zimepigwa asee na wakuu wao wa majeshi wamekua assasinated, asee iran kwa sasa ana hali mbaya namuonea huruma sanaWanadai wamepiga Nuclear facilities na viwanda vya Missiles na wamemuwa chief of staff haya tusubiri basi Israel kisha shinda vita kama maneno yao kweli hahaha. Mimi nacho ona ni majumba tu ya Tehran yanawaka moto sijaona kwenye Nuclear facilities.
Siku 60 zimeishaEscalation after escalation.
Netanyau na serikali yake ya misimamo mikali umeamua kuiharibu mazungumzo yaliyokuwa yakiendelea kati ya Iran na Marekani.
Bora! Kobazi kuu on fire
Mkuu hivi zile air defense systems za Urusi hazikuwa activated licha ya kila dalili kuwa Israel angeshambulia?Military bases 6 zimepigwa bila Israel kupoteza ndege hata 1
Marekani imeshasema haikuhusika na hilo shambulioVita imeanza rasmi.
Mpaka sasa Netanyahu atakuwa ameshakimbilia kujificha Gaza..
Iran lazima itajibu, na ikijibu Israel haitopenda kitakachotokea.. mchokozi hapa ni Israel.. Trump ameiponza Israel.
Muda utaongea...Sikia Iran kashoonesha uzembe round ya kwanza, anapigwa huku Russia na China wanatulia kuchake game, baada ya Vita China anaomba deal la kurekebisha vinu vya mafuta na kupitisha mizigo yake Bandari za Israel game over
Viongozi wameuliwa wakiwa uraiani.Hao viongozi wa kijeshi waliouawa nao walikuwa raia?
Major escalation just rocked the region—direct Iranian strikes on Israel triggered swift preemptive Israeli counterattacks, with both sides signaling readiness for a drawn-out fight. Crypto markets took a hit: Bitcoin and ETH plunged, and over $1B liquidated in mere hours as traders fled risk.Hii v
Israel kwenye haya mashambulizi inalenga wanasayansi wa nuclear wa Iran , viongozi wakubwa kijeshi, air defenses, missiles sites na wanafanya covert sabotage operations...
Nadhani wametuma agents kufanya matukio ndani ya Iran.
Iran hakukosa target.Irani ilisha mshambulia Israel ila alikosa target alipiga airport na maeneo fran ila watu wamesahau
Netanyau hakufurahia mazungumzo kati ya utawala wa Trump na Iran kuhusu mpango huo wa nyuklia....hii ndio ilikuwa mbinu pekee ya kuyavunja hayo mazungumzo.Ni nini kimeiuzi Israel hadi kuishambulia Iran???
Kosa la Iran liko wapi??
Assume jirani anataka akufute kwenye uso wa dunia utajisikiaje? Yaani unaona mwaka hadi mwaka anajiimalisha Ili kutimiza azma yake utabaki unamtizama tu na kumshitakia MUNGU?Inasikitisha sijui kwanini hawataki na hawawezi kuishi kwa amani na majirani zao.
Wao ni vita tu bila sababu yoyote. Inasikitisha
Mkuu hivi zile air defense systems za Urusi hazikuwa activated licha ya kila dalili kuwa Israel angeshambulia?
Ukiona kafanya hivyo ujuwe alishajiandaa mapema na ameshausoma udhaifu wa Iran,hawa huwa hawakurupuki...Vita imeanza rasmi.
Mpaka sasa Netanyahu atakuwa ameshakimbilia kujificha Gaza..
Iran lazima itajibu, na ikijibu Israel haitopenda kitakachotokea.. mchokozi hapa ni Israel.. Trump ameiponza Israel.