Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Wewe unafikiri hayo yote Marekani hayajui?
Trump amekurupuka, side effects zimeonekana, huenda intelligence yake haikujua uimara wa Iran.

Marekani haikujua hili ndiyo maana viongozi wa juu wanaonya kuhusu kuendelea na vita hiyo kwa sababu madhara ni makubwa kwa upande wa USA na vibaraka wake kuliko Iran
 
Sikilizeni briefly ya huyu mwamba ndio mtajua watu wenye malengo na Vita sio kurusha tu mapenseli
 

Attachments

  • Screenshot_20260306-100128_1.jpg
    218.5 KB · Views: 14
๐Ÿคฃ

Unaamua kuwa reporter then unachagua kuegemea upande mmoja ,!!!

Jamaa anaweza akatoa habari 10 za Israel na USA kurusha mabomu ndani ya Iran then akatoa habari 2 za Iran kurusha mabomu in Israel

Nikiona post zake nacheka sana ๐Ÿคฃ
Kila mtu alete habari kwa upendeleo wake sisi wasomaji tutachuja tunazotaka. Haina maana kumzodoa mtu ambae anatumia muda na gharama zake kuleta update. Mkuu piga kazi City Thunder OKC
 
Kamanda wa CENTCOM Admirali Brad Cooper: Katika saa moja iliyopita, mabomu ya B-2 yalishambulia vituo vya makombora vya chini ya ardhi huko iran
Hata washambulie kwa nuclear, hawawezi kufikia stockpile ya Iran.

Hakuna Bomu lolote linaweza kuitikisa bunker weapons ya Iran... GBU 57 waliijaribu lakini hakuna ilicho fanya zaidi ya kuingia hasara ya kutumia gharama kubwa
 
Jeshi la kigaidi la Iran limeanza kuvalia hijabu kukwepa ufuatiliaji wa mossad nchini Iran๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 

Attachments

  • Screenshot_20260306-100250_1.jpg
    589.5 KB · Views: 15
Kila mtu alete habari kwa upendeleo wake sisi wasomaji tutachuja tunazotaka. Haina maana kumzodoa mtu ambae anatumia muda na gharama zake kuleta update. Mkuu piga kazi City Thunder OKC
Wakati mwanzo wa thread inaanza yeye alisema kwamba atakuwa anatuletea update za vita nzima

So it means aliamua kuwa reporter wa vita inayo endelea bila ya kuegemea upande ,

Wengine Hawa kusema hivyo

That's tuna m-judge
 
Shida ni source Tu?

Source ya video watu wakipiga kelele na bomu linaonekana live mpaka linatua bila siren
View attachment 3553360
Team Iran hua siwaelewi kabisa mnapenda sana uongo ๐Ÿ˜€

mwanzo mlisema Israel imezuia habari tena zisitoke, kwamba Israel wameweka na algorithm hatari inayohunt hizo videos, ajabu ni kwamba bado mnaendelea kuzishare๐Ÿ˜€

MLikua mnasema kua airbase zote za Israel zimekula moto kwamba ndege za Israel siijui zinatua wapi, Jana mbabe BIBI baadhi ya airbase na kulikua na ndege za F-22 raptor za kutisha๐Ÿ˜€

Mpunguze kua waongo, Iran hana target yeyeto ya maana ndani ya Israel
 
Iran imerusha kombora la Khorramshahr-4 lenye kichwa ambacho hugawanyika katika vichwa vya Mabomu 20

Silaha hizi ni harafu na ni kinyume cha sheria
Wapigwe tu , hakuna kinyume Cha sheria , hata kuua watoto wa shule ni kinyume Cha sheria pia , katika vita hakuna kuchaguliana silaha achani kulia Lia vita ni vita
 
Wee Mzee ni mpumbavu
Kwanza hili ni jukwaa la International unaleta huu upuuzi huku
Huna adabu shenztype....unajua mada imeanzia wapi Hadi unaongea utumbo hapa? Kwaiyo kama mada ya kimataifa ni Mimi tu ambae nimeongelea issues ya kitaifa humu? Kwani JF kuna zuio la kutokuongelea mada isiyohusu jukwaa husika? Au huu mtandao wewe ni WA baba yako?
 
Marekani akijichanganya aingie ground battle atapigwa kipigo Cha mbwa Koko...

Iran Wana geography advantage, zaidi ya 50% ya eneo la Iran ni milima na misitu kitu ambacho ni ngumu kupambana nao vitani, watamfyeka vibaya sana. Marekani atabweka hapo Baharini akitoka hapo anarudi kwake.
 
Shida ni source Tu?

Source ya video watu wakipiga kelele na bomu linaonekana live mpaka linatua

WATCH: ๐Ÿšจ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ

IRAN dropped a Khorramshahr cluster missile with dozens of submunitions on Israel.
Huu uhuni wakianza marekani mtalia kama kuku ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ