zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Haaahaaaa suprise ilikukuta wapi?Nyumbu ni hatari sana wakiwa mtandaoni wanaweza kukupiga mikwara hadi ukafa wa maneno tu ila mwambie Nyumbu aje kwa ground atekeleze anachoandika mtandaoni atakuachia vumbi tu hutamuona.
Mangekimambi analia huko nyumbu zimemuachia vumbi tu
Haaahaaa ila jamaa hapa ulitoa boko aisee. Bongo hamna wachambuzi wa siasa kabisa!! Yaani ulitoa conclusions mapema mnoo1. Serikali imeshinda, vyombo vya usalama, Dola vimeshinda kwenye hii vita.
Inaweza kuonekana ni jambo rahisi lakini wamejitahidi pakubwa.
Ubao unasoma 2-0 dakika bado ni zamapema.
Nimemdharau huyo jamaa Robert Heriel Mtibeli, yaani ndiyo basi tena..!Haaahaaa ila jamaa hapa ulitoa boko aisee. Bongo hamna wachambuzi wa siasa kabisa!! Yaani ulitoa conclusions mapema mnoo
Huyo jamaa ni boonge la boya!Asee wewe kajamaa sikuona hii comment yako.
Lugha rahisi ninayoweza kutumia ni kuwa wewe ni mnafiki wa kiwango cha juu saana .
Na wewe ni miongoni mwa watu watakaotukatisha tamaa kumzika huyu mdudu aitwaye CCm
Huyu jamaa aliniita jiniasi pumbavu 😁Pumbavu. 😂😂😂
Watu walipinga maono ya geniusUwezo wako wa kupambanua mambo ni mdogo sana ungeniuliza mimi nikuonyeshe nini ni nini ...uliyo andika ni kinyume chake uwezi kushinda vita bila ya kumuua adui au adui kujisalimisha ...kete za kumdondosha samia zipo sawa sawa kabisa zinavyo kwenda ...ulicho andika umekikosea kwa asilimia 99% huu uchaguzi unakwenda kumbatilisha samia na ccm ...niliwaambia kuwa 2025 hakuna uchaguzi hata ccm na upinzani wangetaka ndivyo ilivyo na ndivyo itakavyo kuwa kuhusu maandamano hiyo alina shaka yatakuja tu tena ya jinsi yake ...
Usibishane na geniusSi mliambiwa mapema hakutakuwa na nywinywi nywinywi wala nywinywinywi mkawa wabishi. Sasa mnaanza kuja na ngonjera zisizo na kichwa wala miguu.
Viingereza vingi ukajiona msomi ila hakuna unalojua. The mesage was loud and clear.You only have time to be mentally unstable and emotionally reactive when you have too much free time. Smart people focused on clear goals don't throw tantrums every time they don't get their way. The world doesn't revolve around you and no one cares. Stay calm, understand your problems, and fix them. There is no other way.
The Icebreaker alikupa na like kwa kubishana na geniusYou only have time to be mentally unstable and emotionally reactive when you have too much free time. Smart people focused on clear goals don't throw tantrums every time they don't get their way. The world doesn't revolve around you and no one cares. Stay calm, understand your problems, and fix them. There is no other way.
Ulisema hakuna mwenye uwezo wa kutoka barabarani je unasimamia bado kauli yako?Vipi Mwafrika anaye haribu au kuiba mali ya mwafrika mwenzie kwa kisingizio cha maandamano??
Genius don't call themselves genius,The Icebreaker alikupa na like kwa kubishana na genius
Anatamani aifute hii post, sema ameshasahau kama aliiweka. Jamaa ni mnafiki sana.Ukashangilia ushindi kabla ya filimbi ya mwisho.
Mkuu, hapa ulipuyanga mwendo wa SGR. Uzuri baadae na wewe ukaandamana kufuatilia matukio.Mpo salama!
Kwa waliopo Dar hii haijawahi kutokea. Hata siku ya jumapili haiwagi hivi. Barabara ni nyeupe sana sijapata kuona. Fikiria Morogoro road unaweza ukavuka barabara ukiwa umefumba macho. Barabara ambayo kwa hapa Tanzania ndio iko busy 24/7 kwa siku zingine kwani ndio barabara lango la mji wa Darisalama.
Daladala zipo moja moja yaani kila baada ya dakika kumi hivi wakati siku nyingine hapakaliki.
Siku ya leo kama Lisu akichukuliwa akawekwa ndani ya gari siri ya nyuma. Ili aonyeshwe hali ilivyo hakika ataumia kuliko alivyopigwa risasi au kuliko alivyowahi kupata maumivu wakati wowote katika maisha yake.
Hata Polisi, Askari na serikali hawajategemea mambo yawe rahisi kiasi hiki. Wenyewe hawaamini kama Watu wangeweza kuwasaliti wengine kwa kiwango hiki. Hii ndio tafsiri ya Usaliti.
Kwenye maisha yako. Hakuna jambo baya kama kutetea watu wajinga na maskini wasiokuwa tayari kutetewa.
Kwa hizi barabara zilivyo unaanzia wapi kuandamana. Ni nyeupe ajabu. Nilitokea Kimara mpaka ubungo kweupe kuna doria za hapa na pale za askari.
Nimeenda njia ya Mwenge, kisha makumbusho, nimerudi Magomeni mpaka mjini, posta kumepoa. Aiseeh!
Yaani hapa ukibeba bango lako hata askari wenyewe watakucheka sana. Barabara zimekumeza. Unakuwa kioja na kituko.
Nimehoji baadhi ya askari huku kwenye doria kutaka maoni yao kuhusu hali ilivyo wenyewe wanashangaa sana. Wanasema hata kama ni uoga sio wa kiwango hiki. Ni uoga uliopitiliza sana.
Zaidi wanasema wanajisikia uchungu kwa taifa kupata aibu kwa wananchi wake kushindwa hata kujitokeza walau pawe busy na vyombo vya kimataifa vipate kazi ya kufanya.
Upande wa wapiga kura hali yao bado ni mapema kueleza situation ilivyo. Ila baadhi ya watu niliokutana nao asubuhi hii ni kama wanategeana.
Hawaelewi kama watapiga kura au hawatapiga.
Kwa ujumla siku ya leo;
1. Serikali imeshinda, vyombo vya usalama, Dola vimeshinda kwenye hii vita.
Inaweza kuonekana ni jambo rahisi lakini wamejitahidi pakubwa.
Ubao unasoma 2-0 dakika bado ni zamapema.
2. Waandamanaji sio tuu wapo nyuma kwa bao moja lakini pia kimchezo wamezidiwa. Uwanja umeinama.
Hawachezi kama timu. Timu yao imevurugwa na kuvunjwa vunjwa.
3. Kuna uwezekano leo asipigwe hata mtu mmoja. Yaani kusiwe na fujo ya aina yoyotem yaani hata rungu moja hutosikia.
4. Wapiga kura watakuwa wachache sana. Kwa hali Ilivyo.
Ingawaje hii haiwathiri upande wa serikali. Wao lengo lao siku ya leo ipite salama. Pili watakaojitokeza hata kama ni elfu moja haohao watatumika kueleza kwa kulikuwa na uchaguzi.
5. Baada ya siku ya leo nini kitatokea?
a) Waandamanaji watakuwa wamekatishwa tamaa na watakuwa wamepata aibu kubwa ambayo sijui kama itaisha hivi karibuni.
b) Waliokuwa vinara mtandaoni watakasakwa wiki za mwanzoni za mwezi November kisha serikali itaachana na mambo ya uchaguzi kwani hang over na tension ya uchaguzi itakuwa imeisha.
So ni vizuri kama ulikuwa mstari wa mbele kuhamasisha maandamano wiki hizi mbili ujitahidi sana kujificha. Ukifanikiwa basi utakuwa umeokoka.
c) Matusi mitandaoni yatarudi tena kutukana sasa waandamanaji kwa kuwa waoga na kunguru. Kenya watatukana Sana watanzania.
d) Maridhiano ya kitaifa kufanyika na wale waliokamatwa kwa sababu za kisiasa na kiuchaguzi kuachiliwa.
e) Kusafisha baadhi ya taasisi za dini na kuunda sheria mpya zitakazobana taasisi za dini kujihusisha na siasa.
f) Influencers wa mitandaoni kubanwa zaidi na kuwekewa sheria za kitaaluma, na kimaudhui na kikodi.
Kwamba bila kiwango fulani cha taaluma kuna mambo haupaswi kuyajadili mitandaoni kama muanzisha maudhui na influencer.
Ila ku-post mambo personal kama picha zako utapewa uhuru.
g) Bado vuguvugu la waliotekwa, kuuawa na kupotezwa litaendelea kusakama huku kelele za wanaharakati mmojammoja wakiwa wanajitahidi kukumbushia.
h) serikali muda huo itafanya jitihada kuwasahaulisha watu habari hizo na mambo ya kukamatana kamatana baada ya mwezi mmoja kuelekea 2026 yatapotea. Jambo ambalo litafanya wale wanaharakati wanaokumbushia utekaji n mauaji kuchokwa na watu kama sio kupuuzwa.
I) mwaka 2026 utakuwa mwaka wa kitofauti sana.
J) Lisu atakuwa ameachiwa lakini atakuwa amekata tamaa. Sio kwa sababu ya kunyoroshwa na Serikali bali kutokana na Wale anaowapigania kumnyorosha, kumsaliti na kumtelekeza.
Poleni wote. Hayo ndio maisha.
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Akiba ya maneno muhimu.Mpo salama!

Wale walikuwa wezi wa mali ya watu binafsi na waharibifu wa miundombinu. Be at your sensesUlisema hakuna mwenye uwezo wa kutoka barabarani je unasimamia bado kauli yako?
Call them whatever you want ila walitoka au hawakutoka?Wale walikuwa wezi wa mali ya watu binafsi na waharibifu wa miundombinu. Be at your senses
Asije kurudia kuwadharau watu waliochoka na utawala mbovu.Anatamani aifute hii post, sema ameshasahau kama aliiweka. Jamaa ni mnafiki sana.
Tumuulize tena je dec9 watatoka au hawatatoka?Call them whatever you want ila walitoka au hawakutoka?
Matako yakoKwisha habari yao
99.99% uliandika pumba tupu maana karibu kila kitu ulichosema kilikuwa kinyume. Hii ndiyo hasara ya mtu kujifanya unajua kila kitu. Siku nyingine bakisha maneno!Mpo salama!