KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Tatizo lipo hapa mkuu, kwa sabau Lissu hazungumzi maneno ya kupuuzwa, ndio maana wahusika wanahangaika sana.Ni kweli, maneno huwa yanaua yakitumiwa negatively, ila mtu akipuuzwa na maneno yake mwishoni anakosa maana na kuwa irrelevant.
Watu wanamwelewa vizuri sana Lissu, kwa maana anasema mengi wanayoogopa kuyasema wengi wa hao watu.
Nakushukuru kwa ufafanuzi wako, kwani nimekuelewa vizuri. Sasa najua msimamo wako haujaathirika na lolote.