TANZIA GE2025 Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Atakuwa Kapigishwa Shot Na Wahuni Kwenye Kura Za Maoni.
We Miaka 25 Na Alikuwa Spika Bado Anautaka Tu.
 
Inasemekana aliyemtengua ndiyo kaamua kum........
 
Huyu timu Polepole, ndiyo maana akina kassimu na mpango walijiondoa mapema kuepuka kuuawa na timu wahuni
Akijichanganya sana mkusanyiko wa watu ule hatari sana nyakati hizi
 
Ndugai hakua mzalendo! Labda mzalendo wa tumbo lake.
 
Kuna uwezekano mkubwa Lissu akatolewa wiki ijayo maana kifo hiki kitakuwa kimewapa wengi funzo na somo.
Nao watakuwa waoga Kwa kuogopa yajayo na hivyo kuona umuhimu wa kumuachia huru
Nina hakika wale wanamshikiria Tundu hawana mioyo ya binadamu, sio kwa ukatiri ule; shetani akasome yaani so sioni kama wanaweza kujifunza chochote kupitia kifo hiki
 
Sio kila mti wa kuparamia mingine michongoma.!
Kweli kabisa. Ila madaraka ya kisiasa kwa nchi yetu uwe mafia. Nakumbuka mzee malecela alishawahi naye ua watu kibao mbaya ile ya yule Dakitari walimuua miaka ile. Sema Ndugai hakwenda kuchukua ushauri kwa Mzee Malecela aliyepata bahati ya kusoma kisa chief wake alikataa kupeleka watoto wake shule ikabidi apelekwe Malecela mbadala wakiamini mateso na hiyo familia ya ki chief malecela hajawahi isaidia kabisa na ndiyo maana hata familia ya malecela wana laana sidhani kama kuna mtu atainuka hata huyo kijana sidhani kama atatamba muda mrefu
 
Duuuh!!!
 
Sana wahuni wametuma ujumbe kwa Polepole na Gwajiboy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…