Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 19,009
- 22,509
Trump ana akili za kihafidhina za kale.US President to Iran: Reach an agreement "before there's nothing left"
US President Donald Trump is addressing Iran, saying it now has another chance to reach a nuclear deal “before there’s nothing left.” According to Trump, he gave Iran a 60-day ultimatum and the Israeli attack was launched on the 61st day.
Trump warned Iran that if it did not do so it could face even more severe attacks. However, Trump promised that the United States would stay out of the war.
At the same time, several foreign policy experts warn that China may take action to avoid losing its proxy state - Iran.
As you may recall, China buys very large quantities of oil from Iran and supplies it with many products for military and civilian use.
(NTD)
Ww una intelligence gani ya kukuwezesha kuona nuclear au unafananisha na mandazi ya mama ashaWanadai wamepiga Nuclear facilities na viwanda vya Missiles na wamemuwa chief of staff haya tusubiri basi Israel kisha shinda vita kama maneno yao kweli hahaha. Mimi nacho ona ni majumba tu ya Tehran yanawaka moto sijaona kwenye Nuclear facilities.
Hahahaha!Israel's attack hotspots so far:
▪️Tehran
▪️Tabriz
▪️Qom
▪️Ford
▪️Natanz
▪️Arak
▪️Ahvaz
▪️Shiraz
▪️Bushehr
▪️Isfahan
All the above are the major sites of both their ballistic missiles and nuclear programs.
Sahihi, kingine afanyie kazi mossad kuweza kuwafuatilia viongozi wa juu haswa wanasayansi na viongozi wa jeshi wa ngazi za juu, inavyoonekana mossad wanafahamu mpaka vyumba wanavyolala hadi madirisha muda walipo na nini wanafanya haswa uraiani.Watafika tu huko! Ni suala la muda tu.
Kwani awali Irani haikuwahi kushambulia makazi ya raia. Lakini awamu hii kashambulia makazi ya raia ya Israel.
Atapiga tu huko! Tatizo la Israel anafikiri michezo michafu anaiweza yeye tu.
View attachment 3367886
Haya mpaka media za Magharibi zinaanza kuwaumbua, hio Fox news kaenda mpaka kituo cha jeshi equivalent ya Pentagon kilicholiwa kichwa.
Kwa Iran hilo halifanyi kazi, kwani wanamtambua kuwa huyo na baba yake alikuwa ni kibaraka.Reza Pahlavi, son of the last Shah, Mohammad Reza Shah Pahlavi, calls on the Iranian military to join the people to overthrow the brutal ayatollah regime
Safi sana..Viongozi wa Iran wameuliwa kirahisi kwa kuwa walikuwa wanafuatiliwa bila wao kujua (kosa la kiintelijensia). Mbaya zaidi Israel walichezea Hawa wa Israel wamejiandaa vya kutosha wakijua kabisa wao ni walengwa (ubora wa kiintelijensia). Hata hivyo Iran wamefanikiwa kumuua Aluf David Salami ambaye ni Navy commander wa Israel
Iran inachotakiwa kufanya ni wawabane Wayahudi wanaoishi nchini mwao kama Russia inavyofanya. Au kama China inavyofanya dhidi ya Vatican.Sahihi, kingine afanyie kazi mossad kuweza kuwafuatilia viongozi wa juu haswa wanasayansi na viongozi wa jeshi wa ngazi za juu, inavyoonekana mossad wanafahamu mpaka vyumba wanavyolala hadi madirisha muda walipo na nini wanafanya haswa uraiani.
Masahihisho kidogo uongozi wa Afghanistan haujabadilikaBaba Mwajuma, jua hili, wenye majina kama Mwajuma hakuna akili hata kidogo like Iran ilivyo, hifadhi huu ujumbe wangu, Utawala wa Ayatollaah wa Iran inaenda kuanguka na kutokomezwa na itakuwa kama Iraq, Libya, Syria, Lebanon, Afghanistan, Kuwait, Yemen, etc etc na kama huamini, subiria kidogo kama mwezi hivi alafu utakumbuka, ogopa sana mtu aliyekuzidi kila kitu hasa akili, Myahudi tokea enzi na enzi anashinda vita vyake na kama hujui ndani ya Tehran wako Mossad kibao wanapigana ndani kwa ndani bila kuonekana hasa usiku, na wanatumia hadi laser guns kibao na wanaua viongozi wa Iran ndani ya Tehran na sites za Jeshi la IRGC, na hawawakamati hata mmoja na operations hizo zinafanywa usiku kwa usiku na baada ya mwezi mmoja utasema mwenyewe.
USA pia yuko hapo kum support Israel ila bado hajaanza kumpiga Iran, na US akianza tu, basi Iran imeisha
Masahihisho kidogo uongozi wa Afghanistan haujabadilika
Preparing the ground for an American attack on Iran?Baba Mwajuma, jua hili, wenye majina kama Mwajuma hakuna akili hata kidogo like Iran ilivyo, hifadhi huu ujumbe wangu, Utawala wa Ayatollaah wa Iran inaenda kuanguka na kutokomezwa na itakuwa kama Iraq, Libya, Syria, Lebanon, Afghanistan, Kuwait, Yemen, etc etc na kama huamini, subiria kidogo kama mwezi hivi alafu utakumbuka, ogopa sana mtu aliyekuzidi kila kitu hasa akili, Myahudi tokea enzi na enzi anashinda vita vyake na kama hujui ndani ya Tehran wako Mossad kibao wanapigana ndani kwa ndani bila kuonekana hasa usiku, na wanatumia hadi laser guns kibao na wanaua viongozi wa Iran ndani ya Tehran na sites za Jeshi la IRGC, na hawawakamati hata mmoja na operations hizo zinafanywa usiku kwa usiku na baada ya mwezi mmoja utasema mwenyewe.
USA pia yuko hapo kum support Israel ila bado hajaanza kumpiga Iran, na US akianza tu, basi Iran imeisha
Kilichobaki sasa Iran ni kupelekeka mashambulizi mazito sana usiku wa leo , kesho na siku kadhaa mbele ili kuifanya Israel isiwe mahali salama tena, ili raia wa Israel waanze kuikimbia nchi..Iran inachotakiwa kufanya ni wawabane Wayahudi wanaoishi nchini mwao kama Russia inavyofanya. Au kama China inavyofanya dhidi ya Vatican.
Wakiendelea kuwapa uhuru kama zilivyo dini nyengine watasumbuliwa maisha. Wawabane kila nukta, na ujinga wowote utakaotokea dhidi ya wayahudi wawape kibano kizito.
Vilevile wawe na adhabu kali na za wazi kwa mashushu watakaokiuka viapo. Washughulikiwe na kama Russia anavyowashugulikia mashushu wake wanaokiuka.