Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,483
- 11,691
Na unawekaje low level kwa hali ilivyokuwa? Mpaka US anahamisha wanadiplomasia, Trump anazungumza na Netanyahu, Trump anasema kuna dalili za Israel kushambulia yote hayo Iran hakustuka?Sasa mifumo kuwekwa low level Ndo hujajiandaa? Ndo mana nasema ww hufatilii ndo mana unasema hayo, kitu mpaka Trump kaongea afu ww mbongo unajifanya unajua zaidi yake ๐
Israel ni maji marefu niliwaambia Iran lazima apigwe tu mkabisha wewe na jamaa zako wengine sasa hivi wamezima simu kwa aibu!!!Wanadai wamepiga Nuclear facilities na viwanda vya Missiles na wamemuwa chief of staff haya tusubiri basi Israel kisha shinda vita kama maneno yao kweli hahaha. Mimi nacho ona ni majumba tu ya Tehran yanawaka moto sijaona kwenye Nuclear facilities.
Hajambo mama Lucy kibaki ?Hahaha ๐๐คฃ
Ana majibu gani wakati yeye alituma mvua ya mabomu lkn Kwa asilimia kubwa yalizuiliwa yeye huto tuwili tumemshinda kuzuiaTusubiri na majibu ya Iran.
Daah mwanangu ndege 200 ni nyingi sana kaka.
๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ
๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ
๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ
๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ
๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ
Msitake kutudanganya nyie.Ana majibu gani wakati yeye alituma mvua ya mabomu lkn Kwa asilimia kubwa yalizuiliwa yeye huto tuwili tumemshinda kuzuia
Daah mwanangu ndege 200 ni nyingi sana kaka.
Jamaa alikua anakusudia nini kutumia ndege nyingi hivyo!??
Ako na ngori kidogo, mafua yanamsumbu si unajua yuko aged.Hajambo mama Lucy kibaki ?
Kama kawaida yenu mnatafuta sababu na visingizio kuficha aibu ya kupigwa na Israel?Msitake kutudanganya nyie.
Mabomu yaliingia na makazi zaidi ya 100 yaliharibiwa.
Embu muwe mnasoma habari.
Hahahaha milio imeanza sasaNimeamini USA ni kama malaya wa Israel, kila itakachoambiwa inafanya hasa akiwepo raisi ms3nge asie na akili kama Trump...
Yaani kaIsrael kanampelekesha US kama mtoto mchepuko/malaya/changudoa...
Hii vita anayeingia gharama za kifedha ni US, US stop being Israel's whore...
Mi ishirini tena kabisaSimba la masimba Netanyahu, mitano tena. ๐ฅ
Huyu kijana anaongea nini hapo
Raia wa TZ wana wakati mgumu kuliko wa Israel, kwasababu mtekaji wao na adui yao haonekani bali wa wayahudi wanamjua adui yaoHivi Waisrael wana nini? Kila siku wako vitani! Raia wao wana wakati mgumu sana, kila wakati ni milio na tahadhari.
Mkuu upo?Hili sikulitegemea kabisa. Duh!!!!
Mkuu mbona unanisaliti?Hizi ndo habari nazopenda kuzisikia ๐
๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎKikobaz kimepagawa. Bado hamjasema nguruwe nyie. Mtakandwa sana makalio yenu.
Israel anachokitafuta anakuja kukipata soon mataifa kama France na England yameonyesha kuchoshwa na vitendo vya IsraelVita imeanza rasmi.
Mpaka sasa Netanyahu atakuwa ameshakimbilia kujificha Gaza..
Iran lazima itajibu, na ikijibu Israel haitopenda kitakachotokea.. mchokozi hapa ni Israel.. Trump ameiponza Israel.
Acha utoto! Wakati mwingine fikiri kabla ya kuandika. Sikusema mimi ni AljazeeraDaah mwanangu ndege 200 ni nyingi sana kaka.
Jamaa alikua anakusudia nini kutumia ndege nyingi hivyo!??