Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Huo ni mwanzo wa vita kuu ya tatu ya dunia ( Arabs Vs Zionists)

Vita itapigwa ndani ya miaka saba, na baada ya vita hii, dunia itapata mtawala mpya

 
Hili ni siku za mwisho zilizotabiriwa. Hivyo, centre ya mambo itakuwa Israel na nchi za mashariki ya kati. Asomaye na afahamu.
 
Assalam alleykhum wa rahma tullah wabarakatuh.

Kwa kweli jambo hili ndugu watukufu waislamu tusinyamazie hata kidogo. Hawa jamaa ni kama wametushika makalio baada ya kuona tumeinama.

Wallah wabillah hili suala tuungane na Iran kuwapambania ndugu zetu dhidi ya Mayahudi. Hawa Mayahudi wametupiga vibaya sana na kuua Makamanda na wataalamu wa Nyuklia. Imenishangaza Iran tulikuwa wapi? Ndege 200 za Israel zinaingia na kujivinjali Iran sisi tunafanya nini?

Na hawa Mayahudi toka majuzi walisema watatupiga. Je tuliinama ili tuone kama kweli watafanya hicho kitendo? Sasa wametuingizia kidole...ni dhihaka tena wanawake wao ndo wanafanya hivi. Kuna aibu gani nyingine twataka?

Hili jambo mi limenshtua sana na kunsononesha.si haki wabillah. Si haki.hawa watu wataka tuishi vipi sisi wallah? Walianza na kututia kidole cha machoni sasa waona haitoshi wamekuja huku? Hii si sawa.

Tupambane uwanjani na huku kwenye mitandao. Laanatul lahullah waswahilina buneheh al vitalih bushkeneh natullah.

Tushikamane yahudi ataondoka hapa Duniyan na akhera hatokwenda.
 
This time hamchomoi labda atorokee Moscow. Kosa kubwa ambalo hawa kobazi hawajifunzi ni kuwa kila aliyeazimia kuiangamiza kabisa Israel yeye mwenyewe alifutiliwa mbali
 
Waarabu wa buza mmeanza πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…