Wewe unafikiri hayo yote Marekani hayajui?Soon Marekani atakimbia, maana kitakacho tokea kupanda kwa gharama za maisha kitu ambacho tayari kishatokea kule USA.
Iran Ina advantage ya Strait of Hormuz ambapo karibia Asilimia 20 ya shughuri zote za kiuchumi zinategemea hapo... Iran amefunga hakuna meli kupita nchi nyingi mpaka Sasa zimeanza kutesekan kule USA gharama ya Gas imepanda... Lakini pia Saud Arabia maisha yamepanda coz importation & Exportation imeshuka kwa kiwango kikubwa sana.
Kwa upande mwingine USA anatumia gharama kubwa sana kupigana hiyo vita ukilinganisha na Iran... U. S. A anatumia takribani dollar zaidi ya 700M kila siku vitani, lakini mpaka Sasa hakuna matumaini ya kufikia malengo zaidi tu anapata financial crisis.
Kwa mtazamo wangu hii vita sidhani kama itamaliza huu mwezi, Marekani ataamua kurudi nyuma kunusuru uchumi wa Dunia.
Ndio apo sasa πππUmejibu kilokole hapa mkuuπ
ππ Hili jamaa itakua lilipania sanaKuivamia
Mkuu kuna Wakurdi wengi mno waliokataa ni full Jeshi la Wakurdi ambao wapo Iran na wengine Iraq. Na kuna Wakurdi puppets wa west wapo kambi za Marekani wanako ibia mafuta huko ndio wanapewa kichapoMbona mchana huu wametangaza kukataa kujihusisha na vita!?
Au baada ya kichapo ndio wakakataa!?
Humu ndani kuna habari za upande mmoja, mostly hakuna kabisa brief official toka Jeshi la Iran, kila shambulio Jeshi lenyewe la Iran wanatoa Taarifa. Sina Muda ila na Mimi ningeweka. Angalau sasa hivi King faisal anaweka na za upande wa Iran.Hayo mambo huwa mnajuaje?
Jerusalem gani inawaka moto? Lengo la kuongopa huwa ni nini?Kirya na Central Jerusalem kunawaka moto muda huu.
Sasa matokeo yake wamechafukwa wamechagua venye uzito wa kg1000 wasipewe tambi tupuπππIla leo naona futari haikuwa maharage na uji maanake wanatuma vyuma sio poa ππ
Pia Iran ndio wamesaidia Sudan isimalizwe na UAE hii genocide ya juzi, Sudan anasema kama kutakua na vita ya Ardhini watapeleka Jeshi Lao kusaidia Iran.Iran iliisaidia SA kipindi kigumu cha ubaguzi na makaburu.
Iliunga mkono pia chama cha ukombozi cha ANC.
View attachment 3553287
Picha hiii wametoa wao wenyewe sio raia π€π€π€π€π₯π₯π₯π₯
Video footage: Iran imeshanbulia kwa makombora Tel Aviv. Zimamoto wakiwa eneo la tukio kuzima Moto
King faisal
100 others
ITR
Driver proffesional
Mtanisamehe nimewatag sababu Leo siku nzima tulibishana kuwa watu awaruhusu kurusha matukio. Hao wapp zimamoto mtu anawarecord na amerusha video
Vyasasa ni kombora moja tani 1 wataombo pooooo kwa China tu.Jamaa Israel ikishambulia , utasikia - "Israel na US waishambulia Iran muda huu. Mlipuko mkubwa sana" , subiri Iran ishambulie utaona "Iran waishambulia kwa makombora Israel" ....
Kiuhaisia ni kwamba.
Iran ndiye ana makombora yana warhead zenye explosive ya juu zaidi, 12 days war tuliona. Jamaa wakipiga moja mtaa mzima unatikisika kama tetemeko la ardhi.
Hali hii inapelekea wananchi wengi wanajificha ndani ya shelter, na wanaogopa, kikipigwa king'ora tu, wnakimbia ndani, hivyo wanaobaki nje ni wachache pengine hawapo.
Maana raia wanaogopa sana mashambulizi ya Iran.
Kingine ni serikali ya Israel kutumia police upande wa cyber, wakijua umerusha picha wanakutembelea.
Lakini Israel inapigwa sio poa, mashimo ya kutosha , majengo yamepigwa sio poa...
Kwanza internet haijazimwa kama watu wanavyofkiri Iran, kule Iran kuna internet ya kimataifa na kitaifa, internet ya kitaifa inafanya KAZI kama kawaida, watu wanatumiana picha.Kiongozi Iran hawana sera ya kukamata wananchi wanaorusha picha mitandaoni, Israel wana askari vitengo vya cyber wana raid nyumba ama sehemu ambapo wameona mtu anarekodi video za mashambulizi, na wanakamatwa.
Israel wana sera kali sana ya kudhibiti habari..
Iran hata kama internet imezimwa kuna internet zingine zinafanya kazi kama satellite internet...
Ndio maana unaona muandishi wa habari amelalamika , aliwewa chini ya ulinzi Israel, lakini anasema karuhusiwa na Iran kuingia ku document hio vita.
Anashangaa kwa shirika la habari ambalo ni linatokea nchi closest ally wa Israel wanazuia.
Israel pia wana vitengo vya cyber, wana uwezo wa ku filter chochote, kinachotoka na kuingia, hao ndio unasikia wana softwares kama pegasus... wanaingia hadi whatsapp...
Sasa unashangaa nini wanapominya habari?
So far kuna kampuni moja ya China ina satellite private inaitwa Mizarvision wao pekee ndio wanatoa Taarifa live za satellite so far, sema Wana deal na details za vita zaidi kuliko mambo ya civilian, mfano kilichopigwa usiku huu hapo Ben Guiron ni tanki la mafuta ya Ndege la Marekani, ama walitoa Taarifa ilivyopigwa base ya Qatar ni Radar ilipigwa etc.Mkuu hakuna mtu independent anaeweza kupiga picha za satellite Tel aviv yaani before and after missile attack on a particular target?
B-2 bomber imetembelea eneo hilo!!π₯π₯π₯π₯
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la isfahan. Milipuko mikubwa