Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Mkapokee maiti maana Kuna ripoti kuwa Kuna raia wamenasa kwenye jengo.
NEW: Israeli Air Force Chief:

For the first time since the war began, our fighter jets flew over Tehran last night.
 
Kombora limepiga wizara πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ mara eti kambi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Your browser is not able to display this video.

Haya mpaka media za Magharibi zinaanza kuwaumbua, hio Fox news kaenda mpaka kituo cha jeshi equivalent ya Pentagon kilicholiwa kichwa.
 
Attachments

  • 20250614_104740.jpg
    106.3 KB · Views: 22
Baba Mwajuma.....Zimekwenda ndege 200....Ukiangusha moja umefanya kitu kweli, Please think critically
Ndege hazidondoshi bomu kama zinakunya kwamba zinakuja juu yako na kukudondoshea, there is a reason why Iran ni nchi ya kwanza kutungua F35.

Hizo zenyewe zilizooigwa zilitegwa eneo ambalo walijua halina Air defence
 
Imetungua F-35πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kuna ushahidi wowote au maneno tuπŸ˜‚
 
Ndege hazidondoshi bomu kama zinakunya kwamba zinakuja juu yako na kukudondoshea, there is a reason why Iran ni nchi ya kwanza kutungua F35.

Hizo zenyewe zilizooigwa zilitegwa eneo ambalo walijua halina Air defence
Naskia korder na bavar zimeanza kupata order za foreign export vision
 
Hii chai mzee! Wapo vizuri kiitelejensia na viongozi wameuliwa wakiwa vyumbani mwao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…