Je, Kuna sheikh yoyote mwenye masters au phd kama ilivyo kwa maaskofu wengi?

Status
Not open for further replies.
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† you see
Wapi unashangaa mambo haujawahi kuyasikia ,kaa utulie hamna unachojua ,nenda kakariri uandike research hazina faida ..Phd wako naweza mkalisha hana kipya..
 
☺️😁
Homeboy Umenikumbusha Unamfahamu selemani abasi kwao ni jirani na sokoni?

Mwalimu khughaba kainda wenyewe ndio walikuaga na ukumbi wa kuonyeshea video na movies kitambo Sana mzee.
 
☺️😁
Homeboy Umenikumbusha Unamfahamu selemani abasi kwao ni jirani na sokoni?

Mwalimu khughaba kainda wenyewe ndio walikuaga na ukumbi wa kuonyeshea video na movies kitambo Sana mzee.
Hili jina sio geni la selemani abasi atakuwq kasoma ukombozi au nimekosea mzee
 
☺️😁
Homeboy Umenikumbusha Unamfahamu selemani abasi kwao ni jirani na sokoni?

Mwalimu khughaba kainda wenyewe ndio walikuaga na ukumbi wa kuonyeshea video na movies kitambo Sana mzee.
Selemani abasi kwao karibia na sokoni jirani na nyumba ya mama yake na weli iliwahi kuungua kipindi hicho nadhani hata yeye ananifahamu huyu jamaa kasomea ukombozi
 

Huduma hizi za kiroho sidhani kama zinapimwa kwa makaratasi au prefix kabla ya jina...; Na sio huduma hizo tu bali mambo mengi case in point Farraday was self-taught bila any formal education

Moral of the story ; tusitumie muda wetu chasing titles bali kufanya kile ambacho tumekusudia kukifanya
 

Ni kweli kwamba mfumo wa elimu ulioletwa na wakoloni ulipendelea dini zaoβ€”hasa Ukristoβ€”na shule nyingi zilianzishwa na wamisionari, kwa malengo ya kutoa elimu lakini pia kupanua wigo wa dini yao. Hili lilifanya waislamu wengi kubaki nyuma kielimu kwa sababu ya hofu ya kushawishiwa kuacha dini yao au kutengwa na mfumo huo.

Baadhi ya mambo muhimu ya kuzingatia kuhusu hali hiyo ni:
  1. Elimu ya Kiislamu ilijikita kwenye madrasa na masomo ya dini kama Qur’an, Hadith, Fiqh n.k., lakini haikupelekwa kwa kiwango cha mfumo rasmi wa kitaaluma uliopelekea kupata vyeti vya kitaifa au kimataifa kama bachelor, masters au PhD.
  2. Baada ya uhuru, ingawa serikali za Kiafrika zilijitahidi kufungua elimu kwa watu wote, uhalisia wa miundombinu, historia ya upendeleo, na changamoto za kiuchumi ziliendelea kuathiri kasi ya maendeleo ya elimu miongoni mwa Waislamu.
  3. BAKWATA (Baraza Kuu la Waislamu Tanzania) ilianzishwa na serikali kuchukua nafasi ya EAMWS (East African Muslim Welfare Society), jambo ambalo baadhi ya watu wanaliona kuwa lilikuwa ni njia ya kudhibiti na kuendesha masuala ya Kiislamu kwa mtazamo wa serikali, na kuna hisia tofauti kuhusu athari zake.
  4. Kwa sasa, kuna juhudi kubwa ndani ya jamii ya Kiislamu kuinua elimu ya dunia sambamba na elimu ya dini. Masheikh wengi sasa wanajiunga na vyuo vikuu, wanapata shahada na wanahubiri kwa kutumia hoja za kielimu za kisasa pia.
Vyuo Vikuu vya Kiislamu Tanzania Vinavyotoa Shahada za Juu
  1. The Muslim University of Morogoro (MUM)
    • Inatoa shahada za kwanza na za uzamili katika masomo ya Kiislamu, lugha ya Kiarabu, na elimu ya jamii.
  2. Zanzibar University
    • Inatoa shahada katika sheria za Kiislamu (Shariah), biashara, na masomo mengine ya kijamii.
  3. BAKWATA Online University
    • Ilianzishwa mwaka 2021 na Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Dkt. Abubakar Zubeir Bin Ally, kwa lengo la kutoa elimu ya Kiislamu kwa njia ya mtandao.

Historia ya elimu imekuwa na upendeleo, lakini hali inabadilika. Uboreshaji wa elimu ya Waislamu unategemea juhudi za ndani na ushirikiano wa wazi wa jamii na serikali kuhakikisha usawa katika elimu ya dini zote.

JITAMBUE , BADILIKA ACHA MAZOEA.​

 
Saudi Arabia,Iran,misri,Oman.. nao wanasema kama wewe au umbumbumbu wako tu na uvivu wa kosoma ndio unajiliwaza uislamu unakutosha !! Haya kaajiriwe Sasa na cheti Chako Cha madrasa...
 
Siyo lazima ,maana hata hao maaskofu wako wengi wao hatujaona mchango wowote wa maana na hizo phd zao zaidi ya kuhangaika na hela za escrow na kutaka madaraka ya kisiasa kupitia mlango wa kanisa bila ya kujali kuvuruga amani ya nchi ambao wote na vizazi vyao tunaishi
 
Saafi kabisa, but ni kwa nini asilimia kubwa sio wasomi? Je, hawaoni umuhimu wa kuwa na elimu tofauti na elimu ya dini?
Mbona unang'ang'ania siyo wasomi kwani hapo ofisini kwenu wafanyakazi wote ni wakristo?
 
Sasa master au phd mbele ya muumba wako ina maana gan
 
Hakuna andiko lolote la kiislam lililokataza elimu.

Ni uvivu wa wahusika tu.
Ngurika kama utakuwa muislamu ni kuwa aya ya kwanza kupewa mtume ni "SOMA" (IQRA'A)
Na tumefika mpaka tunatumia number badala ya majina kwenye mitihani ya taifa hujajiuliza ni uvivu wa wasahihishaji au kuepuka upendeleo?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…