Katikati ya harakati za 50/50 kinyume chake wanawake wengi siku hizi hawana furaha

Pambaneni mnavyoweza ila kinachowauma ni kuambiwa ukweli kwamba MEN HAVE LOST THEIR MANHOOD DUE TO INTIMIDATION. Mnaogopa wanawake kujipambania mnadhani wanachukua nafasi zenu kumbe kiuhalisia ni kwamba hamtaki kuwa challenged hata kama hamna akili!
 
Mimi kwangu cha tofauti nachokiona ni kwamba in our generation, we were taught kwamba Men are providers and leaders, you need to have big visions, work harder kwa sababu kazi kubwa kwako ni ku provide kwa familia yote bila kujali mke wako ana hela au hana. Mke Ni msaidizi wa everything except kukusaidia ku provide sufficiently for your family. Familia ni za wanaume kuziendesha, sijui kama kizazi hiki bado mambo yako hivyo maana wanawake wamekuwa wajuaji mno.
Anyways, ukishakuwa kiongozi, utatimiza majukumu yako bila kuwa na uhitaji wa usaidizi. Mfano me, Mke wangu usaidizi wake mkubwa kwangu ni kulea wanangu vyema, kunishauri when its needed, kulinda mali zangu nikiwa sipo .

Ndoa siku hizi zimekuwa ngumu sababu hio hio ya 50/50,
Mimi naongelea kitu ambacho kipo na nimekiona kwa ndugu sasa kwanini mkatae wakati nyinyi pia mna share experience zenu. Umesema wenzangu wanaongea wanachokiona sasa kwanini na mimi nisiongee ninachokiona?
Just because umepitia vitu negative usi block your mind kushindwa kuamini kwamba vipo vitu positive na vizuri. Zaidi zaidi ni kwamba Mungu akikujalia unaweza na wewe ukavi experience one day. Me nakuombea kiukweli maana hata kama ni adverse effects za PTSD, sijawahi kuona zipo intense kama navyoziona kwako
 
Wanaume tunaowataka ni wale wanaojiamini, sio hawa washinda vilabuni.

Alafu feminism sijui nyie mnaitafsiri vipi maana mi kwangu ni inapplicable kabisa.

Kikubwa wanaume kazaneni kwenye kukaa kwenye nafasi zenu. Hamjajua tu jinsi ya ku ishi na hao wanawake wasomi nadhani dunia haikuwaandaa.

Naona kama nguvu inayotumika kutaka kumshusha mwanamke ni kubwa kuliko iliyotumika kumuinua.
Ubaya wa hii feminism inawaaminisha wanawake kuwa wanajiweza bila uwepo wa mwanaume.
 
Kwa nilivyowaelewa mimi Kuna watu wamesema point zao kwa namna tofauti wakiwa na sababu zao.
Kwasababu kila mtu ana uelewa wake na sababu zake.
Wapo wanaowaachisha kazi wake zao kwaajili ya kuwalinda na kulinda ndoa zao,maana kuna wanawake wanafanya kazi mazingira magumu hata kama ya ofisini kiasi wanashindwa kupata muda wa kuhudumu ndoa zao.
Hivyo unakuta mume anaona bora amuachishe mke ndoa kwa wenye akili zaidi huwaandalia wake zao mazingira ya kupata hata kama wakibaki nyumbani.
Kama kuwafungulia biashara ili wao waingize kipato hata wakiwa nyumbani,kama kuwamegea asilimia ya mshahara wao ili mke awe na akiba.

Kuhusu suala la mke kudhulumiwa kwani hakuna mahakama za familia?
Chang'ombe kuna FAMILY COURT kazi yake ni kutatua matatizo kama hayo.
Mke ana haki zake za kurithi pale mume anapofariki,na vyombo vya ustawi wa jamaa vimeundwa kwaajili ya kulisimamia hilo.
Sasa tabu iko wapi!?
Kuna TAMWA na TAWLA pia wote kazi yao ni hiyo kutetea haki za wanawake ikiwemo hao wajane kuhusu mirathi na masuala mengine.
Mfano wako bado ni IRRELEVANT.
 
Well you have no idea.

All in all, rudi mkawashauri wanaume wenzenu wanaokazana kusema mwanamke anatakiwa akae nyumbani tu. No thank you
 
Pambaneni mnavyoweza ila kinachowauma ni kuambiwa ukweli kwamba MEN HAVE LOST THEIR MANHOOD DUE TO INTIMIDATION. Mnaogopa wanawake kujipambania mnadhani wanachukua nafasi zenu kumbe kiuhalisia ni kwamba hamtaki kuwa challenged hata kama hamna akili!
Unachokiongea kinaweza kuwa sahihi ila usifanye akili yako iwe fixed na fragile kama hivo. Kubali kuwa flexible kwamba pengine pia inawezekana Men are not intimidated at all by women, they are mostly likely feeling remorse kuona wanawake wakiteseka in pursuit of whats called 50/50. Usiwe unajibu hoja kama unapashana au upo uswahilini kwenye watu wasiostaharabika kabisa.
 
Na kwa ubongo wako unaamini hizo mahakama zina msaada wa asilimia mia? Hizo gharama za kesi na huo mda wa kupambana huko mahakamani huyo mjane anakula nini. Yani mnachekesha sana. Na by the way kesi za mirathi zinaanzia PRIMARY COURT.

Irrelevance unaiona wewe. Mimi naongelea uhalisia
 
Ashakhumu si matusi ila kuna msemo wa kiswahili usemao, "Aliwazalo mtu mpumbavu ndilo litakalo mtokea". Ukiwa na fikra za kufanyiwa ubaya na wanaume then utavutia wanaume wa aina hiyo hiyo sababu wazuri hautawaona hata wakikufikia utaona ni wa hovyo au unarubuniwa.
 
Wewe sio mzima. Umejaza upuuzi mwingi sana kichwani mwako.
 
Unaanza kuja vizuri sasa. Labda waseme wanawaonea huruma kwa kupambana. Ndo namimi nawaomba sasa hawa wanaume waanze kuitisha seminars za kuwakazania kina baba kukaa kwenye mstari. Mwanaume lazima awe kiongozi wa familia. Awe ni decision maker asiyumbishwe na amuone mkewe kama support sio mshindani. Yani wanaume wote wakianza kuwa hivi nakwambia hata ufanisi huko makazini mtauona.
 
Well you have no idea.

All in all, rudi mkawashauri wanaume wenzenu wanaokazana kusema mwanamke anatakiwa akae nyumbani tu. No thank you
In modern world kuna kitu kinaitwa Agreeing to disagree. Jitahidi sana ujifunze hicho na uwe nacho. Wanaoishi na wewe kazi wanayo, you serious needs help. Yaani kwako wewe ni negatives tu, kila kitu kukosoa, kila kitu hakifai, kila kitu cha hovyo, hakiwezekani etc. Mungu akusaidie
 
Mpumbavu humtambua mpumbavu mwenzake. Hata kama umetumia fumbo. Deal with weaker men who want to drown strong women wala hamtasikia hizi kelele
 
Muachishe huyo zombie wako kazi. Kwani walioko makazini nao ni wake zenu? Mbona mna uchungu nao sana!

Au mnatamani muwe mnavaa pedi pia maana sielewi hasira ni za nini!
Wewe ndie una project mambo yako kwa hasira na jazba plus unaonekana una history ya hovyo na Wanaume.

Mimi nakuotea hapa ukija pata Mwanaume Strong Tanzania iitwe ulaya. Utaishia kupata wanaume weak au abusive. Kama unabisha subiria uone. Huu uandishi wako inasema mengi sana kuhusu tabia yako kiuhalisia.
 
Huo ni mtazamo wako na haubadilishi ukweli kwamba Men need to step up their game
 
Ana provide a living example ya alichoongelea mleta uzi. [emoji3][emoji3]
 
I ain’t your mama darling. Sija fall kwenye category ya kupata mwanaume weak. Mimi nipo kwenye ndoa a decade and a few na ndugu zangu walikua kondoo kwenye ndoa zao yamewakuta and it really irritates me. Wamekuja kuanza kazi in their late 40’s baada ya kupoteza muda kumsikiliza mume
Yani sijui mniambie nini niwaelewe. It that’s ptsd then whatever ila
Mwanamke kazi afanye tu kwakweli wapumbavu ni wengi na humu nawaona.
 
Nashukuru umeanza kunielewa. Nimegundua tulichokuwa tunatofautiana na wewe ni kitu kidogo sana wala sio kikubwa. Btw, tupo katika liberty era, maswala ya freedom na nini. Me nadhani kama wanawake wengi wanaona kufanya kazi ndo a way forward na kwamba kazi zinawalipa basi tuwaache wafanye. Na kama wapo wanawake ambao wameamua kuwasikiliza wanaume zao wasifanye kazi na wao pia tuwaache.
 
Huko makazini kwenye ndani ya mwezi unakuta wapo active siku 8 au 10 tu. Hizi siku nyingine ni kugombana na wafanyakazi wenzao, kujibu wateja vibaya, kununia ofisi mzima sababu ya siku zao za mwezi, kuruka na mabosi zao, na kuharibu kazi kisha kuomba wanaume mabwege humo makazini wawasaidie kurekebisha kwa malipo ya kuwaita "baby" au "honey".
 
Hatimaye umenifikia. Karibu sana.

Hivi unajua Feminism ilipotokea? Na je unajua misingi yake? Na je una fahamu utofauti mkubwa uliopo baina ya feminism ya mababu zetu na hii yenu sasa? Je unatambua kuwa feminism hii ya sasa ambayo ninyi mnaitumia vibaya ndio ina madhara hususan kwa mwanamke mwenyewe?

Miongoni mwa wengi ikiwemo wewe kiongozi wao mnadhani kuambiwa kumnyenyekea mwanaume ni utumwa.
Huenda mafanikio yako yanakufanya usimame kifua mbele na kujiona unaweza kufanya vingi kuliko mwanaume au sambamba na mwanaume.
Lakin kwetu sisi wanaume hatuoni kifua mlichonacho zaidi ya chakula cha watoto zetu.

Ukiweza kuelewa utofauti wa feminism ya karne ya 19 na hii ya sasa basi utatumia jitihada zako kuwafunza wanawake wenzako kutovuka mipaka na sio kujibizana na wanaume

SIKUFUNDISHI NAKUKUMBUSHA.
🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…