Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Um Umeelezea vizuri sana kaka
But still kwenye makusanyo ya tra arusha imewapita
Hapo mnachopingana na Bwana opportunity cost ni mapato ya halmashauri ambapo kama utakumbuka halmashauri nyingi nchini ukitoa dodoma vyanzo vingi vya mapato vilipeleka tra halmashauri zilibaki na ushuru wa vitu kama masoko, taka na stendi
Mfano dodoma ndio iliyoongoza kwa mapato ya halmashauri lakini ki uhalisia kwa makusanyo ya tra dar peke yake inakusanya mapato zaidi ya asilimia 80
Kwahiyo makusanyo ya halmashauri sio kipimo kizuri cha kuonesha ukubwa wa mji au shughuli zilizomo kwa sababu dodoma peke yake inakusanya mapato mara 3 zaidi ya arusha au mwanza cc + ilemela
 
Arusha imewapita au wameipita Mwanza? Unaamini kila mtu anaesema ukweli kua Arusha ni cha mtoto mbele ya Mwanza kwao ni huko?
Tunasimamia material fact, Mwanza iko juu ya Arusha, kwa vigezo vyote!
 
Arusha imewapita au wameipita Mwanza? Unaamini kila mtu anaesema ukweli kua Arusha ni cha mtoto mbele ya Mwanza kwao ni huko?
Tunasimamia material fact, Mwanza iko juu ya Arusha, kwa vigezo vyote!
Mandazi ana kichwa kigumu sana kuelewa, arusha ina safari ya miaka 50 kuifikia Mwanza.
 
Arusha imewapita au wameipita Mwanza? Unaamini kila mtu anaesema ukweli kua Arusha ni cha mtoto mbele ya Mwanza kwao ni huko?
Tunasimamia material fact, Mwanza iko juu ya Arusha, kwa vigezo vyote!
🤣🤣🤣🤣
Mkoa maskini afrika utupite kwa mambo yote

 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huko tuendako Kahama na Geita zitaizidi Mwanza parefu sana kiuchumi,Mwanza itazidi ku consolidate nafasi yake ya kuongoza kwa idadi kubwa ya maskini Tzn
 
Huko tuendako Kahama na Geita zitaizidi Mwanza parefu sana kiuchumi,Mwanza itazidi ku consolidate nafasi yake ya kuongoza kwa idadi kubwa ya maskini Tzn
Nawaambia kila siku hata tabora na bagamoyo zilikua kubwa kuliko dar
watu wanafata fursa
tangu miaka ya 80 mwanza ni mji wa pili but nothing is going on there
 
Investment gan unaizngmzia unamaansha majengo yalyopo mwanza amejenga bibi ako
 
2acha kupmbaza watu kwa takwim zako za 2015 lete za 2020
 
Wewe utazunguka tu lakini ukweli unajua kabisa maisha ya watu wa mwanza ni magumu kuliko. Wachaga wote wakiondoka hapo mwanza tunajua kitakachotokea. ...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
wachaga wanaish kumiliki maduka ya. Pipi ulza kama kuna mchaga yeyte anaemiliki hata hotel moja
 
Kwanza nani amekudanganya kuwa inaongoza kwa utalii Africa mashariki? Wakati idadi ya watalii kwa mwaka ni nusu ya wale wanaoenda Kenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…