Kinachoendelea huko Mashariki ya kati kinadhihirisha kuwa uongo wa wazungu unaelekea kufika mwisho

Hujui kuwa na wake wengi, na wengine wa miaka tisa tu, hakumzuii kuwa na tabia za kishetani. Ushoga na ulawiti nyumbani kwao ni uarabuni kwa kina mudi
 
Kama unajua huna uwezo wa kupigana usianzishe mapigano, itakula kwako
 

Israel wana uwezo wa kufanya carpet bombing na waisambaratishe Gaza in minutes, ila inawabidi wachambue magaidi yenu yanayojificha nyuma ya watoto na kina mama.
 
Unaonekana uelewa wako ni mdogo ila nikuambie kwamba Kila mwanaume anayezaliwa Gaza ni Hamas ndio maana mpaka watoto wadogo wanafundishwa namna ya kutumia silaha za kijeshi.

Alafu nani kakudanganya kwamba Hamas wanatumia silaha za kienyeji tu? Kwako AK 47 ni silaha ya kienyeji sio?

Usichokijua ni kwamba Hamas walikuwa wamejiandaa kupambana na IDF zaidi ya miaka 20 ila mahesabu Yao wamepiga vibaya na nakuhakikishia baada ya miezi miwili kama Hali itaendelea hivi basi hakutakuwa tena na waji wanaoitwa Hamas GAZA
 
Hujui kuwa na wake wengi, na wengine wa miaka tisa tu, hakumzuii kuwa na tabia za kishetani. Ushoga na ulawiti nyumbani kwao ni uarabuni kwa kina mudi
Nenda huko uarabuni alafu kajitangaze wewe shoga alafu utupe mrejesho,, kisha nenda Israel alipozaliwa mungu wako yesu katangaze unagongwa pia rudi utupe mrejesho,, kipahpah weee
 
Tukadanganywa pia kuwa Israel ina teknolojia ya hali ya juu kabisa ya ulinzi wa anga "iron dome" kwamba hakuna kombora lolote linaweza kupenya kwenye ardhi ya Israel.

Lakini tumekuwa tukishuhudia kila mara Hamas, Hezbollah na Houth wakivurumisha makombora yanapiga kambi za kijeshi za Israel bila kupingwa.

Sasa udhaifu huu wa Israel ndiyo apambane na taifa kamili kama Iran lenye nguvu ya kijeshi na teknolojia ya hali ya juu?
 
Bado utetezi wako ni wa kipuuzi sana. Watoto waliouwawa wengi ni wa kike, wadogo sana wasiojua hata kuongea vizuri sasa hayo mafunzo wanayapataje watoto wa mwaka mmoja, miwili au mitatu ambao wengi ndio waliouwawa?

Alafu unasema eti AK 47, hivyo ndo jeshi kubwa linalojifanya linaweledi litumie mavifaru, madege ya makombora, askari wa akiba, askari waastafu wote waitwe wakapambane na vijana wasiozidi elfu ishirini 😀😀😀

Je mfano waingie vitani na kanchi kadogo kenye jeshi na vifaa vinavyokaribia kushabihiana ubora na vya kwao si ndo watawaita na askari wa Marekani, pamoja wa waingereza waje wawasaidie?
 
Wachambuaje na wakati asilimia kubwa yaliowauwa ni watoto na wakina mama wasiokuwa na hatua?

Utetezi wako hauna kichwa wala miguu ndugu yangu myahudi wa tandahimba.

Ndio huo mtihani, magaidi yenu yanajificha kwenye watoto, yanarusha kombora yakiwa kwenye watoto kisha yanakimbia hapo na kuacha hao watoto, kombora likijibiwa na mfumo wa Israel ambao hutumika kugundua wapi kombora limetokea, wanaishia kupiga watoto halafu kwa mbali magaidi yenu yanachukua video na kutupia kwenye mitandao ya kijamii.
 
Thread za kujifariji tu hizi ila mzigo wanaopiga IDF pale GAZA hakika jamaa ni watabe mno, IDF ni mojawapo ya jeshi Bora kabisa duniani.

Mbugi Inapigwa GAZA, inapigwa LEBANON inapigwa SYRIA tena kwa wakat mmoja na kwa ufanisi mkubwa sio jambo dogo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hao Israel walioomba msaada wa silaha, fedha na kijeshi kutoka kwa mashoga wenzao?

Hamas anapigana na Israel, US na Uingersza kwa uchache tu na bado hawajatoboa mwezi wa tatu huu unaisha.
 
Ahmedinejad aliposema ataifuta Israel kwenye uso wa Dunia alikuwa anajua anasema nini kwa sababu alikuwa amiri jeshi mkuu anaepata taarifa zote
Ila waisrael wetu wakapinga na kutukana sana
Ona sasa leo hata mateka wanawauwa wao
Ahmednejad ni kichaa kweli kama angeendelea kuwa Rais wa Iran hadi leo angeifuta kweli Israel kwenye uso wa dunia wala hatanii.
 
Tena silaha zenyewe wanatengeneza Hamas kwa njia ya kienyeji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…