Mimi kwangu cha tofauti nachokiona ni kwamba in our generation, we were taught kwamba Men are providers and leaders, you need to have big visions, work harder kwa sababu kazi kubwa kwako ni ku provide kwa familia yote bila kujali mke wako ana hela au hana. Mke Ni msaidizi wa everything except kukusaidia ku provide sufficiently for your family. Familia ni za wanaume kuziendesha, sijui kama kizazi hiki bado mambo yako hivyo maana wanawake wamekuwa wajuaji mno.
Anyways, ukishakuwa kiongozi, utatimiza majukumu yako bila kuwa na uhitaji wa usaidizi. Mfano me, Mke wangu usaidizi wake mkubwa kwangu ni kulea wanangu vyema, kunishauri when its needed, kulinda mali zangu nikiwa sipo .
Ndoa siku hizi zimekuwa ngumu sababu hio hio ya 50/50,
Just because umepitia vitu negative usi block your mind kushindwa kuamini kwamba vipo vitu positive na vizuri. Zaidi zaidi ni kwamba Mungu akikujalia unaweza na wewe ukavi experience one day. Me nakuombea kiukweli maana hata kama ni adverse effects za PTSD, sijawahi kuona zipo intense kama navyoziona kwako