Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

BREAKING:๐Ÿšจ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ

Missile impact in Tel Aviv , Bahrainโ€™s oil refinery BAPCO ,
Iraq , and UAE
 

Attachments

  • VID_20260306_082003_623.mp4
    1 MB
  • VID_20260306_082005_241.mp4
    310.4 KB
  • VID_20260306_082006_123.mp4
    336.6 KB
  • VID_20260306_082007_903.mp4
    349.4 KB
  • VID_20260306_082010_380.mp4
    510.6 KB
  • Screenshot_20260306_082109_Telegram.jpg
    80.6 KB · Views: 11
โ˜ ๏ธ๐Ÿคฅ Cubaโ€™s next โ€” Trump already picking the next war

Deranged Donald suggested that after the US-Israeli war of aggression against Iran, Cuba is next, saying itโ€™s only โ€œa question of time.โ€
 

Attachments

  • VID_20260306_082412_387.mp4
    1.8 MB
Huyu Mzee ni mpumbavu sana
Amezeeka na kiwango Cha chake ujinga
 
Vita inatarajiwa kuisha september..
Trump mwehu alikuwa anasema 4 weeks...
Ikifika september mtaambiwa 4 years.. ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ

View attachment 3553289
Tulieni kwani Kuna shida gani kama wao Iran wamejipanga Kwa vita

Wanamalizia kwanza Kusafisha miundombinu ya kijeshi na Iran ni kubwa sana mpaka wamalize vituo vyote

Hadi Iran iwe toothless ๐Ÿถ
 
Kazi inayoendelea sasa ni kumng'oa mbwa meno yote
Kimakonde wanasema toothless dog ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Miundombinu yote ya kijeshi polisi Hadi mgambo inashambuliwa maridadi kabisa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hongera mkuu naona Bado unakomaa kutetea taifa liloapa kuifuta Israel kwenye ramani ya Dunia

Kwa sasa wao ndo wanafutika
 
Hawa jamaa wana roho ngumu sana aiseee.

Tangu nianze kusoma taarifa kuwa wanapigwa na Israel kila mara sidhani kama wangekuwa na uthubutu wakurusha hata jiwe kama kweli kipigo kikali kingekuwa kinawapata.
 
๐Ÿšจ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ Israel is burning ๐Ÿฅต๐Ÿฅต
Na hatutaki pooooo this time nasema mm Muiran wa Nyakato Kwimba mwisho๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

Yani mtuwekee vikwazo vya kinyama kiasi pesa yetu imeshuka samani kinyamaaa!!!

Lkn tumechuna tumepozi tu,

tukivizia mjae kwenye mfumo Alhamdulillah mumejaaa wenyewe kwenye mfumo!!

sasa tutagawana Umasikini wetu mliotusababishia hakuna pooooo lazima tuzae nanyinyi !!!!

Na Babu yetu hazikwi kwanza lazima apate wakumsindikiza KUZIMU. kutokea kwenu mtaenda nae tu mtake msitake๐Ÿ’ฉโ˜ ๏ธ๐Ÿ’ฉโ˜ ๏ธ๐Ÿ’ฉโ˜ ๏ธ๐Ÿ’ฉโ˜ ๏ธ๐Ÿ’ฉโ˜ ๏ธ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ