Ipi sifa yako kuu moja inayoelezea personality trait yako?

Upole unatufanya baadhi ya watu watupande kichwani
Wewe ndiye mimi kabisa! Hasa nilipokuwa kwenye ujana ndiyo ilikuwa balaa kabisa! Angalau baada ya kuwa mtu mzima nilijitutumua!
 
Mbona kama tunafanana hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…