Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Hakuna dhulma inayodumu katika ulimwengu huu.,..ziko wapi dola jeuri za firauni,roma,persian,mongol dynast n.k? Zilikuwa ni dola zenye ngumu na zilizomiliki sehemu kubwa ya ulimwengu huu ila zilipotea vivyo hivyo udhalimu wa mayahudi na washirika wake utafutika tu ni suala la muda tu.Myahudi hataki uchokozi tena ni usafi wa kina unafanyika
Haijalishi itachukua mda gani? Cha mhimu ni kuendelea kuisafisha gaza yote, acha kazi iendeleeMazayuni wamemaliza kazi waliojidai itawachua wiki mbili tu? ama bado, Kulikoni? A huelewi?
Usiishi kwa kukalili kila zama na kitabu chakeHakuna dhulma inayodumu katika ulimwengu huu.,..ziko wapi dola jeuri za firauni,roma,persian,mongol dynast n.k? Zilikuwa ni dola zenye ngumu na zilizomiliki sehemu kubwa ya ulimwengu huu ila zilipotea vivyo hivyo udhalimu wa mayahudi na washirika wake utafutika tu ni suala la muda tu.
Sina lengo kuingia kwenye hii mada moja kwa moja lakini najua kabisa na hata wewe unajua hapo juu kwenye bold unalinganisha vitu viwili tofauti.Ndio nikauliza mbona Hitler alipowachinja wayahudi million 6 hamkusema ni sababu walijificha? Ila mlisema ni genocide? Au ndio mkuki kwa nguruwe.......?)
Kama al shabab wanatulipua na huko mogadishu wanashangilia na allah akbar kama zote huoni adui yuko visible?ndio hicho kilichotokea huko Gaza na hata wewe mwarabu mweusi ulishangilia muujiza wa kuua ambao ndio anaouweza allah.Hamas ilishambulia sio Gaza, ni sawa na Al shabaab watulipue hapa Dar alafu eti twende Mogadishu tulipue mahospitali na mashule true watoto na wamama!! Sasa inahusiana nini?
Eti sudan we kweli umeathiriwa na utumwa hadi kiimani kwa hiyo waarabu koko(ndugu zako) kuwaua waafrika weusi unaona ni sawa?upuuzi uliopitiliza!Qurβan ilishamaliza kila kitu, Mayahudi na Wakristo hawatakua radhi nasi mpaka tufuate mila zao
Ndio tuyaonayo na kuyashuhudia wakifurahia mauwaji dhidi ya ndugu zetu wapalestina, Iraq, Libya, Afghanistan, Sudan n.k. usiende mbali hapa hapa Tz wasio waislamu wanaishi pamoja na waarabu/waislamu miaka na miaka lakini most of them nyoyo zao bado zimejaa chuki, roho mbaya, ukatili. In short vifua vyao vimejaa chuki.
π€£π€£π€£π€£π€£ mkuu eti WANA WEWE π€£π€£π€£π€£π€£π€£ uvue nguo za kijeshi,ujifanye raia,ujifanye ripota,ujifanye mkunga,ujifanye mtoto π€£π€£π€£π€£πππππChombo kinachotoka habari ndio kile kile Cha kulingania dini ya mnyaanzi ambacho wanazuga wamembeba camera kumbe ni mabomu? Hata hivyo Intelijensia ya izrael ni Kali Sana hawafanyi makosa, wewe gaidi ukifanye mgonjwa, Wana wewe, ukifanye daktari Wana wewe, ukifanye mkimbizi Wana wewe, ukifanye aljazira Wana wewe
inatafakarisha sanaBinafsi ninapo kumbuka kuwa hao wa Palestina ni just innocent civilian like me,wanauwawa kila siku huku Dunia mzima inaangalia bila kufanya chochote,Huwa najisemea life is meaningless.
I don't even see the hand of God there helping them.
Eti sudan we kweli umeathiriwa na utumwa hadi kiimani kwa hiyo waarabu koko(ndugu zako) kuwaua waafrika weusi unaona ni sawa?upuuzi uliopitiliza!
Hamas wako wapi? Israel wanapigana na nani? Au hakuna magaidi wa Hamas ni kwamba Israel anaamka anaua raia anarudi kukaa, kesho tena anachukua silaha anaua raia anakaa.Binafsi ninapo kumbuka kuwa hao wa Palestina ni just innocent civilian like me,wanauwawa kila siku huku Dunia mzima inaangalia bila kufanya chochote,Huwa najisemea life is meaningless.
I don't even see the hand of God there helping them.
Ukizungumza inabidi uwe na takwimu za wangapi wanakufa huku na kule na nani alianza kumuua mwenzake.WapaLestina kuua wayahudi ni kupigania haki.Wayahudi kuua wapalestina ni unyama.Inaingia akilini hii?
Kwani mkuu hamas si hao waarabu....wanaovua nguo za kijeshi na kuvaa kiraia.....au hamas ni sokwe..!!Hamas wako wapi? Israel wanapigana na nani? Au hakuna magaidi wa Hamas ni kwamba Israel anaamka anaua raia anarudi kukaa, kesho tena anachukua silaha anaua raia anakaa.
Kwahiyo hakuna vita ni mauaju ya raia tuu?
Wewe unaelewa vipi kuhusu hii vita?
Hao wanaouawa si ndio yale magaidi yalioua watanzania sasa na wenyewe wakiuawa kuna shida gani si ngoja na wenyewe wapate wababe wao, shida iko wapi.
Bravo Israel and may Yahweh bless you and give you more strength to liquidate those satanic terrorists.
1 Israelites=1000 Palestine πππ hii ni toka miaka na miaka maelfu ndio maana haya Mazayuni sio yakuchukua poa ukiwagusa.. kiukweli mpaka vita ikwishe Palestine watakufa wengi sana nihuzuni na kilio kila nyumba.πππKama kawaida yao, ukishazoea kuua utaendelea kuua tu.
Wale wanaoitwa Taifa teule wameendelea na kazi yao ya kufanya wanachoweza kwa ufanisi mkubwa. Leo wameua wapalestina masikini 100, wasio na silaha, ambao wana njaa wakati wakisubiri msaada wa chakula. Wanajeshi wa Israel limefyatulia kundi la watu risasi na kuua wapalestina 100.
Haya yakiwa yanafanyika kuna watu wanafurahi, wanapenda, wanachekelea na wanatamani hawa wapalestina wasio na hatia wanedelee kuuawa
Taarifa za hilo tukio unaweza kuipata hapa:
Waarabu ni wajinga wa akili......upo sawa kabisa
1 Israelites=1000 Palestine πππ hii ni toka miaka na miaka maelfu ndio maana haya Mazayuni sio yakuchukua poa ukiwagusa.. kiukweli mpaka vita ikwishe Palestine watakufa wengi sana nihuzuni na kilio kila nyumba.πππ
Walimuua mdogo wangu mollel Oct 07...!!!!Walikufanya nini waarabu?
Walimuua mdogo wangu mollel Oct 07...!!!!
Na kule darfur wanaua ndugu zangu....kupitia kundi lao la janjaweed
Nani kakudanganya.....sababu huyo allah mwenyewe nawachukia wayahudi ila kashindwa kuwamaliza.Nusra ya Allah ipo karibu, wapalestina hawataisha, watakaoisha ni hao makafiri waliolaaniwa.
Dogo ushaanza propaganda na mimi sina ubishani sababu warabu walivyo mafala walikua wanajirekodi videos.....wacha hao MAARABU wale kichapo mpaka maji waite muma...!!!Huyo ndugu yako mollel una uhakika aliuawa na Hamas?