Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 5,385
- 8,354
Unahisi nikweli kawapiga hao bila sababu!? Nyie mnabeizi sana kuzifagilia Nchi za maghalib! Heti kapiga bila sababuIran ana lengo la kuifuta Israel
Ona kama leo kajiamlia kupiga majirani zake wote bila sababu
Lengo ni regime change..Utawala wa sasa uangushwe.Huenda viongozi wa Iran hawatakuwa hai hadi kesho, hivyo panaachwa gap la nani awe kiongozi
Safi saana.Huenda viongozi wa Iran hawatakuwa hai hadi kesho, hivyo panaachwa gap la nani awe kiongozi
Hata mie nimeshangaa kwa ripoti yako mkuu imenishtua.Nawafurahisha Waarabu wa Buza.
Saana.Mnooo dini ndio chanzo Cha uovu
Anafurahi kimya kimya , akifurahi kwa sauti achelewi kuokotwa kwenye mfukoHahahaa.
Wewe hutafurahi ukiiona maiti ya huyo ***?
Mi ntafurahi mno.
Hao wanakambi za wamalekani.. na ndo kinacho waponza, mpaka UAE, jordan, Qatar.. wote vinawalamba.Nimeona hivi sasa sijajua Abu Dhabi na Kuwait wameingiaje kwenye hii vita
View attachment 3549876
Kwani hizi attacks ni fighter jets tena? Damage ya 12 day war bado ipo according to analystsKinachoshangaza iweje Israel kaweza peleka ndege tena ndani ya Iran pamoja na zana na silaha zote ambazo Urusi na China wamepeleka?
Wapo hai na wametoka kuripoti sasa hivi kuwa jeshi liendelee na mashambulizi.Huenda viongozi wa Iran hawatakuwa hai hadi kesho, hivyo panaachwa gap la nani awe kiongozi
Israel hatumii ndege anatumia cruise missiles kwa mujibu waripoti.Kinachoshangaza iweje Israel kaweza peleka ndege tena ndani ya Iran pamoja na zana na silaha zote ambazo Urusi na China wamepeleka?
🤣🤣🤣🤣gallow bird umepoa sana Sheikh wangu changamka uwagonge spana hawa Waizraili
We ***** peleka ashki zako majnuni huko kwa mabasha zako wa mbogamboga..!!Nyumbu jike mtaalam wa kuiba mitungi ya gesi, tangu serekali iimarishe ulinzi na kukuzuia kwenye shughuli yako ya wizi wa mitungi ya gesi kama ulivyofanya Oct 29 umeanza kuchanganyikiwa
Mrusi ana Nyuklia kibao ingekua lengo ni Nyuklia Tu Mrusi angeweka Nyuklia kadhaa hapo kama Vile USA anavyoweka Nyuklia nchi nyengine.Hii dunia hii! Kwanini Iran asiachanena hizo nuclear weapons? Kwanini USA amzuie Iran kujifanyia mambo yake?