Uchaguzi 2020 Kamati ya Maadili yatolea ufafanuzi adhabu dhidi ya Lissu kumfungia kampeni. Yasema ameadhibiwa na Kamati ya Vyama 15 vinavyoshiriki Uchaguzi Mkuu

Hapo hakuna cha kamati ila n zengwe lilifanywa na CCM Ili wapumue kutokana na spana za Tundu lissu
 
Lisu anafanya makusudi kuvuruga uchaguzi, kwani anajua hawezi kushinda. Taminio lake ni kuleta vurugu ili kuchafua nchi kwa wahisani ionekane tanzania hakuna haki wala demokrasia. Hila zake hazitafanikiwa
Mbeleko za chama mbogamboga ndizo zinazotumiwa kuvuruga uchaguzi na sii vinginevyo.Wajitafakari kabla muda haujawaacha
 
Mh Lisu songa mbele wananchi tupo bega kwa bega na wewe. Ukilegeza tu ujue umetupoteza

ACT + CDM, NEC hawana nia ya uchaguzi wa haki wala ulio huru.

Wanataka vurugu.

Kama mbwai huu ni wakti muafaka wa kuwakubalia.
 
Hakuna haja ya kupanic.
Maneno hayajawahi muua mtu!
Mkuu 'Jidu', pamoja na kwamba sijaelewa maana hasa uliyonuia kuiwasilisha hapa; lakini nikuhakikishie tu kuwa "maneno huua sana."

Kutokuelewa kwangu nadhani kunachangiwa na majibishano tuliyowahi kuyafanya hapa JF, kati yako na mimi, na ukanifahamisha bila ya shaka uliposimamia katika mambo haya, na nikaheshimu msimamo huo.
Hapa kidogo ni kama unanichanganya.
 
Mimi nilikua sijui kama vyama vyote hivi ni matawi ya CCM
 
Mimi nilikua sijui kama vyama vyote hivi ni matawi ya CCM
Vingine Kati ya hivyo vilisha jipambanua kuwa wasaliti was taifa letu Tanzania ikiwa no pamoja na mbeleko zote za chama kijani.
 
Hivi vyama vingine tofauti na ACT Ni CCM kwenye mavazi tu, wao na tume Ni ndugu damu moja. Sasa Nani anayeangaika na SAU au NRA
 
Mkuu

Kitaalamu kamati ni flawed....

Maana haiwezekani kamati iundwe na mahasimu wa kisiasa halafu wapitishe hukumu fair kwa mmojawapo wa mahasimu kwenye group hilo....Haiwezekani

Kikundi cha mahasimu,kesi ikienda kwao ya hasimu mmojawapo ni lazima huyo member aondolewe by elimination ili wabaki mahasimu wachache going forward...

Haiwezekani eti wasimtoe,maana kumtoa ni faida kwao inapunguza ushindani waliobaki wanashidana wenyewe baada ya mshinda mmoja kuondoka inakua rahisi zaidi kwao....

Hii kamati ni upumbavu juu ya upumbavu...na alietoa wazo la muundo wake ni wa hovyo ana akili mbovu kabisa..ambae infact ni Mahera na wenzake humo NEC ambao ni maCCM yaliyowekwa na Mtakatifu Yohana himself....

Hakuna la maana....Lissu aende nao kibishi hivyo hivyo hakuna namna!
 
Mkuu maana yangu hapa ni mwachie Lissu aongee apendavyo.
Maneno huwa yanakurudia mwenyewe.
Ni kweli, maneno huwa yanaua yakitumiwa negatively, ila mtu akipuuzwa na maneno yake mwishoni anakosa maana na kuwa irrelevant.

Lissu aliwahi kumtukana Mwalimu, leo kaona maana ya kwenda kulala Butiama.
Alipotukana hata familia ya Mwalimu walimpuuza, leo kapiga hodi huko kupiga picha na kina Madaraka, wamempokea bila hiana.

So far mambo yameenda vizuri, Lissu alitegemea confrontation, anaona watu wanamsare tu.
Aachiwe aongee sana, mwisho wa siku hata sera zake hazijulikani.
 
Ndio maana ya uchaguzi kuwa anayeshinda anatangazwa. Ila kwa assessment based na hali ilivyo, Lissu atashindwa na hatakubali kushindwa. Siku zote huwa kuna correlation kati ya ushindi wa viti vya ubunge na kura za urais. Huwa haiwezekani mtu adai kushinda urais halafu ukiangalia viti vya ubunge alivyoshinda haviakisi ushindi wa kura za urais. Kumbuka kura za ubunge ni rahisi hata kila chama kujihesabia na kujua kana kilishinda au la.

Watu wanadhaniwa kuwa ni wengi katika mIkutano ya Lussu ndio hao hao wanaojaa katika mikutano ya CCM. Angalia tu mtaji wa wanachama wa kila chama kwanza kabla ya kufikiria wapiga kura wengine.
 
Tume hii iliyojaa doublestand nani mwenye akili ataiamini?!
Lisu hakusimamishwa na tume ni kamati ya maadili yenye vyama 15 ndio ilimshimamisha ila yeye anapotosha eti tume ndio ilimsimamisha!!! maelezo kamili hayo hapo

 
Kwani ni mse aji wa muungano was mbeleko za hasimu wake.
 
Lisu hakusimamishwa na tume ni kamati ya maadili yenye vyama 15 ndio ilimshimamisha ila yeye anapotosha eti tume ndio ilimsimamisha!!! maelezo kamili hayo hapo

Bwana mapesa alianza kuongea habari ya kupigwa,baadae akaja na habari ya maadili ,kesho sijui ataamuka nalipi.
 

Aibu sana
 

Ndizo zinazoitwa "kangaroo courts" kazini hizo.

Hukumu zake waende nazo Lumumba.

Tutakutana the Hague, inshallah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…