Israel yathibitisha kuuliwa kwa Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah


Hezbollah imeapa kuendelea kupigana baada ya kuthibitisha kifo cha Nasrallah - saa kadhaa kabla, jeshi la Israel lilisema lilimuua katika shambulio katika mji mkuu wa Lebanon.

Hezbollah imeahidi kupigana vita baada ya kuthibitisha kifo cha Nasrallah​


Chanzo cha picha,AFP
Kundi la Hezbollah limetoa taarifa ndefu katika mtandao wa Telegram baada ya kuthibitisha kuwa kiongozi wake - Hassan Nasrallah "ameuawa".
"Mtukufu, Mkuu wa Upinzani, mja mwadilifu, amefariki dunia na kurejea kwa Mola wake," inasema taarifa hiyo.
Kundi hilo lilionekana kuthibitisha kwamba alifariki kutokana na mashambulizi ya anga huko Beirut, likisema kifo chake kimesababishwa na "uvamizi wa kihaini wa Wazayuni kwenye kitongoji cha kusini".
Kundi hilo pia liliendelea "kuahidi" kupigana vita dhidi ya Israel na kuendelea kuunga mkono "Gaza na Palestina, na kuilinda Lebanon na watu wake thabiti na wenye heshima".
Mapigano kati ya Hezbollah na Israel yaliongezeka tarehe 8 Oktoba 2023 - siku moja baada ya shambulio lisilokuwa na kifani dhidi ya Israel na wapiganaji wa Hamas ambao walianzisha vita huko Gaza.
Hezbollah imesema itaacha kushambulia Israel pale tu vita vya Gaza vitakapokoma chanzo.BBC
 
Hapohapo kwao wapi wewe,mtu kahamia hapo 1945, unaleta uwongo hapa
Mkuu; endelea kuamini hivo, sio dhambi wala. Sina interest yeyote kwa hu ubishi. Naona unahama hama point tu, haupo systematic kwa HOJA zako. Utakua na upungufu wa akili eti uanze kupigana na mataifa mengine kwa kukaa nchi ambayo haina madini, haina mafuta, haina gas nk eti vita vyote hivo upigane kwasababu ya Marekani? Stupid. Labda jiulize swali; why mataifa ya Kiarabu (tena sio Waarabu halisi )yanayo unga mkono Wapalestina ni only Iran, Yemen only? The rest of Arabic countries including Saudia wapo kinyume na Waarabu hao wa mchongo? Kwamba wewe Mtanzania unajua zaidi historia ya wale watu kuwazidi Saudia, Kuwait, Qatar nk?
 
Huku mnapata gahawa taraiibu .
 
Umesema kijiwe cha kahawa,
Umesema Israel
Umesema Hezbollah.
Mwanetu hata kama ni kweli , mnapigana kamba sana hapo
 
Huo mkono wa netanyahu kama alikua anamuaga
 
Kila nafsi itaonja umauti, hivyo usifurahie ya mwenzio wakati na wewe utaondoka any time

Ariel alishakufa, Nyau itafikia zamu yake n.k
inyooooongee kama huwa wanajua kila mtu atakufa kwanin wao wanaapa kuwafuta waisrael na wasisubiri wafe vifo vya kawaida zam yao ikifikaaa
 

Benzion Netanyahu​



Learn more

This article needs additional citations for verification. (October 2023)
Benzion Netanyahu (Hebrew: בֶּנְצִיּוֹן נְתַנְיָהוּ, IPA: [bentsiˈjon netaˈnjahu]; born Benzion Mileikowsky; March 25, 1910 – April 30, 2012)[2][3] was a Polish-born Israeli encyclopedist, historian, and medievalist. He served as a professor of history at Cornell University. A scholar of Judaic history, he was also an activist in the Revisionist Zionism movement, who lobbied in the United States to support the creation of the Jewish state. His field of expertise was the history of the Jews in Spain. He was an editor of the Hebrew Encyclopedia and assistant to Benjamin Azkin, Ze'ev Jabotinsky's personal secretary.
Benzion Netanyahu
Born
 
Unatenganisha vipi pombe na uyahudi!?..hujakuta habari za majini na yesu mpaka useme wayahudi hawajui majini!?.. halafu majini,pombe,bikira siyo nguzo za uislam Kama utatu mtakatifu kwa ukiristo,lakini Kama haitoshi yesu aliahidi atakunywa pombe kwenye ufalme wa milele
 
Kasome kuanzia 1917.
Utajua mzozo nini.
mzozo wa mashariki ya kati ni dini mzee.. jiulize kwa nini ayatolah wa iran jana anasema muslim countries zijiunge kupambana na israel? kwa nini hajasema nchi zote za dunia kasema all muslims? vikundi vyote vya kupambana na israel mashariki ya kati vinaanzishwa na mashehe au viongozi wa kiislam mfano hamas na hezbola
 
Akili zako zinafanya kazi vizuri kaka!??
Iran kusema nchi za kiislam ziungane dhidi ya Israel haimaanishi mzozo ni wa kidini.
Uislam ndio una population kubwa hapo middle east.
Ila ugomvi ni ardhi na tawala.
Ndio maana nikakwambia nenda kasome kuanzia 1971 arab and jews crisis.
Utajua shida ilianzia wapi.
Israel ilikua iwe taifa tangu 1920 huko ila kuna yaliyotokea katika wakati huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…