KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Tatizo lipo hapa mkuu, kwa sabau Lissu hazungumzi maneno ya kupuuzwa, ndio maana wahusika wanahangaika sana.Ni kweli, maneno huwa yanaua yakitumiwa negatively, ila mtu akipuuzwa na maneno yake mwishoni anakosa maana na kuwa irrelevant.
Sio lazima aliyeshinda kwa kupata kura nyingi ndio anatangazwa. Inategemea uhuru wa mamlaka inayosimamia uchaguzi wa kutangaza mshindi kulingana na aliyepata kura nyingi. Lukas Lukashenko wa Belarus alitangazwa mshindi kwa kupata zaidi ya asilimia 80 za kura zilizopigwa lakini mpaka leo hawezi kutoka nje bila ulinzi unaoeleweka na aliapishwa kwa kujificha. Mtaji unaosema wa wanachama hautoi picha halisi hasa kwa upande wa CCM kwa sababu watu wengi walijiunga sio kwa mapenzi lakini kwa maslahi au mazoea. Watumishi wengi wa umma ni wanachama kwa sababu wanaamini ni njia ya kuhakikisha ustawi wao katika utumishi wa umma. Huwezi kuamini kuwa wote hawa watakipigia kura chama ambacho wana kadi yake. Hii ni tofauti na vyama vya upinzani ambako ukweli ni kuwa wengi wanaogopa kujiunga rasmi kwa kuogopa kuwa itaathiri ajira au biashara zao. Kwa hiyo kuna uwezekano mkubwa kuwa vyama vya upinzani vina wafuasi wengi ambao watawapigia kura kuliko idadi ya wanachama. Aidha, hata idadi ya wanaohudhuria mikutano yao haitoi picha kamili ya wafuasi kwa sababu wengi wanaogopa kuonekana wakihudhuria kwa sababu ya ajira zao au kuogopa kuwa kuna uwezekano wa wahudhuriaji kushughulikiwa.Ndio maana ya uchaguzi kuwa anayeshinda anatangazwa. Ila kwa assessment based na hali ilivyo, Lissu atashindwa na hatakubali kushindwa. Siku zote huwa kuna correlation kati ya ushindi wa viti vya ubunge na kura za urais. Huwa haiwezekani mtu adai kushinda urais halafu ukiangalia viti vya ubunge alivyoshinda haviakisi ushindi wa kura za urais. Kumbuka kura za ubunge ni rahisi hata kila chama kujihesabia na kujua kana kilishinda au la.
Watu wanadhaniwa kuwa ni wengi katika mIkutano ya Lussu ndio hao hao wanaojaa katika mikutano ya CCM. Angalia tu mtaji wa wanachama wa kila chama kwanza kabla ya kufikiria wapiga kura wengine.
Hakuna kamati hapo ni shina la CCMTume hii iliyojaa doublestand nani mwenye akili ataiamini?!
Ina maana kwenye hizo form za kugombea wahusika hawajazi ananuani zao?
Na kama hawajazi anuani tofauti na za vyama vyao bali wanajaza za chama,nani alipaswa kuwa addressed kwenye hiyo barua kupitia ananuani ya chama?
Je,si walipaswa kumu-address Lissu kama mgombea kupitia anuani ya chama chake?
Hv tuvyama vya mfukon vya SAU ni maccm tupu
Usijiweke katika boksi unalojua halina hewa, na kulifunga kabisa ili ukose hewa.Ndio maana ya uchaguzi kuwa anayeshinda anatangazwa. Ila kwa assessment based na hali ilivyo, Lissu atashindwa na hatakubali kushindwa. Siku zote huwa kuna correlation kati ya ushindi wa viti vya ubunge na kura za urais. Huwa haiwezekani mtu adai kushinda urais halafu ukiangalia viti vya ubunge alivyoshinda haviakisi ushindi wa kura za urais. Kumbuka kura za ubunge ni rahisi hata kila chama kujihesabia na kujua kana kilishinda au la.
Watu wanadhaniwa kuwa ni wengi katika mIkutano ya Lussu ndio hao hao wanaojaa katika mikutano ya CCM. Angalia tu mtaji wa wanachama wa kila chama kwanza kabla ya kufikiria wapiga kura wengine.
Ukweli hauwezi kuhodhiwa na mtu yeyote yule, na utabaki kuwa ukweli.Tatizo lipo hapa mkuu, kwa sabau Lissu hazungumzi maneno ya kupuuzwa, ndio maana wahusika wanahangaika sana.
Watu wanamwelewa vizuri sana Lissu, kwa maana anasema mengi wanayoogopa kuyasema wengi wa hao watu.
Nakushukuru kwa ufafanuzi wako, kwani nimekuelewa vizuri. Sasa najua msimamo wako haujaathirika na lolote.
Ningependa sana kujadili nawe hii habari ya sera za CHADEMA na uelewa wa wananchi juu ya sera hizo. Nina hakika kuna sehemu kadhaa tutakazokubaliana kati ya wewe na mimi. Lakini najua wakati wa kufanya hivy umepita tayari.Ukweli hauwezi kuhodhiwa na mtu yeyote yule, na utabaki kuwa ukweli.
.Lissu anaposema waliompiga risasi wafichuliwe, hilo litaendelea kugusa wengi.
Tatizo la Lissu liko kwenye kuanisha sera zake kinaga ubaga na mikakati endelevu ya maendeleo kwa nchi nzima.
Huyu babu tapeli anaongea nini hapa zaidi ya porojo, sisi tupo na Lissu hahitaji hata kampeni. shame on them