Kama mwanamke wako ni shabiki wa timu za mpira au anacheza video games za soka kuna ujumbe wako hapa

Kama mwanamke wako ni shabiki wa timu za mpira au anacheza video games za soka kuna ujumbe wako hapa

asee ndio maana vichaa hawaishi sasa dem umemkuta ashayajua yote hayo kuna shida gani..... kama unateseka kwa hayo mambo una safari ndefu yakuipata furaha hapa duniani
 
Unakuta mwanamke anawaza $ na :AquAhh: tu kutoka kwa kijana na anapata atakacho. Kijana yeye kucha kuwaza kugongewa tu Mwishowe ni mateso tu.
 
Kuna wanawake walianza wenyewe kuwa wapenzi wa soka na wengine walikuwa introduced to football na Kaka zao au baba zao.
 
Back
Top Bottom