Je, LBL sio Matapeli kama Matapeli wengine?
Status
Not open for further replies.
Kuna mtu kanirushia link yao ananiambia unajiunga kwa Kiasi fulani cha pesa, mfano 540K halafu wao watakuwa wanakutumia video za matangazo ya biashara Kila siku video tano, unaview sekunde 5 Kila tangazo, halafu wao wanakulipa 18,000 Kila siku, nimekuja kwenu mnisaidie tafadhali kabla sijapigwa.

1734328339113.jpg
 
IMG-20241212-WA0006.jpg
ndo hii nini? Naona kuna mtu alipost huko wasap kwenye grupu fulani hivi nkawa sielewi
Q
IMG-20241212-WA0009.jpg
IMG-20241212-WA0008.jpg
IMG-20241212-WA0007.jpg
 
Kuna mtu kanirushia link yao ananiambia unajiunga kwa Kiasi fulani cha pesa, mfano 540K halafu wao watakuwa wanakutumia video za matangazo ya biashara Kila siku video tano, unaview sekunde 5 Kila tangazo, halafu wao wanakulipa 18,000 Kila siku, nimekuja kwenu mnisaidie tafadhali kabla sijapigwa.

Kwani nyie Binadamu wengine mliumbwaje!?
 
Kama wao ndio watakuwa wanakuingizia pesa kabla wewe hujawapa sawa.
Yaani hakika mpuuzi wa kunitapeli kimtandao duniani hapa
 
Kuna mtu kanirushia link yao ananiambia unajiunga kwa Kiasi fulani cha pesa, mfano 540K halafu wao watakuwa wanakutumia video za matangazo ya biashara Kila siku video tano, unaview sekunde 5 Kila tangazo, halafu wao wanakulipa 18,000 Kila siku, nimekuja kwenu mnisaidie tafadhali kabla sijapigwa.

hela yeyote inayopatikana kiwepesi ina madhara makubwa
FB_IMG_1733370469435.jpg
 
tuma
maana mnapenda maisha ya kitonga sana
Watanganyika never ceases to amaze me. Kama Ile sijui Mr. Kuku mara Mr. Manguruwe mara Ile ya zamani Deci mara hii ya bidhaa sijui ukiunga mtu unapata hela.... Yaani watu hawaelewi TU.
We ni wapi uwekeze uchukue blanket ujifunike ungoje mtu akufugie nguruwe amlishe, nguruwe azae watoto watunzwe we upate hela.... Kule mbeya walipigwa na watu sijui wa sungura, wakaingizwa king wakauziwa mbegu za sungura watu wakatembea mbele.
Kama unataka kuwekeza SI Kuna siko la hisa ..!!????
 
Asilimia kubwa ya Mitanzania ni kama minyumbu vile mijingamijinga aise .

Wapelekee wakupige ulete mrejesho .Nirudie kusema hakuna hela ya bure jamani fanyeni kazi aise.

Mwandishi mathiasi mnyampala katika kitabu chake cha diwani ya mnyampala aliandika shairi akisema "bure ina sumu kali yafaa kuiepuka."

Sasa kwakuwa wengi wanapenda kitonga acha wapigwe.

Juzi mwamposa amepiga hela za manyumbu watu laki nne wamehudhuria mkesha mfano kila mtu alitoa sadaka ya bukubuku au buku mbili piga hesabu ni shingapi kaingiza.
Hata haomanabii yameshajua mitanzania inataka hela za miujiza sasa wanajipigia hela balla

Mwanza napo nasikia mchungaji mmoja nimemsahau jina nae anamkesha wa wiki nzima watu kamq laki wehudhuria sasa piga hesabu nishingapi kakusanya za sadaka.
 
Kuna mtu kanirushia link yao ananiambia unajiunga kwa Kiasi fulani cha pesa, mfano 540K halafu wao watakuwa wanakutumia video za matangazo ya biashara Kila siku video tano, unaview sekunde 5 Kila tangazo, halafu wao wanakulipa 18,000 Kila siku, nimekuja kwenu mnisaidie tafadhali kabla sijapigwa.

Mkuu kiufupi kabisa hawa ni matapeli,

Hata panya ili tuwanase huwa tuna wawekea mnofu wenye sumu au unatega mtego wenye mnofu... Sasa kuna panya wajanja huwa hawanasi kwenye mitego kama hii Sasa hembu tofautisha gap kati ya akili ya panya na akili ya wanadamu... Lakini bado kunapanya wanacheza na akili ya mwanadamu😂😂😂 nitoe Wito jamani binadamu wezangu tujitahidi panya wasituzidi akili/ujanja.

Matapeli wanatumia sifa kuu nne za mwanadamu kama ni mwepesi kwenye hizo sifa basi unahatihati ya kutapeliwa.

Sifa hizo ni hizi.
1. Tamaa (usiwe na tamaa na kitu kisichokua halali yako) pia hapa usiwe mroho mroho wa vyakula na vinywaji pia usimuamini kila mtu.

2. Uaminifu (usiwe mwepesi wa kuamini jambo)

3. Huruma (ukiwa na huruma sana basi hakikisha unakuwa na hekima ya kutosha/akili kwasababu kupitia huruma yako tapeli anaweza kukuaminisha (Kwahiyo tapeli anaweza kukuingia kirahisi akikujia na gia ya kuhuzunisha ukaingia mkenge) anaweza wakaja na stori ya kuhuzunisha ukamuonea huruma pengine ukamkaribisha nyumbani, game over))

4. Shida(umasikini mbaya sana, ukiwa na shida tuliza akili vizuri usiwe na pupa wala haraka amua maamuzi yako kwa Akili timamu na kufauta talatibu za kisheria, sio kwasababu una shida ndio uchukulie poa.

Yaani kwa mwanaume hakikisha watakoa fanikisha kukuibia ni wale wanaokuja ana kwa ana na silaha/majambazi au vibaka na umezidiwa, ila sio sio kwa kutapeliwa.

Mwisho kabisa linapokuja suala la mali aidha makabidhiano/kuuziana usichukukulie poa wala usilete kujuana sijui rafiki mpenzi ama ndugu, huyu jamaa yangu... Hakikisha taratibu zote zinaenda kiuweledi zaidi /kisheria/kiprofessional kwanini ni kwasababu hari ya mtu huwa inabadilika kulingana na mazingira na jambo analopitia wakati huo, mfano: mtu akiwa nashida huwa anashuka anakuwa mkarimu mpole na kwa muda huo anachokiongea ni kweli kinatoka moyoni na yuko serious kabisa, sasa wewe chakufanya hapa pasipo kujali wanakuaga muaminifu au sio muaminifu wewe cha kuzingatia Hakikisha mnaandikishiana kisheria na mbele ya mashahidi, usije kuthubutu mkakabidhiana kienyeji,

Kwanini kwasababu baadae shida ikiisha na ile hali ya usikivu unyenyekevu inaisha, ikiisha swala lako anakuwa halichukulii uzito kama walivyokua anakuomba. usumbufu unaanzia hapo na anaweza akakudhulumu kama akijua hakuna shahidi yoyote.
 
Kuna mtu kanirushia link yao ananiambia unajiunga kwa Kiasi fulani cha pesa, mfano 540K halafu wao watakuwa wanakutumia video za matangazo ya biashara Kila siku video tano, unaview sekunde 5 Kila tangazo, halafu wao wanakulipa 18,000 Kila siku, nimekuja kwenu mnisaidie tafadhali kabla sijapigwa.

Achana nao ni scammer hao......au Basi tuma Tu 🤣🤣🤣
 
Kuna mtu kanirushia link yao ananiambia unajiunga kwa Kiasi fulani cha pesa, mfano 540K halafu wao watakuwa wanakutumia video za matangazo ya biashara Kila siku video tano, unaview sekunde 5 Kila tangazo, halafu wao wanakulipa 18,000 Kila siku, nimekuja kwenu mnisaidie tafadhali kabla sijapigwa.

Hamna MTU wa kukupa pesa kirahisi hivyo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom