Jamvi la Wanawake: Mabinti mmewafanya nini hawa wanaume huu mwaka, mbona wana hasira hivi?

My dear,wao ndo wana shida ndo maana wanalalamika😂😂😂.
Fact 💯
Hapo sasa 😂😂 hizi pressure huwa zinafanya watu wanachukua maamuzi ambayo wanakuja kuyajutia baadaye.

Ningekua na uwezo wa kupin hii reply ningefanya hivyo na wengine wajifunze kutoka kwako na wasikurupuke.
 
Ulichofanya wewe kumuomba papuchi wakati hamjafahamiana vyema ni Umalaya.

Alichofanya yeye kukuomba hela baada ya kumuomba papuchi wakati hamfahamiani ni umalaya vile vile.

Kiufupi mlikutana wote malaya, shida uliogopa anaweza kuchukua hela na papuchi asikupe na ndiyo maana umekuja kulalama humu!
 
Napotosha nini? Vigezo muhimu. Mtu ambaye atakuwa baba wa mtoto wako,mtu ambaye watoto wako watamuiga na kurithi tabia zake kwanini asiwekewe vigezo vya juu?Vigezo muhimu. Raise the bar highhhhhh, be picky enough. Makazini tu hawaajiri yeyote, wanaweka vigezo,kwenye mume ndo vigezo visiwepo, hakuna hiyooo
 
Dunia imekuwa hivi hivi kwa mwanamke tangu kale, Kwasasa platform za kuwasema na kuwasulubu wanawake ndio zimebadilika.

Tofauti ni kuwa na sisi kwa sasa tuna sauti and we can talk back, We are not here to endure. Hii hali inamfanya mwanaume azidi kuona anapoteza power.
 
Kevin Samuels (RIP) alikua na kazi ngumu sana 🤣 Natafuta Ajira
 
Sijamsifia,, lengo jema huku unataka ukamkule???
Unataka ufahamu Nini kwake???? Muweke uchumba bila ngono ubaki na 150k yako.
 
Fact 💯

Msiitizo ni hapo kwenye wanaume wenye ukwasi na wanaojitambua.
UKweli mtupu
Hapa ndo tuweke mkazo ndugu yangu
Mimi pia, nafundisha boys wangu kujitambua na kufocus kwenye kujenga future yenye mafanikio, wawe bora kwenye wanachofanya na wajiimarishe kiuchumi.

💯💯💯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…