PostGE2025 Kesi ya Ugaidi ina Dhamana? Kwanini Viongozi wa CHADEMA wamepata Dhamana? Kuna presha ya maridhiano?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hivi ni kweli watu walipelekwa hapo kiwanda Cha cement kusagwa?Hii tetesi naisikia sikia tu.Kama ni kweli wamefanya Hivyo,basi wajue tarehe 9.12.2025 Umma utajua ukweli maana WAHUNI wote itakuwa mwisho wao.
Tunaishi na wafanyakazi wa kiwanda hicho mitaani, walipumzishwa lkn vinu by kusagia mawe viliwashwa na kufanya kazi kama kawaida.
 
Una Ubaloka kuna kesi ya ugaidi waliyoifungua
 
Tunaishi na wafanyakazi wa kiwanda hicho mitaani, walipumzishwa lkn vinu by kusagia mawe viliwashwa na kufanya kazi kama kawaida.
Walisagwa su walichomwa moto kwenye zile klins au furnaces na kuwa majivu? Kama ni kweli itoshe kusema tunaongozwa na shetani!
 
Labda idadi ya kesi za uhaini zimetosha, maana mahakama kwa sasa hazina kesi nyingine zaidi ya uhaini
Kipindi cha Mwinyi/Mkapa kesi nyingi walizikuwa wakipewa vijana wa upinzani zilikuwa ni uzururaji sasa katika utawala huu kesi za uhaini zinagaiwa kama karanga.
 
Kipindi cha Mwinyi/Mkapa kesi nyingi walizikuwa wakipewa vujana wa upinzani zilikuwa ni uzururaji sasa katika utawala huu kesi za uhaini zinagaiwa kama karanga.
Umeshusha ya neno uhaini, Uhaini ilikuwa neno la kutisha. Kwa sasa ukiambiwa fulani ana kesi ya uhaini inakuwa haina nguvu inazidiwa na kesi ya mtu kachuma hindi shamba la mtu
 
niliona sehemu Trump alitoa saa 72 wafungwa wa kisiasa wawe wameachiwa hii nafikiri ni shinikizo mataifa ya nje,kwa ninavyo yajua haya makenge viziwi wasinge waachia na pengine kuna jambo kubwa mbeleni linakuja
 
Sikiliza mjuba, inaweza ikawa si usaliti bali kuna mabadiliko yakawepo. Mambo ni mengi yanaweza kukubaliwa kuwepo kama katiba mpya na mengine
 
sasahivi wanaona haya hata amani mbele za watu hawana tena hivyo lazima litafutwe chaka lakujificha!, sasa ni jukumu la upevu kwa pande zote mbili maana sio tu mnakaa na kuridhiana pasipo kumridhisha mtu wachini/mhanga anaehitaji mabadiliko
Unataka majadiliano au maridhiano (kama hata yatakuwepo) yawe ni jinsi gani nyanya vitunguu na unga wa ugali vitashuka bei??
Huwa unaandika kama kichwa panzi ambaye hajui msingi wa chanzo cha matatizo ya hii nchi.
Kama hujui msingi wa matatizo ya nchi yoyote basi huwa ni madaraka, utawala bora, haki, katiba, muundo wa utawala n.k hayo mengine yanahusu kuridhishwa au kuridhika kwa mtu wa chini raia wa kawaida ni matokeo tu ya kuharibika hayo niliyokutajia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…