herzegovina
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 3,155
- 4,744
Mimi naona kwa hili tu tusimhukumu Pascal.kwa kuwa nafikiri kuleta tu huu uzi na kusema kwa uwazi bila ya yeye kujificha,ametimiza wajibu wake, kwa kiasi kikubwa,nami nampongeza.
kwa kweli ni wajibu wa serikali kuchukua hatua sasa.
Pole kwa familia na watanzania wote wenye nia njema kwa matukio mabaya kama haya.
Aisee, Mungu akusamehe tu. Kama unaijua kesho yako basi ubarikiwe.Ndiyo mpigwe tu!maana mnatuvurugia amani kwa maujinga yenu
Yaani mtu mzima unayemaliza nyembe kunyoa hayo matakataka unauliza swali la kipuuzi eti mbona watoto wao hawakuandamana ?muda mwingine usijionyeshe kama una akili pekee za kuvukia barabara.Inamaana bila kukusanya watu na kuandamana wasingepewa hizo hati?viongozi wenyewe hawatoshi?mbona watoto wao hawakuwepo kwenye maandamano?
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Haijawahi kutokea awamu kama hii watu wanapotea,mwandishi na saa nane,watu kupigwa risasi mchana kweupeeee kama lisu nk hakuna cha uchunguzu wala majibu.Hata mauaji ya arusha si walikufa wasio na hatia?? Leo imekuwa haijawahi kutokea tena?
Sasa Mwigulu unaona raha gani kula mshahara kwa Damu hizi hasa ya binti kama huyu?
NO WAY ASKARI HAWANA MAKOSA NI LAZIMA WAHAKIKISHE AMANI NA UTULIVU VINAPATIKANA!
Tusijiingize katika anga zao jamani!
Rip Aqulina!
Zipo njia za kuzuia maandamano lakini sio kwa risasi za moto..Walipewa na nani ruhusa ya kuandamana.....!? Kwendeni zenu msiopenda kuukabili ukweli.eti chadema hawamiliki silaha....
Umesoma mada ukamaliza? Umeambiwa alikua kwenye daladala au hujui kusoma??huyo denti alikua anatafuta nin huko kwenye mikutano ya siasa wakati wenzie wako kwenye maandalizi ya mitihani?
Pascal hapa ukichunguza Polisi waliingizwa kwenye mtego na viongozi wa Chadema, viongozi hawa walijua kuwa wakiandamana watapambana na polisi. Sasa hivi wapinzani wanajaribu kwa kiasi kikubwa kuharibu sifa za serikali ya awamu ya tano International kwa kuifanya ionekane ni ya kidikiteta. Cha msingi vyombo vya usalama viwe very carefully katika kutekeleza kazi kwenye sehemu ya watu wengi, hekima na busara itumike. Kutumia nguvu kama ya jana haikuitajika.
Kwani huyo mliye muua alikua kwenye mkutano au kwenye dala dala?R.I.P
Poleni wafiwa
Chadema wanaenda kuwanunua kuwapa chenji ndogo wajaze sehemu wanapita..
Uchunguzi wa polisi ufanyike kwa kifo chake hii ni lazima
Na pia uchunguzi nani anawakusanya wajae kufanya fujo bila kufata sheria na huku wanajitayarisha na mitihani n.k. lazima Chadema wawajibishwe pia.
NA HAWA POLISI NA CCM KWANINI HAWAKUFATA YA JUZI YA NAIROBI, KUWAACHIA TU. WANAJUA CHADEMA WANAPENDA YA KUUANA KUTAFUTA HURUMA.
Rip Mwanafunzi,mkuu umenena vyema,ndugu Yangu Pascall,ameandika mengi mkwenye huu uzi na mengi ni ya kweli.Mkuu mwaka 97 nadhani nilikuwa Mombasa,sehemu moja inaitwa ukunda ambapo ni south coast,Kulitokea machafuko ya siasa kipindi kile,mida ya jioni risasi zilirindima sana mimi na ben Mtui,pamoja na watu nisiowafahamu tulienda kuangalia lile tukio,Ben Mtui hakurudi ulirudi mwili wake tu.Mimi ndio nilipeleka ripoti za msiba kwa ndugu na marafiki,alipigwa risasi ambayo haikukusudiwa kwenda kwake.kaka yake Elijah alihangaika na serikali kwa kosa hilo,lakini Ben Never came back to life.Swali nalojiuliza Tulifuata nini pale hadi Ben akauwawa?Tulikuwa na kazi gani pale wakati Polisi wanatekeleza majukumu yao?Aquilina hakupaswa kuwa pale,wazazi wake hawakumtuma kufanya kazi ile.Amewakosea wazazi wake.Risasi hazikupigwa chuoni,Hata kama polisi tutawalaumu lakini tuwe na utaratibu wa kukwepa maandamano yasiyo n VIBALI.huyo denti alikua anatafuta nin huko kwenye mikutano ya siasa wakati wenzie wako kwenye maandalizi ya mitihani?