Iran imerusha makombora kwenye base za USA za Qatar na Iraq

😂😂😂😂
 

Punguza makasiriko Mkuu.

Wapi umeona namlaumu Irani mimi?
 
Kipindi kile yule kamanda wa Iran seleman kassim alivyo nyonyolewa Iran ilifanya hivi hivi kwa kurusha makombora kwenye kambi za Marekani kule Iraq . Pamoja na kurusha makombora yale hakuna chochote Marekani ilifanya, sababu ya Marekani kugwaya kipindi kile kuivamia ni namna ambavyo Iran ilikuwa ikitisha kipindi kile kwamba anga lake haliingiliki kirahisi ni moto wakuotea mbali .Sasa atachapika kirahisi maana Israel yupo kule alishaiaza kazi ,kwa hiyo wanaenda kumaliza kazi ambayo Israel ilianza.
 
Mdogo mdogo mara Iran (Shia)? versus Sadia (Sunni)mwisho Makkah is down, Makkah is down. Wataangamizana kwa mikono yao wenyewe wasipopata akili wale wana wa upanga.
Hili naliona IPO siku Makkah itakuja kuangamizwa na kufutwa kabisa na waislamu wenyewe
 
Iran anachafukwa anapiga bomu pale kwenye jiwe jeusi 😂
Na Ayatollah alishaponda ishu ya kwenda kuhiji Macca kuwa walipigwa maana mnufaika Mkuu ni Saudi Arabia, si patachimbika hapo Mkuu?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Madhara yaliyotokana na hili shambulio ni almost hakuna so US hatakuwa na haraka kujibu. Ni kama Iran wamepiga tu ili mradi wawaridhishe wananchi wao kuwa wamejibu
Madhara yapo Kuna wakina mama wamezimia huko Doha hawajawahi kuona mabomu
 
US ata awe na base 10000 hawezi kwenda vitani peke yake ever
Basi nenda wewe peke yako vitani pia itafaa sana, unampangiaje adui yako namna ya kukuangamiza?

Umelikoroga mwenyewe pambana na hali yako.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Dah wamatumbi bhana kwa hiyo nyinyi ndo mna hizo info ambazo CIA hawana
Umeona sasa Iran anasema Hakuna Makubaliano ya kusitisha Mapigano (Ceasefire) Wakati Trump anasema ameutangazia ulimwengu wote kuwa Iran has agreed to Ceasefire
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…