Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
Hahahahaha,ndio maana wako makini muda woteHivi Waisrael wana nini? Kila siku wako vitani! Raia wao wana wakati mgumu sana, kila wakati ni milio na tahadhari.
Wewe unashida kichwaniWanadai wamepiga Nuclear facilities na viwanda vya Missiles na wamemuwa chief of staff haya tusubiri basi Israel kisha shinda vita kama maneno yao kweli hahaha. Mimi nacho ona ni majumba tu ya Tehran yanawaka moto sijaona kwenye Nuclear facilities.
Kawaita tenaBabu Trump hakuna kucheka na magaidi, safi sana babu Trump 😂
Chief of staff naye kafa nadhani hawa Israel walijuwa wako kwenye meeting time hizo.
Nataka vita vya tatu vya Dunia vitokee.Exactly, Iran itajibu kwa nguvu sana sana..
Trump leo namsikia anasema kabisa kuna uwezekano vita kuu ya 3 ikatokea... sasa sielewi ...
Wao wakirusha mabomu kwenda Israel c wanaua mende tuu 😂Sasa hivi mnajificha kwa raia siyo watoto tena?
Kesho kuna ndege ya Waajemi wanaojitolea kupigana vita inaondoka hapo Tanzanite, Usikose kuwepo 😂Nataka vita vya tatu vya Dunia vitokee.
Katika hili niko na Iran, hii NDO kusema jamaa yangu Ayatollah sitamwacha katika taabu bali nitamuunga mkono.
Basi una matatizo yako kichwaniUkiwa muislamu automatically unakuwa gaidi
Shambulio Moja tu mkuu wa majeshi wa Iran na wanasayansi kadhaa washafariki aiseee Israeli ni hatariiiagainst
Shida anaekuambia jifiche pale ni "mole" ukishajificha anatoa taarifa uko lumumba chumba namba nane floor ya tatuIla kama hao wahandisi wa Iran walikuwa hawako mafichoni, nitaendelea kuwadharau sana maana watakuwa wameuliwa kizembe.
Hawatakiwi kuwa wanazubaa zubaa sehemu moja tu hadi adui yako anajua ulipo! Iran ni nchi kubwa ya kutosha kuweza kujificha bila kugundulika.
Kama Iran ingekua na ukaribu na Israel tegemea Israel ingeteketezwa.
Maana Iran angeingia kwa miguu ndani ya Israel usingeamini kitakachotokea.
Kumbuka unaizungumzia Iran ilopigana vita miaka 8 pasi na kupumzika.
Waislamu mmekuwa vichekesho Kwenye huu uzi 😂Wanakwambia lengo la Israel kushambuliwa Asubuhi na mchana ni hili vinu vyote viwake huku kila mtu anaona, mpaka jioni mahandaki kadhaa yatakuwa yameshafukuliwa
Mabikra wanamtaka Ayatollah aende haraka kabla hajakuta Bikra zimeisha 😂Ndugu zangu tusipowahi mbinguni bikra zitatuishia