ya kuhakikishiwa usalama imevunjwa, na kuirudisha watu wanangojangoja kwanza , utakubali upigwe risasi na watu wangojengoje kwanza kurudisha haki yako ya kikatiba?
 
Povu la nn sasa?
 
Povu la nn sasa?
Unaweza kuona povu wakati hata chafya ya reflex action sijapiga.

Kwa sababu huwezi kuelewa msingi wa maandiko yangu.

Yani maana yake hata nikikusalimu kwa kukushika mkono kawaida tu utasema nimekubana kiganja chako.

Kwa sababu ya udhaifu wako mwenyewe.
 
Stupid
 
Nadhani ni mistake ya kuiufundi kwasababu serikali haikuwa na nia mbaya kuhusu hili suala la korosho.sema hatua zilizochukuliwa zilikuwa za kisiasa zaidi,hazikuwa za kitaalamu kulingana na field ya uchumi wa nchi na soko la dunia kwa ujumla,( mimi sio mtaalamu wa uchumi).

Hili la katiba aisee ni gumu sana ,mda mwingine inabidi tu ivunjwe ili mambo yaende sawa, katiba sio msahafu au biblia,hatuwezi kuogopa kuchukua hatua fulani kisa tu inapingana na katiba,kwahili potelea mbali ... tunachotaka tu mambo yasonge.hili la kutofanya mikutano kwani limeshusha mauzo ya nini soko la dunia? ,
 
Babu kibamia unajijibu mwenyewe nani achomwe hivi huyo mtu anafaida gani kwa nchi zaodi ya yeye mwenyewe na genge la wahuni akina lemutuz makonda and the like

Mbona umenikimbilia mimi.. unayoyaongelea sitajui.. umekosea wa kumutagi..

Pokea hizi zaidi 💉💉💉😀😀😀
 
RAISI MAGUFULI CHONDE CHONDE USIWAONEE HURUMA CHADEMA, WAKANYAGE KWELIKWELI KWA KADRI UTAVYOWEZA!
 

Dereva na Lissu wameshahojiwa au kutoa maelezo!!! Haswa dereva aliyekimbizwa.. muda wa kuyaandika sina.. rudi kwa nyumaaa kayasome au kuyasikiliza

Eti hoja za kijinga.. sijakushangaa wewe kuona hivyo as upo hivyo.😀😀😀😀💉💉💉🤡
 
Unaelewa maana ya "The road to hell is paved with good intentions" ?

Kwenye katiba.

Hujajibu swali langu. Utakubali kupigwa risasi?

Huelewi kwamba kuna uhusiano wa moja kwa moja wa mikutano ya siasa kukatazwa na serikali kufanya maamuzi yanayoangusha mauzo ya mazao kama korosho kwenye soko la dunia?
 
MTU alikaribu na mungu hawezi kuogopa kifo wala maradhi kwani hivo nivitu ambavo haviepukiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…