SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 3,109
- 6,323
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NomakinomaSasa anavutiwa nawe ila anakukubali nawewe
NanyoaUpendo huambatana na heshima , sasa apo usuke ama kunyoa tu mtu wangu😊
Mi ni mwanamke so naolewa sioiKuoa au kuolewa?
Olewa tu mtabadirikia humo humo ndaniMi ni mwanamke so naolewa sioi
Nyoa tu mama angu lisije kukukuta jambo😊Nanyoa
EhNyoa tu mama angu lisije kukukuta jambo😊
Sijui kama atabadilikaOlewa tu mtabadirikia humo humo ndani
Goli linaingia baby kuanzia leo nashabikia timu yako, huku anatokwa machozi ya furaha baby umenifikisha nashabikia timu yakoLabda kwa timu za nje ila za ndani most of us tumerithi ushabiki kutoka kwenye familia tulizotokea hasa wazazi na ndugu wa karibu
Olewa naeSijui kama atabadilika
HapanaOlewa nae
Mtu ambae hakuheshimu hakupendi sweety.Hapana
Upo sahihi Kbsa mamaBinafsi ni shabiki mkubwa wa soka na timu zangu ni Yanga na Arsenal.
Yanga nilianza kuishabikia nikiwa na miaka 9, Arsenal na miaka 13. Hivyo hoja yako sio kwa wanawake wote.