Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbeleko za chama mbogamboga ndizo zinazotumiwa kuvuruga uchaguzi na sii vinginevyo.Wajitafakari kabla muda haujawaachaLisu anafanya makusudi kuvuruga uchaguzi, kwani anajua hawezi kushinda. Taminio lake ni kuleta vurugu ili kuchafua nchi kwa wahisani ionekane tanzania hakuna haki wala demokrasia. Hila zake hazitafanikiwa
Mh Lisu songa mbele wananchi tupo bega kwa bega na wewe. Ukilegeza tu ujue umetupoteza
Hata NAZI watakwambia Hitler hakuwa dikteta bali ni propaganda za kisiasa tu! Bia chafu.Bahati nzuri Ccm hatujawahi kupata kiongozi dikteta
Mkuu 'Jidu', pamoja na kwamba sijaelewa maana hasa uliyonuia kuiwasilisha hapa; lakini nikuhakikishie tu kuwa "maneno huua sana."Hakuna haja ya kupanic.
Maneno hayajawahi muua mtu!
Hata NAZI watakwambia Hitler hakuwa dikteta bali ni propaganda za kisiasa tu! Bia chafu.
KAMATI YA MAADILI: Baadhi ya watu kutaka kuwaaminisha umma wa watanzania kwamba mgombea huyo ameadhibiwa na tume ya Taifa ya uchaguzi, ukweli ni kwamba bwana Lissu ameadhibiwa na kamati amabayo inajumuisha wawakilishi wa vyama vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi wa kiti cha Rais.
Wajumbe 15 kutoka vyama vya Ada-Tadea, CUF, SAU, UPDP, CHADEMA, CHAUMMA, CCM, NCCR-Mageuzi, DP, UMD, ACT-Wazalendo, NRA, Demokrasia Makini, ADC na AAFP ndio waliotoa adhabu kwa bwana Tundu Lissu.
Kamati pia ina mjumbe kutoka serikalini na mjumbe kutoka tume ya Taifa ya uchaguzi ambaye ni mwenyekiti wa kamati.
Ifahamike kwamba katika kikao hicho, kulikuwa na mawakili wawili nguli kutoka chama cha Demokrasia na maendeleo(CHADEMA) waliosimama kutetea hoja ya bwana Tundu Lissu.
Walisimama mbele ya kamati kujibu hoja zilizokuwepo na kudai kwamba Tundu Lissu na CHADEMA ni vitu viwili tofauti.
Kwa kuzingatia adhabu zilizoainishwa katika kanuni ya 5.11 ya maadili ya uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya mwaka 2020 mgombea huyo amepewa adhabu ya kutofanya kampeni kwa muda wa siku 7 kuanzia leo tarehe tatu Octoba mpaka tarehe tisa Octoba. Hii ina maana kwamba haruhusiwi kufanya kampeni zake yeye mwenyewe wala kwa ajili ya mgombea mwingine awaye yeyote.
Endapo mgombea huyo atadharau uamuzi wa kamati na kufanya kampeni atambue kuwa kamati imepewa mamlaka ya kuelekeza makosa mengine kwenye vyombo vingine kadri itakavyoona inafaa kama ilivyoainishwa kwenye kanuni ya 5.7L ya maadili ya uchaguzi wa Rais, wabunge na madiwani ya mwaka 2020. Ikimbukwe kuwa katika kipindi cha uchaguzi, sheria nyingine za nchi hazijaacha kufanya kazi.
==============
Hivi punde kamati imetoa sababu na imejibu baadhi ya hoja za Lissu kuhusu adhabu hiyo
Kamati inasema
(1)Kwamba kwa mujibu wa kanuni bsrua za wito hupeekrwa katibu mkuu wa chama maana huyo ndo wana anuani zake, na kamati haitunzi anuani za mtu binafsi
(2) Kamati inasema tsrehe 24 September Lissu ashapelekewa malalamiko na chama cha SAU yaliyokuja kwa mtindo huu huu yalivyokuja safari hii na Lissu akayajibu, Kamati inashangaa iweje leo Lissu akosoe utaratibu huu, Kamati imumuita Lissu ni Muongo
(3) Akijibu maswali ya waandishi Ofisa kamati amesema kwa adhabu hii aliyopewa Lissu haruhusiwi kupanda majukwaani na kuwanadi Madiwani au Wabunge maana kitendo cha yeye kupanda majukwaani tu inahesabika kuwa kafanya kampeni
(4)Msomaji wa Taarifa ya kamati asema kuwa adhabu inamhusu Lissu tu, haihusu mawakala wake, kwa hiyo watu wengine wenye dhamana ya kumpigia kampeni wanaruhusiwa kuendelea kumpigia kampeni
Kwa taarifa zaidi tazama video hii hapa:
View attachment 1588923View attachment 1588924View attachment 1588925
Vingine Kati ya hivyo vilisha jipambanua kuwa wasaliti was taifa letu Tanzania ikiwa no pamoja na mbeleko zote za chama kijani.Mimi nilikua sijui kama vyama vyote hivi ni matawi ya CCM
Nisamehe bure kwa kumjibu kilaza kama wewe unayezungumza na Tanzania. Hujui NAZI wala Hitler!Mimi nazungumza na Tanzania Nchi ya amani chini ya Ccm
MkuuYANI VYAMA VILIVYOSHIRIKI KWENYE KAMATI YA MAADILI VINGI VYAO HAVIIPENDI CHADEMA, NA NDIO VILE HATA HAVIJAWAHI KUTOA MBUNGE NA VIKISIKIA TU CHADEMA WANASUSA HIVYO NDIO VINAJITOKEZA KUSHIRIKI.
LEO HII VISHIRIKI KUMUADHIBU MGOMBEA WA CHADEMA UTEGEMEE KABISA VITAMTENDEA HAKI?
NEC WALIKAA KUSUBIRIA POLISI WAMWADHIBU LISU ILA POLISI WAKAMSAMEE, KUMBE MSAMAHA WAO ULIWAUDHI SANA NEC, NA MBAYA ZAIDI NI BAADA YA KUONA CHADEMA WANASHANGILIA,HIVYO WAKAITISHA KIKAO CHA FASTA FASTA KUWAKOMOA.
Mkuu maana yangu hapa ni mwachie Lissu aongee apendavyo.Mkuu 'Jidu', pamoja na kwamba sijaelewa maana hasa uliyonuia kuiwasilisha hapa; lakini nikuhakikishie tu kuwa "maneno huua sana."
Kutokuelewa kwangu nadhani kunachangiwa na majibishano tuliyowahi kuyafanya hapa JF, kati yako na mimi, na ukanifahamisha bila ya shaka uliposimamia katika mambo haya, na nikaheshimu msimamo huo.
Hapa kidogo ni kama unanichanganya.
Ndio maana ya uchaguzi kuwa anayeshinda anatangazwa. Ila kwa assessment based na hali ilivyo, Lissu atashindwa na hatakubali kushindwa. Siku zote huwa kuna correlation kati ya ushindi wa viti vya ubunge na kura za urais. Huwa haiwezekani mtu adai kushinda urais halafu ukiangalia viti vya ubunge alivyoshinda haviakisi ushindi wa kura za urais. Kumbuka kura za ubunge ni rahisi hata kila chama kujihesabia na kujua kana kilishinda au la.Chama cha PRI cha Mexico kiliongoza kwa miaka 71, kuanzia mwaka 1929 hadi 2000. Bila shaka na chenyewe kilidhani kuwa hakitaweza kushindwa lakini hatimae wananchi walikikataa. Vyama vya KANU, UNIP cha Zambia ambacho mtoto wa Kaunda hajawahi kushinda zaidi ya 1% n.k. navyo viliamini vitakuwepo milele. Kosa ambalo linafanywa ni kudhani kuwa ushindi wa Lissu, Maalim, Chadema na ACT utatokana na kutangazwa na NEC na wabunge na madiwani wao kushinda viti vingi. Hii sio kweli. Hawa kwa kuonyesha mwamko mkubwa wa wananchi kutokubaliana na hali ilivyo ni ushindi tosha na ishara kuwa CCM wasipokuwa waangalifu, kama si leo kesho, watajikuta wanakataliwa kiasi cha kushindwa kulazimisha ushindi. Kwa wale ambao wanakitakia mema, watajua kuwa kuna haja ya kubadilika. Haya tumeanza kuyaona katika matamshi ya viongozi wake na hii ni faida kwa wote. Ukweli ni kuwa mpaka sasa hivi upinzani ambao ulisemwa kuwa umeishakufa umeshinda hata kama hawatapata urais au uongozi wa bunge.
Amandla...
Mimi nilikua sijui kama vyama vyote hivi ni matawi ya CCM
Lisu hakusimamishwa na tume ni kamati ya maadili yenye vyama 15 ndio ilimshimamisha ila yeye anapotosha eti tume ndio ilimsimamisha!!! maelezo kamili hayo hapoTume hii iliyojaa doublestand nani mwenye akili ataiamini?!
Magufuli ni dikteta anaetawala nchi kiBahati nzuri Ccm hatujawahi kupata kiongozi dikteta
CCM ikiondoka madarakani hivyo vyama vitakufa?Pole kwa kujua ukiwa umechelewa mno.
Kwani ni mse aji wa muungano was mbeleko za hasimu wake.Ndio maana ya uchaguzi kuwa anayeshinda anatangazwa. Ila kwa assessment based na hali ilivyo, Lissu atashindwa na hatakubali kushindwa. Siku zote huwa kuna correlation kati ya ushindi wa viti vya ubunge na kura za urais. Huwa haiwezekani mtu adai kushinda urais halafu ukiangalia viti vya ubunge alivyoshinda haviakisi ushindi wa kura za urais. Kumbuka kura za ubunge ni rahisi hata kila chama kujihesabia na kujua kana kilishinda au la.
Watu wanadhaniwa kuwa ni wengi katika mIkutano ya Lussu ndio hao hao wanaojaa katika mikutano ya CCM. Angalia tu mtaji wa wanachama wa kila chama kwanza kabla ya kufikiria wapiga kura wengine.
Lisu hakusimamishwa na tume ni kamati ya maadili yenye vyama 15 ndio ilimshimamisha ila yeye anapotosha eti tume ndio ilimsimamisha!!! maelezo kamili hayo hapo
KAMATI YA MAADILI: Baadhi ya watu kutaka kuwaaminisha umma wa watanzania kwamba mgombea huyo ameadhibiwa na tume ya Taifa ya uchaguzi, ukweli ni kwamba bwana Lissu ameadhibiwa na kamati amabayo inajumuisha wawakilishi wa vyama vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi wa kiti cha Rais.
Wajumbe 15 kutoka vyama vya Ada-Tadea, CUF, SAU, UPDP, CHADEMA, CHAUMMA, CCM, NCCR-Mageuzi, DP, UMD, ACT-Wazalendo, NRA, Demokrasia Makini, ADC na AAFP ndio waliotoa adhabu kwa bwana Tundu Lissu.
Kamati pia ina mjumbe kutoka serikalini na mjumbe kutoka tume ya Taifa ya uchaguzi ambaye ni mwenyekiti wa kamati.
Ifahamike kwamba katika kikao hicho, kulikuwa na mawakili wawili nguli kutoka chama cha Demokrasia na maendeleo(CHADEMA) waliosimama kutetea hoja ya bwana Tundu Lissu.
Walisimama mbele ya kamati kujibu hoja zilizokuwepo na kudai kwamba Tundu Lissu na CHADEMA ni vitu viwili tofauti.
Kwa kuzingatia adhabu zilizoainishwa katika kanuni ya 5.11 ya maadili ya uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya mwaka 2020 mgombea huyo amepewa adhabu ya kutofanya kampeni kwa muda wa siku 7 kuanzia leo tarehe tatu Octoba mpaka tarehe tisa Octoba. Hii ina maana kwamba haruhusiwi kufanya kampeni zake yeye mwenyewe wala kwa ajili ya mgombea mwingine awaye yeyote.
Endapo mgombea huyo atadharau uamuzi wa kamati na kufanya kampeni atambue kuwa kamati imepewa mamlaka ya kuelekeza makosa mengine kwenye vyombo vingine kadri itakavyoona inafaa kama ilivyoainishwa kwenye kanuni ya 5.7L ya maadili ya uchaguzi wa Rais, wabunge na madiwani ya mwaka 2020. Ikimbukwe kuwa katika kipindi cha uchaguzi, sheria nyingine za nchi hazijaacha kufanya kazi.
==============
Hivi punde kamati imetoa sababu na imejibu baadhi ya hoja za Lissu kuhusu adhabu hiyo
Kamati inasema
(1)Kwamba kwa mujibu wa kanuni bsrua za wito hupeekrwa katibu mkuu wa chama maana huyo ndo wana anuani zake, na kamati haitunzi anuani za mtu binafsi
(2) Kamati inasema tsrehe 24 September Lissu ashapelekewa malalamiko na chama cha SAU yaliyokuja kwa mtindo huu huu yalivyokuja safari hii na Lissu akayajibu, Kamati inashangaa iweje leo Lissu akosoe utaratibu huu, Kamati imumuita Lissu ni Muongo
(3) Akijibu maswali ya waandishi Ofisa kamati amesema kwa adhabu hii aliyopewa Lissu haruhusiwi kupanda majukwaani na kuwanadi Madiwani au Wabunge maana kitendo cha yeye kupanda majukwaani tu inahesabika kuwa kafanya kampeni
(4)Msomaji wa Taarifa ya kamati asema kuwa adhabu inamhusu Lissu tu, haihusu mawakala wake, kwa hiyo watu wengine wenye dhamana ya kumpigia kampeni wanaruhusiwa kuendelea kumpigia kampeni
Kwa taarifa zaidi tazama video hii hapa:
View attachment 1588923View attachment 1588924View attachment 1588925
YANI VYAMA VILIVYOSHIRIKI KWENYE KAMATI YA MAADILI VINGI VYAO HAVIIPENDI CHADEMA, NA NDIO VILE HATA HAVIJAWAHI KUTOA MBUNGE NA VIKISIKIA TU CHADEMA WANASUSA HIVYO NDIO VINAJITOKEZA KUSHIRIKI.