😀Twende Kazi
Mungu ibariki Iran
🚨 BREAKING:
Russian Defense Minister:
"Yes, what we are saying is true: Iran possesses offensive missile systems that the United States does not have. There are highly advanced missiles that have not yet been used. Iran has a stockpile capable of destroying the entire Middle East, not just Israel.
We call on the United States and Israel to immediately stop the war and declare the failure of the military operation against Iran. Otherwise, the losses and damage will be a surprise. That is all."
Mkuu unalipwa! Kazi saa ngapi! Usije kuanza kumlaumu Samia baadae wakati vita vishaisha na wewe myahudi wa mbande ukawa huna mia mfukoni..💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la fayziyeh isfahan
Acha ushabiki maandazi kipi china anacho na USA hana, na kama hujui China ataumia sana sababu kazungukwa na mashushu wa USA kama ilivyo kwa Iran
😄😄No — this specific image is not from Iran.
It’s actually a stock photo taken in Toronto, Canada, showing a damaged high-rise building facade. �
Unsplash
Why it might be confusing
The damage (broken windows, hanging materials) looks similar to buildings in war or disaster zones.
Recently, there have been real images of damaged buildings in Tehran due to conflict, which look somewhat similar. �
Xinhua News
But many such dramatic images online are stock or unrelated photos reused out of context.
Conclusion
❌ Not Iran
✅ Taken in Canada (Toronto)
Likely being shared online with a misleading caption
😀😀 Wakati anaomba msaada huyu Mzee propaganda zake zinazidi kuwaponza raia wakeNetanyahu:
“We are working to bring Iran to places it has never been before.
They will understand that they are below, and we are above.”
😀😀😄 Huwenda hata huko zamani walikuwa wanapigwa but walikuwa wanaficha kwaajili ya technology kuwa haija development kama SasaHivi kuna mtu alitarajia siku moja dunia yote itakombolewa na Iran yenye vikwazo lukuki kwa miaka kibao dhidi ya utawala dhalimu wa AMERIKA? DJ, naomba uweke wimbo wa mbaraka mwinshehe tafadhali!
😄😄😄Eti napicture yake wameiweka !?Iran washakataa hawajazungumza na Trump, mapambano wanaendelea.
View attachment 3561685
Kombora linasubiria kurushwa.
Damona imepigwa tena,kwa mara ya pili.Todays Israel strikes on Iran affected Isfahan and Khoramshahr gas plant.
Iran vows to respond.
Israel ni kama kachanganyikiwa,anaenda kusababisha maafa sasa soon.
Nilishaandika humu Marekan yeye yupo kwa maslahi kwenye hii vita endapo atapahaidiwa malshi mazuri na Iran ataacha vita. Israel hasa Netanyahu hawezi kubali kusitisha vita kirahisi sababu hii nafasi aliitafuta muda mrefu na kwakipindi hiki ana amini Iran uwezo wake wamakombora umepungua, hivyo atakwenda naye mdogo mdogo hadi pale atakapo mmudu kabisa huku akiamini hali ngumu ya maisha kwa wa Iran itawapelekea kuandamana.Kwa Hali ilivyo kwa sasa sioni kama Kuna makubaliono ya kusitisha vita Yanaweza fikiwa na kama yatafikiwa Yatakuwa ni ya muda mfupi (short -term De-escalation)
Kwahiyo uwezekano wa vita kutanuka zaidi ni mkubwa kuliko vita kusimama au kupungua. Sababu za kitaalamu ni ..👇👇
1.Kushambuliana maeneo ya nyuklia.
Kitendo Cha Israel kushambulia kituo Cha nyuklia Cha Iran(Natanz) na Iran kujibu kwa kupiga Dimona inaashiria vita vimefika hatua ya "Strategic escalation" kwakuwa maeneo ya nyuklia ni red line hizo ni vital national security assert.
Kwahiyo kuvuka huo mstari kijeshi ni kuwa mataifa yote yapo tayari kwa lolote.
2.Kushindwa kwa ulinzi wa anga wa Israel (Air defense saturation and system failure).
Sasa hili ndio balaa yale mashambulizi ya Dimona na Arid yalionyesha kuwa anga la Israel ni chujio hapa kitaalamu Iran amepata moto kuwa Hawa jamaa naweza watandika ninavyotaka wakati huohuo Israel anataka kufanya mashambulizi ya juu zaidi kulipa kisasi sasa Kunakuwa na mgongano hapo, Huu mgongano ndio unao leta Rapid escalation- Yale maneno ya Trump niyakupuuzwa hapa Kuna hatari nyingine Kuna namna Israel ataanza kupishana na U.S
3.Full spectrum Retaliation Threat - Iran kutishia kulipiza kisasi kwa kanda nzima.
Hii pekee inaonesha Iran Hana mpango wa kusimamisha vita maana kaweka wazi nikipigwa naenda kupiga uwekezaji wa adui hapo middle east, Hii hatari yake ni Nini...?
Hatari yake nikuwa inajenga escalation cycle isiyozuilika yaani ukinipiga nitalipa kisasi.
Sasa Kama Iran katishia washirika wa marekani maana yake anataka mgogoro uwe Mpana zaidi na kadri escalation inavyoongezeka ndio kunapunguza udhibiti kwenye hii vita.
4.Kifo Cha Ayatollah
Kumuua kiongozi mkuu wa nchi nakujitapa kwa sifa hii ni "act of war" ya kiwango Cha juu.
Iran haitakubali mpaka na wenyewe walipe kisasi kikubwa zaidi..
5. Nguvu za Mataifa wapinzani.
Israel kaonyesha nguvu za kijeshi za anga kwamba naweza ingia Iran na kushambulia huku Iran kaonyesha uwezo wa kurusha makombora ya masafa marefu na drones ( Long -Range Precision strike capability)
Makombora kama Khorramshahr-4, Kheibar-Shekan n.k Yanaweza kufanya total destruction na Majuzi hapa Iran aliyarusha kwa wingi hii ni ishara kuwa vita Bado ndefu.
Maana Kila shambulio Israel analofanya linalipwa sawasawa na alivyofanya hii ni ishara ya piga nikupigie mpaka Mmoja anyanyue mikono.
Kwamaana hiyo sioni dalili za vita kusimama hii ngoma Bado sana labda China na Urusi waingie waziwazi kutaka kuweka mambo sawa jambo ambalo nalo kitaalamu Lina hatari yake...
Nawaona NATO wanaweza fanya kitu siku sio nyingi ila kwa bahati mbaya... Ni kidiplomasia zaidi sio kijeshi na Trump yeye anataka msaada wa kijeshi kwa hili NATO hawako tayari.
Iran kuandamana sidhani...Nilishaandika humu Marekan yeye yupo kwa maslahi kwenye hii vita endapo atapahaidiwa malshi mazuri na Iran ataacha vita. Israel hasa Netanyahu hawezi kubali kusitisha vita kirahisi sababu hii nafasi aliitafuta muda mrefu na kwakipindi hiki ana amini Iran uwezo wake wamakombora umepungua, hivyo atakwenda naye mdogo mdogo hadi pale atakapo mmudu kabisa huku akiamini hali ngumu ya maisha kwa wa Iran itawapelekea kuandamana.
Nimeona Al Jazeera hapa wanaonesha madhara ya makombora ya Iran...Hii asubuhi kuna mashambulizi makubwa yanaendelea Tel Aviv, usiku pia Hezbollah kafanya yake watu wengi wanaamini propaganda za Trump kwamba kuna ceasefire, Base ya Victoria Iraq imekuwa completely evacuated.