Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

mwanza ni maskini
 
Daah chalaa angu naona leo mmetamulia,ila haina paringi arifu.
 
Arusha kuna viwanda vipi tofauti na general tyre ambayo nayo isha jifia?,hebu vitaje
Just to mention few, A to Z kikubwa sana hichi nahsi EA nzima, Tanalec, Pepsi, TBL, Ukiwa Highway hii ya Moshi Arusha ukifika Philips na Sanawari kuna vibao vina ku direct kuwa Hii njia inaenda Industrial Area ambayo ni Njiro
Sambamba na hayo ila kwangu Mwanza ni bora sana, Arusha saa tatu au nne usiku Mtaani kweupe, Arusha hata stand hawana
 

Unaongelea kile kindege kama cha babu sambeke?Kile hakifikii hata bei ya ma V8 haya ya wabunge.

BTW kuna ki cessna kilikua kinamilikiwa na wizara ya kilimo kwa ajili ya kupulizia madawa huko mashambani wizara hio ilikiuza kwa mtu binafsi kwa Tsh.500,000(Laki tano tu) mpk serikali ikashtuka.

The point is,hivyo vi ndege used sio bei ghali na wala sio big deal.
 
Arusha ina Air strip ulitaka KIA kuwe na Uwanja mkubwa na Arusha pia uwanja mkubwa? Tumia aliki basi mara moja moja
 
Stand ndo inasaidia nini? Nairobi hawana Stand ila ni kubwa kuliko Dar Kiuchumi, Arusha sio mji wa kukaaa masikini masikinu, ule ni mji wa Kitaliii
 
GDP ndo inakubeba mpaka kuonesha umwamba wako na sio blah blah! Marekani yupo namba moja duniani pale sababu ya GDP, Nigeria yupo namba moja African sababu ya GDP ukija kwa Tanzania ukitoa Dar mkoa unaofata kwa GDP ni Mwanza sasa me nawashangaa mnaobwabwaja
 
Arusha to dar ni bei Gan kwa precision?
 
Huo uwanja umejengwa kwa Kodi za watanzania sio uwanja wenu ni uwanja wa watanzania hata mtanzania alieko kisarawe au Namtumbo acheni mambo yenu bana ya kujimilikisha vitu.


Eti uwanja wetu. Mna uwanja ninyi.
 
Stand ndo inasaidia nini? Nairobi hawana Stand ila ni kubwa kuliko Dar Kiuchumi, Arusha sio mji wa kukaaa masikini masikinu, ule ni mji wa Kitaliii
Acha basi mkuu yani umeniona mimi mgeni sana Arusha nimekaa apo for five years, Unaongelea Arusha hii ya muriet hata public transport tu za kueleweka hakuna kuna vipanya ni uchafu mjini, Arusha hii ya unga limited na matejoo mpaka city centre kuna nyumba za Miti, Arusha is overrated
 
Una akili fupi Sana wewe, nani kakwambia GDP ndio kila kitu ... Hiyo Nigeria utailinganisha na south Africa , mbona wanaijeria wengi wanaikimbia nchi Yao kwenda huko south Africa kwenye nchi yenye GDP ndogo kushinda wao.


Achen theories ndugu zangu leten actual facts ...


Africa Kuna nchi Kama Morocco, Tunisia na misri hiyo naijeria Ni takataka tu japo wana GDP kubwa.. Ukiza watu ambao wamezuru hizi nchi na sio unaleta vijimaandishi kutoka Wikipedia...
 
Arusha ina Air strip ulitaka KIA kuwe na Uwanja mkubwa na Arusha pia uwanja mkubwa? Tumia aliki basi mara moja moja
Mimi naongelea issue aliyo raise mshakji khs watu kumiliki cessna ,wewe unaleta story zako za KIA.

Next time kabla ya kuja kubishana mbele ya wanaume jitahidi uwe unarekebisha shanga kwanza ndio uje kukaa kwny jamvi.
 
Usiwe mjinga kiasi hicho ina maana unapinga sasa hata Marekani kuwa namba moja kiuchumi duniani na pia Nigeria kwa Africa ama kweli wewe ni zuzu.

Kwa chanzo chako chochote niwekee hapa nchi tajiri kwa dunia na kwa Africa afu ujione ulivyo panga boi, eti wanaijeria wanaikimbia nchi yao kwenda nchi nyingine kama ulikuwa hujui wale jamaa ni wanacheza na fursa yani wakiona fursa sehemu lazima waende nayo na kukuhakikishia hilo wapo wamarekani wengi tu wameondoka marekani nchi zingine kupiga mishe mishe na marekani ndo nchi tajiri.

Swali; leta orodha ya nchi tajiri duniani na Afrika kutoka kwenye chanzo chako chochote tumalize kwa ubishi hapa
 
Huo uwanja umejengwa kwa Kodi za watanzania sio uwanja wenu ni uwanja wa watanzania hata mtanzania alieko kisarawe au Namtumbo acheni mambo yenu bana ya kujimilikisha vitu.


Eti uwanja wetu. Mna uwanja ninyi.
Swap 'yetu' for 'Mwanza' umeridhika sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…