Kwa akili yako unaona Trump yupo upande wa Iran? ๐Netanyau hakufurahia mazungumzo kati ya utawala wa Trump na Iran kuhusu mpango huo wa nyuklia....hii ndio ilikuwa mbinu pekee ya kuyavunja hayo mazungumzo.
SureUko sahihi,katika sehemu ambayo Israel anawa win hawa watu wa middle east ni intelijensia yake.
Ana mapandikizi Kila eneo.
Hili pia ni tatizo.
Yali zuiliwa na nchi ngapi mkuu ? Na Israel ndege zake zina sukumwa na nchi ngapi ?Ana majibu gani wakati yeye alituma mvua ya mabomu lkn Kwa asilimia kubwa yalizuiliwa yeye huto tuwili tumemshinda kuzuia
si wana anza kuwachokoza wenyeweHivi Waisrael wana nini? Kila siku wako vitani! Raia wao wana wakati mgumu sana, kila wakati ni milio na tahadhari.
Kikobaz kimepagawa. Bado hamjasema nguruwe nyie. Mtakandwa sana makalio yenu.๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ
๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ
๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ
๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ
๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ
Mnajifariji akijibu atapasuliwa mbaya mbovuVita imeanza rasmi.
Mpaka sasa Netanyahu atakuwa ameshakimbilia kujificha Gaza..
Iran lazima itajibu, na ikijibu Israel haitopenda kitakachotokea.. mchokozi hapa ni Israel.. Trump ameiponza Israel.
Hy low level n huyo mpuuzi tuu amejiongeza kisa Magaidi wenzake wamepewa kichapoNa unawekaje low level kwa hali ilivyokuwa? Mpaka US anahamisha wanadiplomasia, Trump anazungumza na Netanyahu, Trump anasema kuna dalili za Israel kushambulia yote hayo Iran hakustuka?
Hapo sio ishu ya kuweka low level ila kakutwa na mapigo ya kimkakati
Ukifa wwFuraha yangu ni kuona vita vya tatu vya Dunia kutokea watu wauane, Mimi nijifiche kisha mambo yakiwa shwari najitokeza naanza kuokota Mali na kubinafsisha magorofa.
๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎKikobaz kimepagawa. Bado hamjasema nguruwe nyie. Mtakandwa sana makalio yenu.
Maneno hayatoshi apige ili alambishwa mchanga fastaKuanzisha vita sio hoja je kuimaluza vita ndio hapo kazi sa tusubiri kipigo atakacho pokea kutoka Iran
Kikobaz kimepagawa. Bado hamjasema nguruwe nyie. Mtakandwa sana makalio yenu.๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ
๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ
๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ
๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ
๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ
Ili kudhibiti mtandao wa magaidi Mashariki ya Kati ni muhimu kumpiga pini sponsa wao.
Dunia bila ugaidi inawezekana
Ila ukifikilia Sana bado utagundua Iran ni mchumba Tu kwa Israel hebu fiklia mvua ya mabomu ya Irani kwenda Israel ni kama walikuwa wanabahatisha kwamba Israel wakizui 8 basi mawili yatue harafu cheki majibu ya mwanaume hajajichosha kutuma mabomu 100 ila kaenda kushambulia sehemu alizotagert na kafanikiwaVita imeanza rasmi.
Mpaka sasa Netanyahu atakuwa ameshakimbilia kujificha Gaza..
Iran lazima itajibu, na ikijibu Israel haitopenda kitakachotokea.. mchokozi hapa ni Israel.. Trump ameiponza Israel.
Mm na Netanyahu tupo pamoja mkuu, namuunga mkono kugawa dozi kama karanga kwa magaidi ๐ฅMkuu mbona unanisaliti?
Si tulikubaliana kuwa hatatamtupa mwanetu Ali khomenei.
Habu tuitupe udini kando katiaka hili ๐๐.
Ktk vita kuna hatua.Mbona hakuna explosive za maana kama za Gaza au wametumia baruti za kuskunk miamba?
Unajua kuwa mkuu wa majeshi ya irani kashaaga dunia yeye pamoja na majenerali wake?? Wanasayansi pia ni miongoni mwao waliotangulia.............hapa issues sio mitambo issue ni waendesha mitambo ndio wahusika wakubwaMbona Nuclear facilities hazikuguswa mpaa mda huu anarusha Missiles hajui target zipo wapi yale yale ya Yemen
Mm nimepawahi pale mlimani city na Ikulu ๐ฅFuraha yangu ni kuona vita vya tatu vya Dunia kutokea watu wauane, Mimi nijifiche kisha mambo yakiwa shwari najitokeza naanza kuokota Mali na kubinafsisha magorofa.
๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎ ๐ฎKikobaz kimepagawa. Bado hamjasema nguruwe nyie. Mtakandwa sana makalio yenu.