Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Hahah hapo kazi kweli kweli maana Itakuwa unabii umetimia sasa. Israel akitoka hapo anaenda kuvunja Msikiti wa Alakhsar pale ukingo wa Magharibi
 
Hahah hapo kazi kweli kweli maana Itakuwa unabii umetimia sasa. Israel akitoka hapo anaenda kuvunja Msikiti wa Alakhsar pale ukingo wa Magharibi
Watu huwa wanafikiri habari za Israel na unabii wa siku za mwisho tunaoandikaga humu huwa tunaandika kimahaba. Na yako mengi mazito mnooooo yanakuja duniani
 
Huo sasa ni uchokozi!

Hakukuwa na sababu yoyote ya msingi ya kuishambulia Iran.
Sahihi kabisa... This time I hate and condemn Israel.... Kwa issue ya HAMAS nilikuwa upande wa Israel, siyo sasa... A big mess 😞 😞
 
Yes wanapiga now inasemekana kwa sasa wanapiga nchi yote kila military base.
Netanyahu keshasema zoezi litachukua wiki 2 na ni endelevu.
Hadi sasa Iran kafanikiwa rusha drone 100 pekee
Wataharibu majengo ya juu tu.
Ila vifaa viko underground hawataweza kuvifikia na kuviharibu.
 
Mkuu tatizo sio umoja tatizo ni akili

Takwimu zinasema waarabu na ngozi nyeusi ndio mijitu yenye low iq

Kwhiyo ukimuona mwarabu ni bora wewe mwafrika

😁😁
 
Sahihi kabisa... This time I hate and condemn Israel.... Kwa issue ya HAMAS nilikuwa upande wa Israel, siyo sasa... A big mess 😞 😞
Adui yako anapanga kukufuta kwenye uso wa dunia utachukua hatua gani? Na kila siku unamuona anajiimalisha
Ungekuwa wewe usingejihami ungemwachia Mungu? Jiran Amewezesha makundi ambayo yanakushambulia kila siku na sasa yupo kwenye harakati za kumiliki silaha za nyukria ungesubil?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…