Inategemeana mna uhusiano gani na huyo mwanamke maana sio rahisi from no where aje kwako kuomba msaada kifedha.Soma ujumbe nilioandika ,nafasi ya mume iko wapi kama mkewe anapata tabu?
Kabiiiiiiisa
Anakopa wapi hujaelezea?Kwenye vikoba au wapi?Habari wakuu ,
Kama kichwa cha mada hapo juu: wanaume wenzangu ambao mmeoa inakuwaje mkeo anakopa japo anafanya kazi ? Kwa nn usikompee wewe?
Mwanamke ana kazi ila anakopa pesa ndogo ndogo kama 20k ,30k,50k...Ukiangalia ana mume wa ndoa tena ana kazi ...Hivi kweli kwa nn watu wanapenda wake zao wapate tabu?
Mtego huo ukimkopesha mtalipana kiutuuzima.Habari wakuu ,
Kama kichwa cha mada hapo juu: wanaume wenzangu ambao mmeoa inakuwaje mkeo anakopa japo anafanya kazi ? Kwa nn usikompee wewe?
Mwanamke ana kazi ila anakopa pesa ndogo ndogo kama 20k ,30k,50k...Ukiangalia ana mume wa ndoa tena ana kazi ...Hivi kweli kwa nn watu wanapenda wake zao wapate tabu?
Wewe unaona kuna usalama kweli hapo?Tema mate chini.
Wangoni hawanaga roho mbaya..!Wewe unaona kuna usalama kweli hapo?
Huwezi jua, kumbe alipokuwa mdogo aliwahi kuwa kichwa sasa akiwa mkubwa kinaibuka tenaMambo ya kuolewa na vichaa
Hapo hapo anamichepuko, ndugu hapo hapo na bora wawe wazazi lakini dada zake ambao wanapata watoto bila kuolewa wakimtegemea kaka atawasidia.Ni kweli. Wanaume wenyewe asilimia kubwa wana vipato vidogo halafu hapohapo wanataka wake zao wasifanye kazi. Lazima watakua ombaomba.
Soma uelewe au anzia niliko quote smsUmeongea nn sasa.... Yaani kuna million 1 katika familia imetumika laki 5 mwanaume,uNataka laki 5 nyingine ya mwanamke isitumike ikae tu
AhahahHuwezi jua, kumbe alipokuwa mdogo aliwahi kuwa kichwa sasa akiwa mkubwa kinaibuka tena
Kumkopa ex mmm mazoea ex hapanaMi ex wangu aliolew miaka 2 imepita ila ajabu no ameanza mazoea ya kunikopa kpa pesa mi nampa na ntapasha kiporo
Muwka hazina nimeshawasiliHuu uzi ufichwe kataa ndoa wasije wakauona
🙂
Wanawake wakikopa pesa huwa hawana mpango wa kurudisha. Mkopeshe tu kile ambacho uko tayari kupoteza. Yaani ni kama kumpa msaada tu.Huyo anayemkopesha mke ni jinsia gani,kama ni KE kwa Ke sawa.
Ila kama mwanamke anaenda kuazima vijisent Kwa mwanaume ni dhahiri wanaweza kulipana kivingine.
Mimi mwenyewe niliwahi kumkopesha Ke ambaye si mke wa mtu ila ni mtu mzima yaani naweza sema hata miaka 10 kanipita, akaahidi na tarehe atayorejesha, chaajabu katika asilimia 100 ya pesa niliyomkopesha alinirudishia asilimia 20 akadai hana pesa.
Nilipo muuliza nyingine atanipa lini akasema hana namna yeyote na pesa hana,ila Mimi niseme namsaidiaje.
Yaani mtu unamdai halafu uanze plan za unamsaidiaje
Wewe utakuwa mboga saba ila Kuna familia hata mulo moja Kwa siku ni mtihaniHakuna mwanamme anaewalaza njaa wanafamilia hasta mmoja!!
Na huwa mnawanyima huku mmeshiba msosi Kwa sana na kifurushi Cha Azam on!!
Visirani tu!
SureWanawake wakikopa pesa huwa hawana mpango wa kurudisha. Mkopeshe tu kile ambacho uko tayari kupoteza. Yaani ni kama kumpa msaada tu.