Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
CHAMA TAWALAHeche anapoteza muda. Mbowe ni chaguo la wapiga kura wa CHADEMA hakuna namna anaweza kushindwa na Lissu ambaye ni adui wa demokrasia na kirusi ndani ya chama rafiki CHADEMA. Sisi wanaCCM tunamuunga mkono Mbowe.
Hawajui mbinu za kiintelijensia hawa. Wanaweza wakahisi CCM inamuogopa Lissu kumbe ikawa kinyume chake.Mnajidanganya. CCM hiki ndicho wanachotaka.
Amandla...
Unagombea cheo gani? Natamani kujua. UwiiiTumesema mara nyingi kwamba Chama chochote kilicho hai ni lazima kiwe na michuano kipindi cha Uchaguzi, huo ndio uhai wa Chama
Hivi wamekuambia kama mimi pia ni Mgombea?
Chama tawala kitakua busy sanaaaaa. Yan ccm kitaondoa zile taka taka zoote zilizojaa pale lumumba na uvccm iweke watu wenye akil sasa. Maana kwasasa chadema imejifia ndio maana ccm wala hawa panicNatamani
1. Lissu - Mwenyekiti
2.Heche - M/mwenyekiti
3. Lema - Katibu mkuu
Hata Marekani sio donors wote wanawekwa hadharani. Wanaweza kujua wachache lakini sio wote. Na wakiacha kuchangia hamna atayewalazimisha. Hasa ukizingatia kuwa humo humo CDM kuna watu wanapeleka taarifa upande wa pili. Taarifa zinazoweza kutumiwa na TRA n.k. kuwashughulikia.Kama anakopata hela Mbowe ni siri au hakufahamiki hiyo ni hatari kuliko kutokuwa na pesa.
Hapa at least CHADEMA kitakuwa na sura ya Kitaifa endapo hawa miamba wawili watashinda; Tundu Lissu na John Heche.Wakuu mmesikia huko? John Heche rasmi ametangaza kumuunga mkono Tundu Lissu na atagombea Umakamu Mwenyekiti wa Chama.
Heche ameongeza "Mimi Mbowe kwangu ni Baba wa Kisiasa, amenilea na hamheshimu sana. Tunakwenda kwenye uchaguzi na tutakushinda katika uchaguzi huu. Mimi namuunga mkono Tundu Lissu na nimeamua kuchukua Fomu ili nikamsaidie Mwenyekiti kujenga Chama chetu. CHADEMA ni tegemeo la wananchi. Kwa rafiki yangu Wenje, tumefika hapa kwa sababu yako."
View attachment 3193009
Kwa team hii ya lissu+heche ikishinda, Lumumba hakutakalika kamweeWakuu mmesikia huko? John Heche rasmi ametangaza kumuunga mkono Tundu Lissu na atagombea Umakamu Mwenyekiti wa Chama.
Heche ameongeza "Mimi Mbowe kwangu ni Baba wa Kisiasa, amenilea na hamheshimu sana. Tunakwenda kwenye uchaguzi na tutakushinda katika uchaguzi huu. Mimi namuunga mkono Tundu Lissu na nimeamua kuchukua Fomu ili nikamsaidie Mwenyekiti kujenga Chama chetu. CHADEMA ni tegemeo la wananchi. Kwa rafiki yangu Wenje, tumefika hapa kwa sababu yako."
View attachment 3193009
..Chadema ikiwapa nguvu heche na lissu, itakuwa imeongeza nguvu na ushawishi mwingi Sana kwa ummaChadema wamepata fursa nyingine ya kukirudisha chama kwa Wananchi baada ya wapiga kura kupoteza imani.
Lissu na Heche wanaweza kukinusuru chama ila sidhani kama Sultan Mbowe atakubali kunyang'anywa kitegauchumi chake...ngoja tuone.
..haahaa ndo maana ccm wanampiga kampeni mbowe Ili waendelee kutumia propaganda hiiThubutuuu!! Chadema ni SACCOS YA KICHAGA, hatuwezi kukubali saccoss yetu itekwe na wanyaturu!
US wanasheria kali za pesa kwa vyama na uchaguzi. Ni moja ya kesi inayomkabili Trump. Pesa za siri ni hatari kwa nchi maana zinaweza kutoka kwa maadui wa nchi au wananchi wenye malengo mabaya na nchi. Kufanya mapambano hakukupi uhalali wa kuvunja sheria. Ukifanya hivyo utaendelea hivyo hivyo hata ukiingia madarakani. Kama chama kinachangiwa na matajiri na si wananchi basi ni chama cha matajiri wachache na kikiingia madarakani kitasimamia maslahi ya hao matajiri.Hata Marekani sio donors wote wanawekwa hadharani. Wanaweza kujua wachache lakini sio wote. Na wakiacha kuchangia hamna atayewalazimisha. Hasa ukizingatia kuwa humo humo CDM kuna watu wanapeleka taarifa upande wa pili. Taarifa zinazoweza kutumiwa na TRA n.k. kuwashughulikia.
CDM bila pesa kitakuwa kama Chaumma. Si umeona pamoja na kusema sana kuwa wanamuona Lissu kama mkombozi wao, michango ya kumnunulia gari inavyosua sua. Sasa wakiambiwa zinahitajika milioni 100 kila mwezi za kuendesha chama wataweza?
Amandla...
..Uchaguzi huu unafuatilia na watu wengi sana, chadema waionyeshe Dunia kivitendo wanachokisimamia...uchaguzi huru, wa hakiItakuwa ngumu maana kuna upande umeishatangaza wazi kuwa wataona uchaguzi ni wa haki pale tu mgombea wao akishinda. Akishindwa itakuwa kwa sababu tu ya hujma. Na wachochea moto wapo sana.
Amandla...
Nahisi siku ya uchaguzi Chadema wanaweza wakapigana wenyewe kwa wenyewe kwenye ulindaji wa kura.Wapiga kura wataamua wenyewe siku ya uchaguzi. Aidha wachague wapigaji, au wapambanaji.
😂😂😂wakiibiana watakuwa wamewarahisishia ccm kuwaibia uchaguzi mkuu wa 2025Nahisi siku ya uchaguzi Chadema wanaweza wakapigana wenyewe kwa wenyewe kwenye ulindaji wa kura.
Kumbe upo upande huu wa Lissu. Mimi huwa namwita ni muujiza unaotembea. Risasi zaidi 30 na bado aliokoka. Mpeni uongozi japo kwa miaka 5. Tunaowaunga mkono- ambao sio wanachama wa chama chochote cha siasa tupo wengi mtaani. Tunapenda kuona nchi yetu inakuwa na upinzani imara, ili kuifanya CCM isijisahau. Utafika mwaka mtakapokuwa na nguvu zaidi mtashika usukani wa nchi moja kwa moja.Kila la heri kwake
Heche anapoteza muda. Mbowe ni chaguo la wapiga kura wa CHADEMA hakuna namna anaweza kushindwa na Lissu ambaye ni adui wa demokrasia na kirusi ndani ya chama rafiki CHADEMA. Sisi wanaCCM tunamuunga mkono Mbowe.