Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Jeshi la anga la Israeli:

Tumetayarisha jeshi la wanaanga kufika Iran sio mara moja kwa wiki kama tulivyokadiria hapo awali, lakini mara mbili kwa siku kama alivyotamka kamanda wa jeshi la anga, Meja Jenerali Tomer Bar.
 
Dah kaka huyu jamaa unamjibu nondo hadi raha😍😍😍😍.
 
Huo uwezo hana,ballistic missile silo nyingi zimeharibiwa,hizo 300 walizorusha jana ndio maximum capacity yao.
Pole yako jamaa uko too misinformed.
Iran Ina missile city katika Kila Mkoa.
HUWEZI ukateketeza makombora ya Iran mzee.
Kila Mkoa Kuna makombora underground.
Na usitudanganye kuwa maeneo muhimu ya jeshi ndani ya Israel hayajapigwa.
Ofisi muhimu za jeshi na serikali zimepigwa Israel.
Na Israel ikakataza waandishi wa habari kupiga picha hususan maeneo ya ofisi za jeshi na kambi.
 
Jana walisema hivi hivi wameteketeza makombora yote ya Iran na Air defense system zote.
Leo wanabadilika kusema wameteketeza asilimia 25%.
😂😂😂Watadanganya hadi wakome.
Iran Kila Mkoa Ina makombora .
 
Jeshi la anga la Israeli:

Tumetayarisha jeshi la wanaanga kufika Iran sio mara moja kwa wiki kama tulivyokadiria hapo awali, lakini mara mbili kwa siku kama alivyotamka kamanda wa jeshi la anga, Meja Jenerali Tomer Bar.
Uwekezaji wa Israel katika hii vita unamlipa vibaya mnoo yaani return anaiona, sasa Iran anaambulia hasara tupu maana sasa yupo very weak, wanasayansi wake wanauwawa tu kaka mbwa koko, zana zake za kijeshi Israel inaziharibu tu kwa kadiri anavyotaka, proxies wake nao dhoooflihal kwa kifupi ayatollah uwekezaji wake ni biashara kichaa ambayo inakula mpaka mtaji na huku duka lake likizidi baki tupu
 
Iran ni jibwa koko tena kilema lisilo hata na meno, Israel anapoliachaga libweke basi lenyewe hujiona lina nguvu likiingia kwenye mpambano linabaki kutikisa mkia tu
 
Dah kaka huyu jamaa unamjibu nondo hadi raha😍😍😍😍.
Changamoto ni kwamba tunazungumza na wasiyojua!

Na si ajabu akiiona hii comment akauliza tena, wewe unayejua umefikia wapi? Ndiyo akili za watanganyika hizi! Halafu wanataka mabadiliko!
 


Baba mwajuma tuliaa tuliaa utamuona Ayatollaah anatoka mbio na dela na kilemba chake mikono juu akisalimu amri ndio utajua MOSSAD ni kitu kingine, tuliaaa mwajuama tuliaaa

Ayatollaah atakafanywa kama Osama Bin Laden, amin amin nakwambia tuliaaa sikilizia mziki huu, utaona maajabu, myahudi sio umjuavyo, subiri wiki 2 hadi 3 uje uone kwa macho yako ya nyama..!! Tuliaaa please..!!
 
But current Afghan Gov is not anymore radicalized like before..!!
Kabla marekani kuingia Afghanistan serikali ilikuwa chini ya Taliban na baada ya kutoka serikali iko chini ya Taliban na inaendeshwa kwa sharia. Labda utuambie kilichobadilika ni kipi
 
Huo ni mpango mzuri sana. Je, unatekelezeka?
 
Israel inaipasua Iran muda wowote iwe usiku, asubuhi, au mchana ila Cha kishangaza pro Iran wanatuambia eti tusubiri usiku ndio Iran ijibu, kwani wanaogopa Nini Hawa wairan kupigana hata mchana waziwazi?
 
Kabla marekani kuingia Afghanistan serikali ilikuwa chini ya Taliban na baada ya kutoka serikali iko chini ya Taliban na inaendeshwa kwa sharia. Labda utuambie kilichobadilika ni kipi


You don’t understand, wataliban wa sasa hivi wako soft soft, laini laini, hawako radicalized kama wale wa awali ambao wengi wameuawa na USA, yaani hawana ugaidi, kiburi kwisha kama Hezbollaah ya sasa, yaani wamelainishwa au wamekuwa neutralized, umeelewa? Kipigo cha USA usifanye utani utani, watalibani wengi hawasimamishi kibri tena, laini kabisa
 
Ugumu wao wa awali ni upi na ulaini wao wa sasa ni upi? Nahisi unachanganya vitu viwili tofauti (Taleban & Al Qaeda)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…